Search results

  1. Sodium 23

    Wazazi kuweni makini na shule zinazofaulisha sana (Top schools)

    Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo. Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
  2. Sodium 23

    Ushauri nataka kusoma certificate in business management au accounting

    Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa. Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
  3. Sodium 23

    Airtel babalao

    Asalaam aleykum wanajukwaa! Sina mengi zaidi ya kusema airtel ni baba lao kwa sababu zifuatazo: 1. Huduma za kifedha ni nafuu. Kutuma pesa kwa airtel money ni bure kabisa, pia kutoa ni nafuu kuliko mitandao mingine. Pia maduka ya airtel money yamejaa kila kona hadi nashindwa kuchagua nitoe pesa...
  4. Sodium 23

    Faida ya CRDB Fahari Huduma

    Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
  5. Sodium 23

    Ujenzi wa barabara ya Sanawari

    Natumaini nyote ni wazima. Naomba niende direct kwenye mada. Barabara hii ya sanawari inayojengwa na mkandarasi RAVJI imekaa kwa takribani mwezi mzima ujenzi ukiwa na kusababisha kero kwa watumiaji. Changamoto ya ujenzi huu ni kwamba kila wakijenga anakuja injinia na kuwaambia pale mmekosea...
  6. Sodium 23

    Kuagiza gari kwa miliioni 8-9

    Habari zenu wakuu! Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9. Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300. Je inawezekana kwa bajeti hii?
  7. Sodium 23

    Milio ya risasi Arusha

    Habari wanajukwaa! Hivi karibun kumekua na milio ya risasi jijini Arusha mida ya saa tatu usiku. Hii ni takribani Mara ya tatu kwa milio hii ya silaha za kivita kusikika. Kutokana na milio hiyo kuna kitu viwili aidha mazoezi ya wanajeshi vikosini hali inayopelekea sauti ya risasi kusikika town...
  8. Sodium 23

    Watu wa Kigoma ni Watanzania kama Watanzania wengine

    Kumekuwa na vitendo vya kibaguzi dhidi ya watanzania wenye asili ya Kigoma. Ilianza operesheni Kimbunga mkawanyanyasa na kuwaibia mali zao. Ikaja ubaguzi kwenye upatikanaji wa passport za kusafiria. Sasa hivi kila mtu wa Kigoma akionesha upinzani kidogo anaulizwa uraia, ila hatujaskia Tundu...
  9. Sodium 23

    Makamu wa rais azindua kongamano la 8 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi

    Muda wa takribani nusu saa iliyopita Makamu wa rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa fedha na mipango wameonekana wakitoka ukumbi wa mikutano AICC wakiwa kwenye msafara usiozidi magari sita. Combination hii inaweza kuwa ni dalili njema ya ufunguzi wa miradi hasa ya ujenzi...
  10. Sodium 23

    Koffi Olomide azidi kukinukisha mbaya

    Habari zenu wanajukwaa! Bila shaka mu wazima wa afya. Mwaka huu umekua hauna likizo kabisa kutokana na Kamanda Koffi Olomide Mopao Mokonzi Quadra Korea Man aka Le Treisième apôtre kuachia album mpya ya Nyataquance ambayo inasumbua dunia mwaka huu. Kama kawa alianza na Nyataquance yenyewe...
  11. Sodium 23

    Skyworth vs Bruhm TV SHOW 24"

    Habari ya muda huu wakuu! Nimepita showroom nikakuta hizi product Skyworth na bruhm. Zote zina king'amuzi cha ndani, USB port na HDMI port. Nimependa muonekano wa picha zake. Napenda kupata ushuhuda kwa mtu anayetumia aina mojawapo kati ya hizi. Asanteni
  12. Sodium 23

    CHADEMA Siwaelewi mnachokisimamia

    Wakuu nmeamua kufunguka kwa hawa ndugu zetu CHADEMA kufuatia kukithiri siasa za matukio na kubadili gia angani. Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambao aidha walibadili gia angani au yalipotea bila utekelezaji: 1. UFISADI; Mkiwa mwembeyanga mlituaminisha Lowassa ni fisadi, mlisimamia hilo kwa...
  13. Sodium 23

    Werrason kiboko ya sebene

    Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo unaosumbua hivi sasa block cadena. sebene zake zina mvuto flani amazing halafu kwenye block cadena...
  14. Sodium 23

    Utabiri: Rais Magufuli kutaifisha viwanja vya mpira kabla ya 2019 na atashinda kwa asilimia 95 urais

    Nimefanya uchunguzi kwa mujibu wa siasa za Tanzania na siasa za mtukufu rais wetu. Ninatabiri kwamba atataifisha viwanja vyote vya mpira vilivyo chini ya CCM kabla ya 2019 na atavifanyia ukarabati mkubwa(tenda watapewa TBA kwa gharama ya bilioni 18 kila kiwanja). Baada ya ukarabati huo atakua...
  15. Sodium 23

    Ushauri wa kununua laptop yenye hizi specification

    Habari zenu wakuu! Natarajia kununua laptop yenye specifications hizi; RAM 2GB, processor intel celeron N3050, 32GB SSD. Brand nayotaka kununua ni dell inspiron 11.6". Ningeomba mtu mwenye experience na hizi device anielekeze kama kuna usumbufu wowote au shida kwenye matumizi. Matumizi yangu ni...
  16. Sodium 23

    Utaratibu wa Kuomba ruhusa bila malipo

    Habari za muda huu wapendwa! Nina swali moja kuhusu taratibu za kuomba ruhusa bila malipo au kusitisha ajira kwa muda ili baadae ni'resume' ajira yangu serikalini. Kufuatia sintofahamu ya ajira nimefikiria kuingia sekta binafsi kwa muda ambapo itanilazimu kusaini mkataba wa mpaka miaka miwili...
  17. Sodium 23

    Bei ya CPU blower na elimu kuhusu Macbook computers

    Nina imani wote mu wazima! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujua bei ya CPU blower (mashine ya kufuta vumbi kwenye PC) hasa kwa maeneo ya Arusha na Moshi. Pili ningependa kupata elimu kuhusu software za apple. Nimeona lecturer wetu mmoja anatumia Macbook pro kiukweli imetulia...
  18. Sodium 23

    Nahitaji Kupima DNA

    .
  19. Sodium 23

    Kubadili OS ya windows phone

    Habari zenu wakuu, nina simu yangu Nokia Lumia 520. Nilliupgrade OS kutoka 8.1 kwenda 10. Matokeo yake inachemka balaa unaweza hata kuchemshia maji, pia inamaliza chaji mapema almost masaa mawili tu tofauti na awali. Nilikua naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuirudisha 8.1 au kama naweza...
  20. Sodium 23

    Koffi Olomide anachofanya ni kufuru kwa Mungu

    Ni kipindi kirefu mwanamuziki koffi olomide amekua akijifananisha na viongozi wa dini hata kufikia hatua ya kujiita Papa Benedict wa 16 na mtume wa 13 wa Bwana Yesu. Ukiangalia vitendo vyake, video zake na majina anayojiita haviendani. Nadhani serikali ya Kongo ipo sahihi kumfunga jela miezi 18...
Back
Top Bottom