Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake.
Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo. Sitegemei maajabu sana katika hili suala wakati wengi wetu ni asymptomatic (hatuoneshi dalili) lakini...
Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji.
Najiuliza mbona suala kama hili la chanjo Serikali inashindwa kuwa na kauli moja ya aina ya chanjo itakayowafaa Watanzania ukizingatia...
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Lakini usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”. Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source ...
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya.
Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema.
Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700
Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900
Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa...
Habari wanaBodi..
Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana.
Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia.
Ubinafsi wa Wanasiasa...
Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Unga Limited, wakijiandaa kuingia kanisani. Picha na Daniel Sabuni.
Mtoto wa TB Joshua, Serah...
Wanabodi...
Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango.
Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
Kumetokea wimbi la viongozi hasa wanaowinda vyeo serikalini kujinasibu na kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba wapo tayari kufuata nyayo za mwendazake. Kiukweli bila chembe ya unafiki hizo ni hadaa kama zilivyokuwa hadaa za mwendazake.
Tukubali kila nyakati zina mambo yake, nasema hivyo kwani...
Habari wanaJukwa,
Tukiwa bado tuna uhuru wa kutoa maoni na kumshauri kiongozi wetu wa nchi.
Pale Wizara ya Afya tunahitaji mtu mwenye uthubutu na kusimamia ethics za tiba. Wakati wa wimbi la kwanza la Covid-19 tuliona namna Dkt Ndugulile aliposimamia kweli bila kujali kuhatarisha wadhifa wake...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan ...
Waswahili walisema kufa kufaana!
Tunaomba baada ya kumpumzisha aliyekuwa Rais wa JMT , Hayati JPM basi mapema kabisa na kwa haraka muagize mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) afanye ukaguzi wa haraka hazina na katika wizara zote na mamlaka zote zinazohusika...
Wakuu,
Tukiwa bado kwenye majonzi ya kumpoteza aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Joseph Magufuli. R.I.P
Ifike wakati sasa Rais atakayepoteza maisha akiwa madarakani basi mrithi awe ni kiongozi aliyepigiwa kura na wananchi, either Uchaguzi uitishwe upya na wagombea wajitokeze kuwania...
Hafidh Ameir, Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kunakofanyika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, aliyefariki 17 Machi 2021 kwa matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.
========
Kenya bans runners from Tanzania’s marathon
Athletics body urged athletes not to travel to Tanzania for 2021 Kilimanjaro Marathon because of coronavirus concerns
Kenyan athletes will not attend a major marathon in Tanzania because of concerns about the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.