Search results

  1. G'taxi

    Nipo kijiji cha Mpwayungu, kipo shwari kabisa

    Mpwayungu Kwa wenyeji wa Tarafa ya Mpwayungu, leo nipo hapa kwa masaa sita hivi, Kijiji ni kitulivu siyo mbaya, leo hali ya hewa siyo mbaya kabisa maana najua wazi kabisa kua, viunga vya Dodoma hua vinawaka jua la kutosha Lakini leo Pako shwari kabisa, kama kuna mwenyeji tusalimiane, nipo hapa...
  2. G'taxi

    International driving license

    Nisiwachoshe Greetings kwenu nyote! Najua JF ni sehemu sahihi ya kujua mambo mengi, pamoja na kwamba mimi dereva kitambo sana lakini sijawahi kufatilia hili na ninaomba mwenye uelewa nalo anisaidie kujua njia zipi naweza kupitia kufanikisha. Namna gani naweza fanya na njia zipi naweza kupita...
  3. G'taxi

    Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

    Ndugu nisiwachoshe msinichoshe Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba moja kama wapangaji maeneo ya kazi. Mshikaji kampenda huyu mdada ambaye awali alikua anafanya kazi...
  4. G'taxi

    WADADA WA MJINI SINGLE MOTHER NI HATARI

    Moja kwa moja kwenye mada, ni jambo la kuzungumza tu pasi mihemko maana yaweza mkuta Mwamba mwenzetu yoyote siku moja kwetu sisi WANAUME. ktk eneo la makazi tunapoishi tunashuhudia yafuatayo[emoji116] 1. Jamaa kakutana na mdada ktk nyumba ya kupanga, kisha wakaanzisha mahusiano japo awali huyo...
  5. G'taxi

    Pesa ni zaidi ya kile tunachokifikiria

    Katika mgahawa wa hadhi ya chini kabisa nikiwa nakunywa chai, ameingia mtu mmoja tajiri mkubwa tu wa mashamba na hotel ya kulaza wageni, ameagiza chai na chapati moja, baada ya kumaliza ameagiza maji ya kunywa ya kawaida na yamechotwa kwenye diaba likiwa pembeni yangu la maji ya kisima, akapiga...
  6. G'taxi

    Ushauri wangu kwa viongozi wa kitaifa

    Sina muda mwingi kueleza mengi Ili kukomesha suala la ushoga, usagaji na mambo machafu 1. Itungwe sheria ya dharula kupangua vipengele vya sheria katika sura ya haki za binadamu, watungiwe sheria Kali maana taswira ya haki za binadamu ililenga tamaduni za Magharibi zaidi pasi kuangalia nchi...
  7. G'taxi

    Nitumie njia gani kukomesha hii tabia ya Rushwa?

    Sina cha kuwapotezea muda na niende moja kwa moja kwenye mada Mimi ni mtumishi ktk sekta fulani isiyo ya kiserikali, mimi pamoja na mtumishi mwenzangu tukiwa kitengo kimoja(drivers)sisi sote kwa kazi za miradi ilikua inafika ukomo wa miradi husika tuliyo kuwepo, lakini shirika letu halimpi mtu...
  8. G'taxi

    Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

    Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine. Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya. Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana. ===========...
  9. G'taxi

    TANESCO

    TANESCO jamani, mvua manyunyu tu bila hata upepo mmekata umeme Ifike muda TANESCO ipate mbadala kama ilivyo tokea kwa TTCL. Hii inachosha na kuudhi sana sana
  10. G'taxi

    Tabia ya madereva wa magari ya abiria kutumia simu wakati wakiendesha inahatarisha maisha ya abiria

    Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia lakini ya leo imekuwa ni mbaya zaidi Dereva wa Noah anaongea na simu na kutuma sms, kupokea sms njia nzima? Mala gari inayumba yeye hajali yumo na simu, mala Katoa ka simu kadogo, mala smart phone, muda wore yuko busy huku aki drive gari na ametubeba...
  11. G'taxi

    Hapa kuna kundi dogo lenye nia ovu linalotaka kufanya yake kwa sababu mwendazake hatarudi

    Tutambue ya kwamba CAG ni binadamu, kama alivyo mtu mwingine ndivyo ilivyo kwa CAG kwamba yamkini ni mtu wa mlengo wa kushoto na yupo kwa sababu ya kundi fulani lenye mlengo huo. Si ajabu akafuata ya kundi hilo la mlengo wake. Sina kumbukumbu vizuri ya nchi husika lakini ipo nchi hapa Afrika...
  12. G'taxi

    TANESCO Karatu, Arusha kukata umeme kila ifikapo saa moja jioni tatizo nini?

