Niliwahi kupitia kipindi kama hicho mwaka 20007 nilikuja Dar es Salaam nikiwa na pesa kiasi cha 13m ila zile pesa zote ziliyeyuka nikaanza kudaiwa kodi ya nyumba pale Shekh lango nikaona nimwambie mke nilie kuwa arudi kwanza kwao mimi nikakimbilia Tabora nako maisha yalikuwa Magumu zaidi baada...
Katika maisha ya kawaida jamii inakuwa na watu wa kila tabia na tabia ndio zinazoweza kuitambulisha jamii husika
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alianzisha kampeni yake yakupambana na wamiliki wa Madangulo katika viunga vya jiji la Dar
Kwa hulka za waungwana ni kweli ukahaba sio...
Vijana wengi wanaosoma shule za kata wanaopasua kwenda Advance wanafanya vizuri sana huko ila hawa wanaotoka Egsschool wengi wao wanakwepa Sana kwenda Advance lakini yote ni kwamba aliepitia Advance na akaenda chuo kwenye soko la Ajira baadhi anapewa kipaumbele zaidi kuliko aliepitia Diploma...
Nashukuru sana kwa wote mlio guswa na tatizo langu kiujumla siku nilizo Ishi katika tabu hiyo sikujua usiku wala mchana niliishi katika wakati mgumu watesi wangu walikuwa ni wema sana hawakuwahi kunijeruhi wala kupiga popote juu ya mwili wangu'
Maisha ya kutekwa kiukweli ni Magumu sana' lakini...
Nami nitahitaji malipo ili kutoa taarifa zangu NIDA kama taarifa ninazo zitoa zinaweza kugeuzwa Biashara kwa makampuni Basi nami nilipwe pacent ya usumbufu kuwe na Huduma kutoka NIDA itwayo NIDA gawio
Nimekwisha jipanga kisaikolojia kuwa sintoshiliki upigaji wa kura kwa tume hii inayo tokana na matakwaa ya serikali
Siwezi kujipaka kinyesi
Siwezi nitabaki nyumbani kuangalia tv
Mambo mengi africa hukwamishwa na uduni wa katiba zetu kwa nchi ya malawi cheo cha uraisi huchukuliwa kama cheo cha uchifu ni tofauti kidogo na siasa za east africa hasa Tanzania na Kenya Wamalawi hawajali sana teuzi wao wanaangalia utendaji wa mteule
Tanzania tupo mbali katika mambo ya matumizi ya Inarnet kuliko nchi ya Kenya ikiwa sisi tunatumia fiber cable zaidi ya 70% ya Watanzania wanauwezo wa kufikiwa na Intarnet hali ipo tofauti na nchi nyingi katika East Africa ikiwemo Kenya matumizi ya Fiber Cable yanawezesha unafuu wa upatikanaji wa...
Shukrani za dhati kwa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kulifanyia kazi jambo hili tena kwa wakati nina Imani sasa watoto wakitanzania watasoma kwa Amani na upendo
Hili wazo lingefanyiwa kazi naamini msongamano uliopo katika Shule za Olimpio na Diamond ungepungua kwa kiwango cha juu pamoja na kufanyika English medium lakini shule hizi hazikidhi vigezo ukilinganisha na shule za Tusime na Kaizirege
Tatizo linakuja pale mtoa tamko yupo kwenye kiti kinacho mfanya kujihisi yeye ndio mungu wa watu wote hivyo matamshi yake yaweza kufaa kuunda aya katika vitabu vitakatifu
Baada ya kufunguliwa kwa shule za msingi na secondary wizara ya elimu imetoa muongozo wa kuongeza muda wa masomo katika shule na vyuo mbalimbali nchini
Jambo la kuongeza muda wa kujifunza ni jambo jema kabisa lakini changamoto ni uamuzi huo kutolewa pasina kuzingatia mazingira halisi ya...
kwenye sekta ya mafuta serikali imeshindwa kabla ya kuanza maana mbali na TANOIL kuna GPSA ni wauzaji na wasambazaji wa mafuta ya serikali lakini hakuna ubunifu wowote katika hiyo tasisi miaka nenda miundo mbinu ya pump zao ni ile ile na uendeshaji wake umejaa magumashi
Tanzania haiwezi kuipoteza fursa Katika mizigo ya kibiashara ya Congo ipitayo Katika Bandari yake..
Mpangilio wa kijographia wa nchi ya Congo Tanzania ni sehemu muhim kwa uchum wa Taifa hilo la DRC..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda Saimon Siro hakuwahi kuwa mwinjiristi..
Kamanda Saimon Siro hakuwahi kuwa diwani au mwenyekiti wa Kijiji..
Siro akiwa amezaliwa Katika nyumba yenye maadili ya mungu siku chache katika maisha ya utoto wake alipitia katika mafunzo ya kipaimala kabla ya Kupokea Sakrament iliyotoa nafasi...
Chuo hiki ni chuo cha dini ila hukum waliotoa kwa hao wanafunzi ipo kinyume na mafundisho ya dini husika nadhani utashi binafsi kwa watoa hukum haukuzingatia matashi na hukum za dini husika
Uislam uko wazi endapo imedhibitika kuwa wahusika ni wazinifu basi wangepigwa fimbo 50 au 80 kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.