Search results

  1. Shin Lim

    Notisi ya Alex Msama kwa wafanyakazi wake

    Kumbe ni gwiji wa hizi kazi!
  2. Shin Lim

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Ameshinda American Got Talent mara mbili kwa ajili ya kutuchezea akili kwa mikono yake. Jamaa ni hatari kwenye hiyo kazi.
  3. Shin Lim

    Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Mimi nilikuwa bachela nikaambiwa niwe nalipia 10,000 badala ya 15,000 wanayolipa wenzangu. Nilikataa nilisema nitakuwa nalipia kadri ninavyotumia yaani 100 kwa ndoo kwa sababu nikioga asubuhi napotea nikirudi saa 9 natumia maji ya bar kisha narudi kulala tu home usiku saa 3.
  4. Shin Lim

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Ndio namfahamu na nimemfatilia sana. Ni master wa sleight of hand.
  5. Shin Lim

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Kuonyesha = kuonya Kuonesha = kuona
  6. Shin Lim

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Wakati nasoma o-level tuliwahi kuishi nao kama wafugaji.
  7. Shin Lim

    MPYA Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na k vant huongeza nguvu za kiume

    Pombe kali huwa zinakata mawasiliano au kupunguza. Ndio maana ukizipiga sana unaweza kushindwa hata kusimamisha kwa wakati.
  8. Shin Lim

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Ni Mkwabi, nilikosea kuandika.
  9. Shin Lim

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Pale pana supamaketi inaitwa Nkwabi.
  10. Shin Lim

    Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

    Kumbe alitengeneza nyingi!
  11. Shin Lim

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Kinondoni B kwa nyuma kuna bar kwa Babuu, juzi juzi nimekula kwa 4000. Kuna sehemu nimekula kwa 3000 kwa shirima njia ya kwenda mahakamani Kino.
  12. Shin Lim

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Chakula kizuri cha kawaida labda ugali choma ni TZS 4000 ambapo milo miwili ni TZS 8000. Kipato cha raia wengi wa kawaida ni TZS 4000 hadi 15,000. Kwa hiyo ni bora ule cha kawaida ili angalau na nyumbani wale.
  13. Shin Lim

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    Ukiona unashikashika chupi za mwanao aliyepevuka na kama unavyojua matoto ya siku hizi ujue shetani anaweza kupita na wewe wakti wowote.
  14. Shin Lim

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Wakati nasoma tulikuwa tunakunywa ulanzi kwa mikate hapo Ulayasi.
  15. Shin Lim

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Namfahamu, anafuga samaki kule karibu na kanisani Mkiu. Lugarawa kwenyewe nimeenda sana miaka ya nyuma kupeleka abiria kwa baiskeli kabla ya bodaboda hazijaanza.
  16. Shin Lim

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Ulipata mke Mkiu? ni mtoto wa nani? Huo mlima Gangitoroli kuna mwaka gari la cocacola lilitekwa na majambawazi wakasepa na mauzo yote.
  17. Shin Lim

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Aposto kuna muujiza huku! Nini kimetokea?
  18. Shin Lim

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Kama alisema uache ni kweli umevunja masharti. Angesema upunguze ungekuwa upo upo sahihi. Ila siyo mbaya hiyo ya mara moja moja.
Back
Top Bottom