Search results

  1. Pozzers

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama. Tunaomba Rais akemee watu wake hawa maana yeye ndo mkuu wao kuanzia utumishi na wazazi wenye watoto wa kike tusiruhusu waende huko huo ni uuaji kama uaji mwingine. BINTI ALIYELALA NA WANAJESHI AJILIPUA! Kuna...
  2. Pozzers

    Msafara wa kwenda kukagua shule!

    Hivi nani katuloga!!??
  3. Pozzers

    Kwanini rushwa haiishi Tanzania?

    Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tu na ukafanikiwa. Hivi kwanini?
  4. Pozzers

    Kwanini muziki wa Dance sasa hivi umekosa mvuto na unazidi kupotea kwenye taswira ya Sanaa?

    Nadhani aina ya music wa dansi wa Sasa hautengenezi kizazi Kipya na Hata hao Wasanii wa kufokafoka wanatoka Kwa Juhudi zao na sio kwamba wanatengenezwa kama ilivyokuwa THT.
  5. Pozzers

    Tuna tatizo moja sugu nchi hii wananchi wanalia na viongozi nao wanalia hakuna wakutoa solutions kabisa

    JPM alikuwa akisema kwa kutamba kuwa sisi ni matajirj na kazi tuliziona no kulialia wala kupandisha gharama za maisha kwa kisingizio cha Corona iliyokua ya dunia nzima sio haka Kavita ka Ukraine tu..
  6. Pozzers

    TFF yazuia watu kuzungumzia Mkataba wake na GSM

    Alafu watu wasiongelee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wanaficha nini sijui
  7. Pozzers

    Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

    Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke 1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote, 2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote. JPM...
  8. Pozzers

    Ccm inamuhitaji tena Bernard Kamillius Membe ili kurudisha ushawishi walioupoteza Kusini miaka kadhaa iliyopita

    Mwanadipromasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema hawezi kuongea...
  9. Pozzers

    DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

    DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara. Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
  10. Pozzers

    Kamati ya Miss Tanzania: Mshindi wa pili ataiwakilisha nchi katika shindano la Miss World 2021

    Mshindi wa Pili wa Miss Tanzania, Juliana Rugamisa ndiye atakayeiwakilisha nchi kwani mshindi wa kwanza,Rose Manfere amekosa vigezo. Kamati imesema kazi ya BASATA ni kutoa kibali, lakini wao ndio wenye leseni.
  11. Pozzers

    Siku 100 za Rais Samia imeweza kurejesha kwa kiasi kikubwa utawala wa sheria na kufungua milango kwa wawekezaji

    Sheria hazijaenda bungeni kubadilishwa; ametumia cheo kuamrisha mambo yaende. Akitokea mtu mwingine ambaye ana utashi mdogo, ataumiza watu angepeleka mabadiliko bungeni hapo sasa
  12. Pozzers

    "Siwezi Kuwa Na Msichana Ambaye Tayari Ana MTOTO"

    "Siwezi Kuwa Na Msichana Ambaye Tayari Ana MTOTO" Maneno Haya Yanasemwa Na Kijana Ambaye Kalelewa Na Baba Wa Kambo[emoji2960]. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Pozzers

    Shirika la Fedha Duniani (IMF)

    limetahadharisha kuwa, benki 6 nchini #Tanzania zipo hatarini kuanguka kutokana na kutokuwa na fedha za kujiendesha (undercapitalised). IMF imesema tatizo hilo limezidi kuikumba sekta hiyo nchini, na kupelekea Benki 6 kufungwa na BoT Januari 2018.
  14. Pozzers

    Bernard Membe

    "Lakini kwasababu ya Ugeni kazini na kwasababu ninamuheshimu, nitakwenda kumuona"...Bernard Membe
  15. Pozzers

    Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Maduka ya kubadilisha fedha za kigeni Arusha karibu yote yako chini ya ulinzi wa wanajeshi wakiwa na mitutu kwa kile kinachoitwa operation. Its truly happening in Arusha. -------- Ulinzi mkali umeimarishwa kwenye maduka karibu yote yanayohusika na biashara ya kubadilisha fedha(Forex) Yadaiwa...
  16. Pozzers

    Hivi ukiwa waziri huruhusiwi kuzungumizia matatizo yaliyopo jimboni mwako?

    Nape alipokuwa waziri hakuwa akisema Bungeni changamoto za jimboni kwake, until when he was expelled. Vivyo hivyo kwa Charles Tizeba, sasa analia na vivuko. Nchi hii buana!!
  17. Pozzers

    Wito kufika kwa mkuu wa mkoa, Mputa versus Pwani Haulage

    In The High Court of Dar-Es-Salaam At Mkuu wa Mkoa Ofisi Civil Case No. 10 of 2018 Mputa versus Pwani Haulage Before: Hon, Bashite Judge.
  18. Pozzers

    Mafuta ya kula bado ni shida mtaani

    Wafanyabiashara Walipewa Siku Tatu Na Waziri Mkuu Wawe Wameshayatoa Mafuta Yote Ya Kupikia Waliyodaiwa Kuwa Wameyaficha Na Kuhakikisha Bei Inashuka, Nadhani Siku Tatu Zimekamilika Jana, Vipi Huko Ulipo Mafuta Ya Kupikia Yameshashuka Bei?
  19. Pozzers

    Naomba kujibiwa

    Hivi tujikumbushe kidogo mhe jk amewahi kutoa hotuba mara ngapi awapo msikitini? Na je mhe Mkapa naye aliwahi kutoa hutuba mara ngap awapo kanisani?
  20. Pozzers

    Sinto Fahamu ya Polisi baada ya kumpiga Mwanafunzi Risasi

    Polisi wanaposema walimpiga risasi Aquilina kwa bahati mbaya, kwani walilenga kumpiga nani kwa makusudi? Was there anyone targeted to shoot?
Back
Top Bottom