Search results

  1. G

    Tapeli huyu akamatwe.

    ni kweli ila hii ni tahadhari kwa watu wengine
  2. G

    Tapeli huyu akamatwe.

    anaitwa lusajo mwaipyana huyu jamaa aliwahi kutolewa kwenye jamvini humu kuwa alimtapeli mtu. Utapeli wake huufanya kwenye atm za crdb. Hujifanya kadi yake imezama na huvaa smat na akimfuata mtu humwambia kuwa anafanya jeshini jkt. Taarifa zake za kweye face book zinaonyesha kuwa aliwahi...
  3. G

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kaka kwanza pole sana! Unapitia kipindi kigumu. Katika maisha unapokuwa umempenda mtu na kujitoa kwa kila kitu juu yake na kisha mtu huyo akafanya mambo ambayo unaona ni tofauti ni lazima nafsi yako itaumia. Jambo ninaloliona kwako ni hili; inawezekana mwanamke huyo hakuwa amekupenda tangu...
  4. G

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Kaka kwanza pole sana! Unapitia kipindi kigumu. Katika maisha unapokuwa umempenda mtu na kujitoa kwa kila kitu juu yake na kisha mtu huyo akafanya mambo ambayo unaona ni tofauti ni lazima nafsi yako itaumia. Jambo ninaloliona kwako ni hili; inawezekana mwanamke huyo hakuwa amekupenda tangu...
  5. G

    Inaumaa we acha tu

    ni kweli bro inauma lakini lazima tujue kuwa binadamu anabadilika kimawazo na kimatamanio so, ukiona umemthamini mtu akabadilika jambo jema ni kukubali hali halisi na kuendelea na maisha yako
  6. G

    'hadaa'- mfano wa mkasa wa mapenzi unaosababisha kuuana

    hadaa'- mfano wa mkasa wa mapenzi unaosababisha kuuana Na bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile niliyomtia machoni mwangu, siku ambayo hadi leo ninaposimulia mkasa huu, nikiwa Gereza la Maweni, moja ya magereza magumu...
  7. G

    'hadaa'- mfano wa mkasa wa mapenzi unaosababisha kuuana

    Na bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile niliyomtia machoni mwangu, siku ambayo hadi leo ninaposimulia mkasa huu, nikiwa Gereza la Maweni, moja ya magereza magumu Tanzania, nikitumikia miaka 30 na kazi ngumu kwa jambo ambalo hadi kesho ndugu, jamaa na marafiki hawaamini ni...
  8. G

    'hadaa'- mfano wa mkasa wa mapenzi unaosababisha kuuana

    UKIIPENDA TUMA SMS KWENDA giningiasilia@gmail.com then ntaitunga hadi mwisho na tutaangalia tunafanyaje. HADAA! Na Aloyce Eliah (Mginingi) N a bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile...
  9. G

    Nini faida za wivu wa kimapenzi uliopitiliza ?

    Bro! umeuliza swali la msingi sana. Ukweli ni kwamba malezi na makuzi yetu kama wanadamu ndio sababu ya mambo yote. Tunafundishwa kuhangaika kwaajili ya kujilimbikizia. Kila kitu tunachokifanya tunafudishwa kukifanya ili tuongeze umiliki kwa maana nyingine misingi ya makuzi na ulimwengu hii...
  10. G

    Mayai ya kyenyeji na asali

    KWA WANAOTAKA MAYAI YA KYENYEJI NA ASALI BEI LITA 1 ASALI-9000/= TREI MOJA MAYAI YA KYENYEJI-15,000/= TUMA EMAIL KWENDA giningiasilia@gmail.com au simu 0716 193 453
  11. G

    Wanaotaka mayai ya kienyeji na asali

    Hi! Nauza mayai ya kienyeji trei elfu 15 na asali lita moja -elfu tisa kwa mawasiliano ntafute kwa namba 0757 753 014
Back
Top Bottom