Search results

  1. Vinci

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Umeona signature yake.....hii itakuwa ni mbinu ya kuwaweka mbali wale wanyakuzi. Huyo nyeusi 20 inaonekana ni mtu mwenye Fweza, na ni kiwembe haswa, sasa Dajane anahofikia jambo, Au yeye mwenyewe ni mhanga pia maana huwezi kuwa na nyraka muhimu hivyo binafsi bila kuwa karibu na mwenyehizo...
  2. Vinci

    Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Sawa sawa. Kuna ile dhana kwamba msimu wa mvua hasa masika sio kipindi kizuri cha kuchimba msingi wa Nyumba. Nadhani ni mafundi tuu wanakuwa wanakwepa kuchota maji kwenye msingi endapo utajaa maji. Ile kimtazamo ni muda mzuri maana hutahitaji kumwaga maji na pia cement itakauka taratibu na kuwa...
  3. Vinci

    Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Ni Kipindi gani kinafaa kuchimba msingi wa nyumba, Msimu wa Mvua au Kiangazi?
  4. Vinci

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Dah! Mwaka Mpya na mambo mapya. 2019 itakuwa na mambo mengi mazuri. "Nyota njema huonekana mapema alfaajiri" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Vinci

    Kabrasha chumba cha kunyongea

    Anapewa kazi ya kunyonga badae anashtakiwa...dah, lakin mkuu, Makala ya kunyonga tena na tuko kwenye shamrashamra ya thikukuu krismasi
  6. Vinci

    Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

    Ndiyo Mkuu, Iphone hawana hamu na Wachina kabisa na Ujerumani nako kuna figisu figisu, Qualicomm ndiyo chanzo cha hayo yote
  7. Vinci

    Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

    Ifuatilie mkuu, wako vizuri. Nadhan huenda ikawa ni simu ya Kwanza kuwa na 10GB RAM
  8. Vinci

    Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Ni toleo jipya mkuu, Barani Afrika Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kuinunua
  9. Vinci

    Wachaga: Hili lina ukweli gani

    Ngoja nikae siti ya Nyuma huku, hata maandiko yanasema usikae siti ya mbele kwenye Karamu:D
  10. Vinci

    Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

    Mshana Jr vipi Oneplus nayo unaiweka nafasi gani, Wamekuja na toleo la McLaren
  11. Vinci

    JF-get together party Disemba 2018

    [emoji1] nilimaanisha visiwani. Mji Kongwe
  12. Vinci

    JF-get together party Disemba 2018

    Mikoani tunaruhusiwa kujumuika?
  13. Vinci

    Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

    Huu ni utani na kuwadhalilisha dada zetu. Labda iwe ni photoshop na sio kweli Mamlaka zinazohusika zimetoa baraka kwa mdhamini kutoa gari yenye hali hiyo.
  14. Vinci

    Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

    Hahahahaha...umenifurahisha sana Kiongozi. Kwa umaarufu alioupata kipindi cha nyuma Bongo fleva alipaswa kuwa anamili gari na sio usafiri
  15. Vinci

    Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

    Huyo nae amekimbia..Huyo jamaa atakuwa na laana fulani
  16. Vinci

    Mother house punguza vibomu

    Dah! Mkalisheni chini, mpeni kero zenu kama ni mtu muelewa ataacha hiyo tabia. Lakini wakati mnamweleza mjiandae kuulizia vyumba sehemu zingine, ili akiwatimua iwe msiumize kichwa
  17. Vinci

    Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Yaani umevunja ndoa mbili unashangilia na una amani kabisaa. Subiri na wewe utafanyiwa hicho hicho ulichokifanya. Ni zinaa tuu hiyo kwa nyie wote wawili huyo mwanaume na wewe. Hiyo dhambi itawatafuna taratibu sana.
Back
Top Bottom