Search results

  1. M

    Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    Any govt. must be accountable without distinction to its own people. Mbona mnababaika jamani? eti mimi ni mwalimu na kwa vile naishabikia CDM nisipate mshahara?. Katiba gani hiyo? mbona haijui haki za binadamu na hwaki za raia? duuh
  2. M

    Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

    WAy forward maana yake jiandae k,upiga kura kule ARS. Mimi nimerchoka kuibiwa na CCM. This is it!
  3. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    nuygiuytl7t;l
  4. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Arusha tumezoea mabomu hawatutishi ati na pia ugomvi ni jadi yetu kwa hiyo hakuna noma. Kama wewe ni mzaliwa ARS alafu huna Ngeu wewe ni k tuu maN
  5. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    We love you Lema !!!!!!!Go Lema Go go go! hawajui ARS hao. Waliopiga kura kule A. Mashariki ndo watakaopiga kura ARS town. Na ikumbukwe ndugu wa wale wa A. Mashariki ndo hao hao walioko mjini na ndo wapiga kura. Pia hata wale ambao wametokea MS town ndugu zao ndo hao wa A town. Nikiwamo na mimi...
  6. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wazee siko nchini na kwa uwezo wa JF huwa napata nguvu sana kupitia JF hongereni nanyi JF kwa kutupa hizi nafasi za mtandao. Nimefarijika sana kuona Watz wenzangu wanaanza kuuchukia wizi na ufisadi kwanza kabisa nkiwa natanguliza pongezi kwa Lema (MB), Mbowe (MB) na Slaa (MB) kwa kuapa kutoibiwa...
  7. M

    Magufuli amchana Mkulo

    Tutazifupisha safari za nje ya nchi kama za rais na watu kama wa TANAPA ili barabara zijengwe na kwa wakati. Fedha zipo ila ' white colour crimes' has been increased overtime. Ungesema tu Magufuli is fighting with unseen enemy who is hidin behind the cartens of CCM's 'ufisadi' manifesto, i would...
  8. M

    Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

    This is sooo good watu wanavuta raha and pia nimekumbuka home nakata tkt wiki ijayo mangi. Asante kwa ujuzaji
  9. M

    Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    Kwani tuklija kwako hatuwezi kukalia makochi? au ukatupatia juice au hata chai jamani? au sukari bado haijashuka bei nini mwanangu kiasi hata cha kuwapa wageni wako chai?? duu. Vitu vya kawaida sana mbona?
  10. M

    Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    I like that, alafu umempa ukweli. Hii ngoma ya katiba kikwete kadandia Treni iliyokuwa kwenye spidi kali sasa angalia kasaini katiba yenye mapungufu na pia hapa kadanganywa. Maskini Tanzania....
  11. M

    Arusha bado ngoma nzito kwa JK!

    Tumechoka. Na JK anajua. na RC anajua kavamia jiji. kama CCM haitaamini waje kwenye kampeni waone watakavyoachwa.
  12. M

    Makala kwa wahitimu udom 2011

    basi kama siasa hazifai vyoni msingesoma political sayansi na economy. Infact politics is everythings tukiwa vyuoni twaangalia namna 'sociological imagination' vs 'collective forces' za watu wa jamii ile au wanasiasa the approach are being complied and how are being responded to assist the...
  13. M

    I have never seen,a woman who loves

    Kma wapi mbona huweki jamvini? nami nawataka nimechoshwa
  14. M

    Nchi ya Qatar yaishinikiza Tanzania kuitambua serikali mpya Libya?

    Nchi ya Qatar ni ghali hata kuishinda USA kuishi. Je tukiwaamrisha wasivae kanzu na hijabu watatufanyaje kwani?
  15. M

    Kashfa IMMIGRATION Dar Airport

    Hakuna mahali pa kijinga kama DIA. Nilikuwa napanda Emirates wakati fulani eti uhamiaji mmoja anaiytwa Mbise kanisimamisha na kunitoa nje ya mstari. Unakwenda wapi? Nikamwambia naenda nchi ambayo hata wewe huwezi ukaingia na uofisaa wako. Nchi gani hiyo? nikamwambia hivi ulijifunza shuleni au...
  16. M

    mavazii mengine banaaa

    ngoma zangu mwanangu!
  17. M

    26/11/2011 Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya kambi ya Jeshi Monduli ealy morning!

    Issue siyo kulala. In a political sense mmbunge ndiye anatakiwa ampokee mwenyekiti wake. Je itakuaje wakati kampa mshua ukweli kule Dom? Huoni hawataangaliana usoni!.
  18. M

    Bikira miaka 30

    Hata nami nilishakuwa na demu aliyekuwa nayo akiwa na 32 yrold nikaikata. ila sikujua kama naikata au kujua kuwa anayo; hakuwa kuniambia. Lakini akiwa anajua kwamba anayo akiwa pia ananisikilizia kama hayo mambo nayajua. Ukweli sikuwa nayajua ilia wakati tunaendela na mchezo nikamwuuliza...
  19. M

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Duu ama kweli kamvisha gamba gumu mwanangu. Siamini haya maneno Lowasa ameyatapika. Kumbe Lowasa alikuwa amemfichia siri mwenzake lakini yakamfika aeona ngoja atue mzigo wa mtu mmoja ili wengi wafaidi. Hata hivyo JK kupokea na kuzifanyia kazi simu za makatibu bila ya consultation ya aliyepewa...
Back
Top Bottom