Search results

  1. nyasaland

    Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada. Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa...
  2. nyasaland

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Katika yote na picha zote tutarudi katika makundi mawili ,ukristo na uislamu hamna jipya.ngoja niishie hapa
  3. nyasaland

    Picha 11 za Rais Masikini kuliko wote duniani na mambo 9 yanayomuhusu

    Waganga wa vyenyeji wamepunguza masharti kutoka kwenye irizi hadi kwenye skaf
  4. nyasaland

    Natafuta Kazi ya Usalama wa Taifa

    Usifanye kazi ya usalama,huo wasifu ni wa paka.kazi za paka zitakufaa
  5. nyasaland

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Nimechajribu kupitia baraza la mawaziri Lililotangazwa leo hii ni zaidi ya karata nzuri kwa CHADEMA,imeonekana mawaziri mzigo wameongezeka pengine zaidi ya akina Mlugo.hivyo basi ni jambo Zuri kwa CHADEMA kuanda outlay Ya weakness hao mawaziri kujiimarisha na sio kupinga .kwangu mimi naona ni...
  6. nyasaland

    Aden Rage: Mwigulu Siyo msemaji Wa Lowassa

    huwa hatuombeani mabaya lakini mh Lowassa kwa wanaomfahamu kwa sasa kiafya hayuko sawa hata kwa muangalia kama umepata kuwa karibu naye,na hadi 2015 hali itakuwa pengine mbaya zaidi.ndio maana naona kuwa kumdiscuss jamaa ni kupoteza muda
  7. nyasaland

    Ni kweli Edward Lowassa alipata Msc kutoka chuo cha Bath - UK 1984?

    anyway nimeuliza sababu nilikuwa najua huyu jamaa ana kadegree kamoja tu alafu ka fani isiyoheleweka .sasa kuona masters nikajua kuna member wengine watakuwa na more details
  8. nyasaland

    Ni kweli Edward Lowassa alipata Msc kutoka chuo cha Bath - UK 1984?

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Edward Middle Name: Ngoyai Last Name: Lowassa Member Type: Constituency Member Constituent: Monduli Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 139, Monduli Office Phone...
  9. nyasaland

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    hivi na huyu mzee wa UFUFUO NA UZIMA watampeleka wapi?
  10. nyasaland

    NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

    MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA LEO Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT. Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku...
  11. nyasaland

    NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

    Katika uchambuzi wa magazeti leo redio one na gazeti la nipashe wameweka wazi kuwa leo ndio siku yakuyatoa matokeo hayo. MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/403316-necta-yatangaza-matokeo-ya-kidato-cha-nne-2012-a.html
  12. nyasaland

    Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa

    udsm bado ila wakitoa ni moja kwa moja net au gazetini ,why haukurudisha?
  13. nyasaland

    Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa

    hamna mkuu GPA imekaa vizuri na nina cpa by the way niliingia choo cha kike ngoja nisubiri udsm maana niliomba
  14. nyasaland

    Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa

    vigezo gani nina bachelor plus cpa na three year work experience au kuna vigezo vingine tena pale mzumbe
  15. nyasaland

    Mzumbe admission kwa mba 2012/13 mazingira ya rushwa yanaandaliwa

    Mimi ni mmoja wa watu walioomba master pale sasa ninachokiona ni kuwa wanaandaa mazingira ya rushwa kwa sasa wanapigia mtu mmoja mmjo simu sasa nikawa na maswali kidogo inamaana hawazi kuweka kwenye website yao au kutoa kwenye gazeti kama vyuo vingine vinavyofanya ?sikuishia nikapata namba ya...
  16. nyasaland

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Naomba mnijuze juu ya uvumi wa kuwa waziri wa miundombinu yupo dodoma anaumwa na kuna mdogo wangu kaniambia hilo ====== UPDATE: WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana (Aprili 18, 2012) aliugua ghafla akiwa kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma na kupelekwa katika Hospitali ya Mkoa ambako...
  17. nyasaland

    Je, Mbunge Shibuda alikuwa wapi wakati makamanda wetu wengine wakiwa katika harakati za ukombozi?

    ni bora SHIBUDA ambaye alikuwa kimya kuliko ZITTO KABWE ambaye alikuwa busy na uraisi 2015 ili kuvuruga attention za uchaguzi ARUMERU ,hawa wote ni hatari mbaya zaidi ni huyo ZITTO ambaye ana cheo kibwa ndani ya chama
  18. nyasaland

    Michuzi blog,na ushabiki wa kisiasa, mktano ccm watkisa ngome ya cdm maji ya chai arumerumeru east

    Nilikuwa napitia blog ya issamichuzi leo nikaangalia kwa mwenye uelewa wa kawaida utagundua kuwa imeibeba ccm maana imetumia picha nyingi kumnadi mgombea wa ccm-arumeru kwa picha na matukio ambapo yangeweza chukua sawa sawa na mgombea wa ccm,nikashuka chini kidogo nikakutana na picha za...
  19. nyasaland

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    ngoja nawe wakupe ili uteseke zaidi na report nusu maana mateso kwako ni kawaida na huruma ni ndoto
  20. nyasaland

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Lowassa awa mlezi wa Tamongsco Na Kenneth Ngelesi WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameahidi kutoa msaada wa gari na kujenga ofisi ya makao makuu ya umoja wa wamiliki, mameneja na wakuu wa shule za sekondari na vyuo binafsi (Tamongsco) taifa. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa...
Back
Top Bottom