Search results

  1. Lengeri

    Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

    Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010. Katika hao 1 ( John Shibuda) kajiunga na TADEA, 2 ( Said Arfi na Philipa Mturano) wamejiunga na CCM, 2 ( James Lembeli na Esther Bulaya) wamejiunga CHADEMA na 5 ( Moses Machali, Mhonga Ruhwanya, Chiku Abwao...
  2. Lengeri

    Makongoro Nyerere kugombea ubunge Kawe

    Mtoto wa hayati Mwalimu Nyerere, Makongoro baada ya kubwagwa vibaya kwenye mbio za urais ndani ya CCM, sasa ameelekeza nguvu zake jimbo la Kawe. Lengeri
  3. Lengeri

    Mosha ajipanga Moshi Mjini

    Bilionea Davies Mosha anajipanga vilivyo kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM. Mosha ni mzaliwa na kukulia kata ya Kiborloni, Jimbo la Moshi Mjini na kata ya Kiborlon vimekuwa ngome ya CHADEMA chini ya mzee Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa kwa muda mrefu lakini bilionea Mosha...
  4. Lengeri

    ACT vs SAU, historia inajirudia.

    Ficha upumbavu wako...
  5. Lengeri

    ACT vs SAU, historia inajirudia.

    Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti. Leo tujiulize ki wapi chama hiki?? Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati...
  6. Lengeri

    Kiko wapi Chama cha SAU?

    Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti. Leo tujiulize ki wapi chama hiki?? Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati...
  7. Lengeri

    Wajumbe wawili wa Bunge la Katiba watumia jina moja, haijulikani nani alipaswa kuwa Dodoma

    Ofisi ya Bunge la Katiba, imemwandikia barua mwajiri wa Amina Mweta, ambaye alisaini posho ya Bunge hilo ili akatwe posho aliyoichukua katika mshahara wake. Akizungumza na gazeti hili jana katika Ofisi za Bunge mjini hapa, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Thomas Kashililah, alisema...
  8. Lengeri

    ISP Daudi kaletwa na helcopter ya polisi muda huu kutoka Kigoma kwa tuhuma za bomu Arusha

    Amini mkuu wenyewe Polisi wamekiri Jeshi la Polisi Tz ‏@PolisiTz10h Tunawashikiria askari wetu wanne wakiongozwa na Inspeta Daud baada ya taarifa za kiintelijensia kuonyesha wanahusika na Bomu la Sowete ARUSHA Lengeri
  9. Lengeri

    Uchaguzi ndani ya NCCR Mageuzi wapamba moto

    Mchakato wa kuwania nafasi mbalimbali ndani ya Chama hicho ulianza Julai 15 mwaka huu, na mpaka sasa ni mtu mmoja aliyerudisha fomu katika nafasi ya Mwenyekiti Taifa wakati nafasi ya Katibu Mkuu hakuna aliyerudisha fomu mpaka sasa. Katika ngazi ya Makamu Mwenyekiti Bara, waliorudisha fomu...
  10. Lengeri

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Zitto, mbunge wangu, what is happening? the same story this year?? Lengeri
  11. Lengeri

    Mafuta Zanzibar yanukia.... yasaini Mkataba na SHELL

    The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc (“Shell”) and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on exploitation of gas and oil recently discovered in the Isles. The MOU describes in particular the initial activities related to Oil...
  12. Lengeri

    Mtafaruku: Bunge la Afrika Mashariki - Wabunge wa Tanzania wagomea Bunge

    Hapo Somalia na South Sudan hawajajiunga rasmi.......... Kwani Kimbisa hapendi vikao vya EAC vifanyikie pia huko kwao Mogadishu au Kismayu? Lengeri
  13. Lengeri

    Waziri Muhongo aiponda ripoti ya Human Rights Watch kuhusu unyanyasaji kwenye migodi

    Akihojiwa na BBC jana jioni waziri wa nishati na madini Professor Sospeter Muhongo ameijia juu na kuiponda vikali ripoti iliyotolewa na Shirika la Human Rights Watch inayoelezea jinsi unyanyasaji hususani dhidi ya watoto ulivyo katika migodi mbalimbali nchi. Waziri amehoji kwanin shirika hilo...
  14. Lengeri

    Katiba Mpya - CCM yakataa Mapendekezo Matatu ya Tume ya Warioba

    1. Nec ya CCM imekataa suala la kuweka kikomo cha vipindi vitatu kwa wabunge. Badala yake imependekeza mfumo wa sasa wa bila ukomo kuendelee. 2. chama hicho kimekataa pendekezo la mawaziri wasitokane na wabunge na kutaka utaratibu wa sasa wa mawaziri kutokana na wabunge uendelee. 3. Kuhusu...
  15. Lengeri

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    ebu sema kamoni faki yuu.....
  16. Lengeri

    Lipumba bado anastahili kuendelea kuwania Urais?

    Ni swali gumu miongoni mwa wachambuzi wa siasa za upinzani hususan ndani ya chama cha CUF kama kuna mtu mwenye ushawishi au uwezo wa kupambana na kumzuia Prof Ibrahim H. Lipumba kugombea uraisi wa JMT 2015 kwa mara ya tano mfululizo. 1.Kitakwimu umaarufu/kukubalika kwa Prof Lipumba kwa wapiga...
  17. Lengeri

    Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    1. Kuamini kila linalosemwa kuhusu Chadema linatoka Lumumba ni akili ya mpuuzi. 2. Dr Silaa kugombea na hata kuwa Rais si lazima awe katibu Mkuu wa chama. Watu ndani ya chama wanaamini kuna hitajika mabadiliko ya mwenendo wa chama (rejuvination). Wanamwona Dr Silaa kasi yake na mfumo wa siasa...
  18. Lengeri

    Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    Ndugu wana jamvi, katika duru mbalimbali baada ya kikao cha kawaida cha kamati kuu ya CHADEMA, ishu inayozungumzwa zaidi ni uchaguzi na upangaji safu ya juu ya uongozi wa chama kwenye uchaguzi ujao wa chama 2013. Nafasi ya Mwenyekiti> 1.Freeman Aikaeli Mbowe - katika duru mbalimbali bado...
  19. Lengeri

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Kwa maelezo ya huyu mama tena kiongozi wa serikali, unaunganisha dots unaona serikali wapo nyuma ya unyama dhidi ya Dr Ulimboka. Kwa kifupi Stella Manyanya anatuambia Serikali ilimteka Dr Uli iliipate info namna Chadema wanahusika na Mgomo... Kazi kweli kweli... Another silly season Lengeri
  20. Lengeri

    Bendera za Makao makuu - CUF

    Hiyo si hoja. Mbona CCM wao wana Rais, makamu wa rais mtendaji huko visiwani lakin hawapeperushi bendera ya Znz pale Lumumba au Chamwino.
Back
Top Bottom