Search results

  1. F

    Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

    Nilikuwa najaribu kukusaidia tu ndugu yangu kwa kile ninacho kifahamu kwa uhakika. Takwimu nilizokupa nilizipata kwa watu wanaohusika na zoezi la posting. Kutokuwepo kwenye website ya wizara hakuondoi ukweli wa hili. Usitake kutuaminisha kwamba takwimu zinazopatikana kwenye mitandao ndo sahihi...
  2. F

    Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

    Hapa naomba ieleweke kwamba, mwenye mamlaka ya kutoa vibali vya ajira katika utumkshi wa umma ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejementi ya Utumishi wa Umma.
  3. F

    Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

    Ndugu yangu Meningitis nashawishika kuamini kwamba hoja yako imeongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo. Pengine zipo tofauti binafsi kati yako na Mama Nyoni. Nisingependa sana utuingiza kwenye mtego wa kujadili hilo. Lakini kwa kuwa umepitia mgongo wa posting nitaelezea kidogo hilo. Kwa...
  4. F

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Hongera mtoto wa mkulima.
  5. F

    Uspika na Nguvu ya Mafisadi!

    Katika hotuba yake baada ya kuapishwa Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM alisema kwamba kutokana na kipigo walichokipata katika uchaguzi mkuu kwa kupoteza majimbo mengi (Nyamagana, Ilemela na Iringa kutaja machache). kama chama wangekaa na kuangalia wapi walijikwaa na kuangukia pua. Maskini ccm...
  6. F

    Jk na red tai

    Rangi nyekundu Serikalini ishara ya mamlaka. Kama mtu ambaye ameshatangazwa,( nimebold kuonyesha msisitizo), kwamba nia mkuu wa nchi na anakwenda kuapishwa,hapo kumbuka kwamba akishatangazwa na tume ndo ntolee hiyo; sidhani kama alikosea. Labda nishawishi vinginevyo.
  7. F

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Hivi hao nao wametangaza nia? Patachimbika.
  8. F

    Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

    Kama atapata ugumu wa kuchagua jina napendekeza atumie hili ZERO BRAIN
  9. F

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Huo ndo unaona muujiza ee, jiulize na hivi basi, katika jimbo ambalo chama kimekosa hata kiti kimoja cha udiwani, kinawezaje kupata kura nyingi za urais??
  10. F

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Sijaelewa busara kwako inamaanisha nini. Kama upo ushahidi wa dhahiri na usio na shaka yoyote kwa nini akubali? Kura ni mali ya wananchi, na kama anaaminii alipewa za kutosha ila kwa sababu ambazo haziko wazi,haieleweki ziliko, hana hiari isipokuwa kuzitafuta. Na hapo nadhani ndo ulipo msingi wa...
  11. F

    Elections 2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

    Wakati Mhe Zitto anafanya jitihada za kuwatuliza wanachma wake polisi walikuwa wapi?? Baada ya wananchi (wanachama wa Chadema) kutulia polisi walifuata nini kwenye ofisi za Chadema?? Kurusha mabomu? Ndiyo, kurusha mabomu kwa kuwa ndicho walichokifanya. Haya basi, madhumuni halisi yalikuwa ni...
  12. F

    The Polite Way To Pee

    Ha ha haaaaaa,
  13. F

    Elections 2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

    Hureeeeeeeeee, hongera sana Mr. II a.k.a Sugu, umewakimbiza vibaaaaya mkubwa, UNATISHA. Tunatarajia uwakilishi makini mjengoni. Mungu akuongoze.
  14. F

    Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

    Ikiwa hali ndo hiyo, bado tuna safari ndefu kuelekea mabadilikoa ya kweli.
  15. F

    Ni kweli kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa?

    Wana Jf nimepata taarifa ambazo naweza kuziita siyo rasmi lakini ni muhimu kuzifanyia kazi, kwamba kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa. Mwenye taarifa kamili kuhusu suala hili aweke hadharani.
  16. F

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Aaaaaaaghhrrrrrrrrrrrrrrrr, njombe wamefanya ati?
  17. F

    Elections 2010 Matokeo Mwakibete

    Ee Mungu wa Mbinguni na utusimamie mpaka dadkika ya mwisho.
  18. F

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

    Mkuu jitahidi tuapatie takwimu kamili pamoja na pilika zilizopo. By the way naamini ushindi upo tunachotaka kujua ni kwa kiwango gani. Big up Mkuu kwa taarifa za faraja kwa wapenda mabadiliko.
  19. F

    Masikini Kikwete

    Tuahabarishe kwanza amesema nini?
Back
Top Bottom