    Habari za leo waungwana Binafsi ninachoshwa sana na hii tabia ya Tanesco hapa Karatu,mitaa fulani inaitwa Njia ya ng'ombe kuelekea bashe,imekua ni tabia ya kila ifikapo saa moja ya jioni hawa watu wanakata umeme,na si hivyo tu. Mala nyingi katika kila jumapili umeme hukatwa kutwa nzima kuanzia...
  13. G'taxi

    TANESCO mnaudhi kwa kweli

    Maeneo ya Usagara jijini Mwanza toka asubuhi saa mbili hakuna umeme mpaka saa moja hii za usiku Aisee wakati mwingine kwa kweli shirika lenu inabidi lipate mbadala kama ilivyotokea kwa TTCL japo si vyema kusema hivi lakini mnatuchosha sana na kutukosea,sometimes giza ndiyo linaingia nyie...
  14. G'taxi

    TANESCO Misungwi/Nyamagana mnakera

    Mimi ni mkaazi wa Usagara wilaya ya Misungwi jijini Mwanza.naomba tu kukulizeni Tanesco..hivi mnafanya nini muda ambao ndiyo giza limeingia tunahitaji mwanga ninyi mnakata umeme?jana niliona tangazo linapita huko Whatsapp kua mtakata umeme leo 26/3/2019 kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na...
  15. G'taxi

    Tumaini choir kwa wapenzi wa nyimbo za injili miaka ya 1998

    Kwanza kabisa nisamehewe kwa mtu yeyote nitakaemkwaza kwa picha hii.huu ni wimbo wa injili uliojulikana kwa jina la NAKULILIA JEHOVAH.nimekua nikiutazama wimbo huu bila kuuchoka toka enzi za miaka hiyo,lakini nilivutiwa sana na muonekano wa dada huyu black,kulia mwa picha hii.si kwa nia mbaya...
  16. G'taxi

    NAOMBA KWA MH RAIS JUU YA MADEREVA NGAZI YA DARASA LA SABA

    Awali ya yote napenda kumpa pongezi kubwa Mh Rais kwa kazi nzuri sana anayoifanya hapa nchini,sitazungumza sana mazuri mengi kwa kua sikuja kuyasema hayo kwa leo,nipo hapa kutoa maombi kwake na kwa serikali kwa ujumla juu ya utendaji kazi ktk sekta zake kwa kada ya MADEREVA 1. MH RAIS Kwanza...
  17. G'taxi

    R.I.P Neema

    Mwaka 2008 nikiwa Taxi driver mzoefu katika jiji la Mwanza nakumbuka ilikua mishale ya saa 4 hivi za asubuhi nikiwa nimepark taxi car yangu aina ya Corolla 100 maeneo ya pamba hostel ambayo leo hii ni chuo cha wasimamizi wa fedha CBE, nikiwa nimekaa kwenye gari aliniijia mdada mmoja akiwa analia...
  18. G'taxi

    Tanzania/Afrika

    Habarini za leo enyi ndugu waafrika Kumekua na tabia kadhaa kwa waafrika kuukana na kuubeza uafrika wetu kiutamaduni,kisiasa,kiuchumi na mambo mengi sana kiasi inatia aibu na kuchukiza kwa mtu mzalendo 1.kuna tabia ya kujaribu kuona cha nje uzunguni kua ni bora kuliko cha kwetu,hii ni...
  19. G'taxi

    Starlet Starlet Starlet

    Natafuta gari Starlet iliyo simama vizuri kama kuna mwenye nayo humu ndani anaweza nichek,pesa yangu kwa gari hiyo nayohitaji haizidi Milion 4. PM namba yako iwapo unayo tuongee biashara. Madalali siwafurahii sana kwa sababu ya ujanja ujanja mwingi. JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
  20. G'taxi

    Rav4 old model manual gear

    Nauza gari tajwa hapo.iko ktk kiwango kizuri sana,ni namba A lakini ni nzima sana yenye nguvu na ubora.na haijawahi kukuguswa mahala popote,body,gearbox wala engine yake.njoo PM iwapo wewe ni mteja.mali ni yangu haina dalali Make :Toyota Model : Rav4 Manufacture: 1995...
Back
Top Bottom