Search results

  1. Pozzers

    Kwa hili janga la umeme nahisi sasa watanzania wameelewa Magufuli aliposema yeye ni Rais wa wanyonge

    Tanzania nchi ngumu sana. Naibu waziri mkuu anasema hajui na hawezi sema tatizo litaisha lini lakini chawa mmoja huku anatuambia linaisha karibuni [emoji23][emoji1787]
  2. Pozzers

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Amesema ukweli mtupu... kuna vitu havifutiki sijui kwanini hawakuweka hii part Uwezi kuandika historia ya Lowassa bila kutaja CHADEMA. Ni kujidangaya tu. Hili ni taifa letu sote
  3. Pozzers

    Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe...
  4. Pozzers

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    DPP ndio anaye own mashtaka. Infact yeye ndioa anayepeleka mashtaka mahakamani. Kazi ya mahakama ni kusikiliza parties na kutoa hukumu. DPP akiamua kuondoa shitaka mahakamani, huwezi kusema ameingilia mamlaka ya mahakama. Mamlaka yepi kwanza!
  5. Pozzers

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Kanisani tunaenda kusali sio kuhutubia haya mambo yalianza kipindi cha Magu, huko kwa akina Mkapa na Nyerere hizi mambo hazikuwepo.
  6. Pozzers

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama. Tunaomba Rais akemee watu wake hawa maana yeye ndo mkuu wao kuanzia utumishi na wazazi wenye watoto wa kike tusiruhusu waende huko huo ni uuaji kama uaji mwingine. BINTI ALIYELALA NA WANAJESHI AJILIPUA! Kuna...
  7. Pozzers

    Mkoa wa Tanga Wana bahati sana wametoa Mawaziri muhimu Watatu na Naibu Waziri

    Lkn nani anasema teuzi za Afrika zinatokana na weledi wowote wa mteuliwa kama sio connection?.. Kwamba pamoja na shida zote za umeme mwenye weledi kuongoza wizara ni mtu yuleyule na si tofaut na hivyo?..
  8. Pozzers

    Msafara wa kwenda kukagua shule!

    Ili wakipata ajali wafe wote sio[emoji16][emoji23]
  9. Pozzers

    Msafara wa kwenda kukagua shule!

    Hivi nani katuloga!!??
  10. Pozzers

    Abiria wagoma kushuka kwenye kituo cha mabasi cha Magufuli, Mbezi Louis

    Imagine Unatoka Safari ya bukoba na basi umechoka Halafu wewe unakaa kigamboni - Mji mwema umeshushiwa Mbezi stand Saa 6 Usiku Si bora hata wakushushie Chalinze uwanze kutembea taratibu [emoji3525]
  11. Pozzers

    Kwanini rushwa haiishi Tanzania?

    Wabongo tunatanguliza Rushwa hata kwenye mambo ambayo unaweza kufuata utaratibu tu na ukafanikiwa. Hivi kwanini?
  12. Pozzers

    Kwanini muziki wa Dance sasa hivi umekosa mvuto na unazidi kupotea kwenye taswira ya Sanaa?

    Nadhani aina ya music wa dansi wa Sasa hautengenezi kizazi Kipya na Hata hao Wasanii wa kufokafoka wanatoka Kwa Juhudi zao na sio kwamba wanatengenezwa kama ilivyokuwa THT.
  13. Pozzers

    Mnyeti ni mfano hai wa Wabunge mizigo na anayehatarisha diplomasia ya nchi

    Mnyeti amefanyiwa Vetting huyu akawa mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa Mkoa akaibukia kwenve ubunge. Kabla va hapo alikuwa mkuu wa Shule pale Igokelo Sekondari kuanzia 2013 hadi 2016. Ukiniuliza ni maajabu gani alifanya pale hadi akachaguliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa hakuna mwenye...
  14. Pozzers

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Hii nchi bwana sasa taarifa imetoka katika taasisi ambayo ipo chini ya Wizara yake bado wanajikemea wenyewe tena[emoji16][emoji23][emoji23]
  15. Pozzers

    Tuna tatizo moja sugu nchi hii wananchi wanalia na viongozi nao wanalia hakuna wakutoa solutions kabisa

    JPM alikuwa akisema kwa kutamba kuwa sisi ni matajirj na kazi tuliziona no kulialia wala kupandisha gharama za maisha kwa kisingizio cha Corona iliyokua ya dunia nzima sio haka Kavita ka Ukraine tu..
  16. Pozzers

    RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

    Wengi wanajiuliza na kuona kama 'Hakuna kosa' hapo, lakini kuna makosa makuu 2 ya haraka-haraka 1- Kimaadili ya kazi, huwezi onyesha tamaa dhahiri ya wadhfa fulani wakati upo katika ngazi nyingine, 2- "Nipewe hata miaka 3 tu, niwaachie!", anaonesha mashaka na utendaji wa IGP.
  17. Pozzers

    Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

    Tanzania kutoa vibali vya kuwinda Simba na Tembo wazee Tanzania kutoa vibali vya kuwinda Simba na Tembo wazee
Back
Top Bottom