Search results

  1. Vinci

    Tarehe 11/11/11 katika kumbukumbu

    WanaJF wale watakaofanya jambo au tukio muhimu la kuweka kumbukumbu kama harusi, kuoa au kuolewa,kupata mtoto, atakaepata mchumba, kuachwa au kuacha...matukio yoote ya furaha na huzuni wasiache kutujuza
  2. Vinci

    April 1st - Fool day

    WanaJF leo ni siku ya wajinga jinga hivyo kuweni makini na ujumbe wowote au taarifa yeyote utakazopewa..usikurupuke na kuzifanyia kazi bile kupata uhakika na ukweli wa jambo/tukio/taarifa au ujumbe.
  3. Vinci

    Hodi wenyewe..

    Jaman waungwana wa humu jamvin nawasalimu kwa pamoja mabibi na mabwana.Salamu aleikhum wote.
Back
Top Bottom