Search results

  1. C

    Subtitles kwenye movie za Kibongo

    Wanaotafsiri ni kama wewe uliyeandika substitute, nyani haoni.......
  2. C

    STAR TV LIVE: Mamlaka ya Bunge la Katiba

    bwana happy ametuangusha ameshindwa kutoa jibu rahisi tu la mantiki ya neno shall kwenye kifungu 25 sub 1 & 2 badala yake anasema vifungu vingi tu vina neno shall. hapa nakubaliana na wale watu wenye akili nyingi wanaoitwa wahenga kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga
  3. C

    Picha yenye kufikirisha mno

    hii inadhihirisha umaskini upo kwa kiwango kikubwa tu na kupelekea baadhi ya huduma muhimu kukosekana. ila cha kushangaza kwa wale waliopo kwenye nafasi ambao huduma muhimu kwao si tatizo wanawasahau wenzao. pia wale wajanja ambao wanaweza kupata mahitaji muhimu kwa njia yoyote nao huwa...
  4. C

    Jibu Hesabu yangu.

    hii bila shaka ni plagiarism, umechukua formula yangu ukaitia mabano tu. just kidding
  5. C

    Jibu Hesabu yangu.

    72. 6+6*6=72
  6. C

    Jambo lile lile lakini..

    ni uhalisia tu, ukisikia baba anachepuka au mama yupi roho itauma? obvious ni mama
  7. C

    Harakati za kulikomboa Taifa hili: Siasa ni nini?

    kwa mtazamo wangu siasa ni nyenzo ya kudanganya wananchi, kuwagawanya, na kuwafanya waamini kuwa matatizo yao yatatatuliwa na baadhi ya watu. tutafakari pamoja, karibuni
  8. C

    The US Ambassador to Tanzania: The Most Powerful Man In The White House You've Never Heard Of!

    huyu bwana kaja na kazi moja tu kwani ni mtaalamu wa gesi na mafuta
  9. C

    Katika hili Sheria inasemaje ?

    hiyo bleach of contract ndo iliyopelekea asione terms vizuri kwani zilifutika, ila kama aliziona terms na kuingia mkataba basi atakua amefanya breach of contract
  10. C

    Mwanamke aliyekulia kwenye malezi ya baba na mama vs aliyekulia kwenye malezi ya single mamas

    Inasemekana mwanamke aliyelelewa katika familia ya wazazi wote wawili anapoingia kwenye ndoa anakuwa na ufahamu wa juu kuhusiana na majukumu yake kama mke kwani tokea akiwa mdogo amejifunza hilo kutoka kwa wazazi wake ikilinganishwa na aliyelelewa na mama tu ambaye anakuwa hajapata elimu hiyo ya...
  11. C

    Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

    @ donluchesse, boss of bosses
  12. C

    Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

    mwana fa keshakuambia ukitaka wako mwenyewe kata mgomba uweke ndani
  13. C

    Nilichojifunza kutoka kwa Mandela

    Wakati maombolezo na wasifu wa komredi Madiba vinaendelea nimejifunza jambo moja la msingi ambalo ni msamaha, mipaka yake na mambo ambayo yanasameheka na ambayo katu hayasameheki ( kama vile mfungwa wa mauaji asivyopata msamaha wa rais). Kwa kifupi ni kwamba mkeo kupigwa nje ni dhambi...
  14. C

    ni mpenzi wangu au na wengine wako ivi

    kaka kumbuka kutembea na mwanafunzi ni statutory rape, siku ukipigwa pingu utujulishe tafadhali
  15. C

    Obama can't lead why ? Na kwa nini wasikilize simu ya POPE

    experience ya urais inapatikanaje? ninyi ndo hata kwenye ajira mnataka watu wenye experience bila kujali waliotoka vyuoni watapatia wapi hiyo experience
  16. C

    Kama ni mpenzi wa muvi kitambo, unazikumbuka muvi hizi?

    the godfather, scarface, life, boyz in tha hood, menace to society, above the rim, shaolin temple......
Back
Top Bottom