Search results

  1. H

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Zingatieni miongozo ya katiba hayo hamtaviona hivyo vikwazo Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  2. H

    Zitto: Tumepigwa cha juu katika ununuzi wa ndege mpya

    Kama ni kweli kwa hii tuhuma basi Tz hatuna wazalendo.
  3. H

    Samweli Sitta ni Mgonjwa

    Pole saana mzee sita tunaomba Mungu akujalie afya njema. Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  4. H

    Sababu kwanini Magufuli na CCM watashindwa vibaya Uchaguzi wa 2020 iwapo tutakuwa na Tume Huru

    Watu wengine cjui wanatumia nn kufikiri mfano salary slip amewasilisha maada yake hapo juu poa saana lkn kwa wepesi wa kufikiri mtu anakurupuka na mawazo mgando kuicrush
  5. H

    Kwa mtindo huu, tutakwama tuu!

    Kila kiongozi na mfumo wake wa kiutawala kwa hiyo tumuache JPM aendelee na utaratibu wake yawezekana ukawa na tija. Kwa hiyo yetu macho.
  6. H

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Mbona hawa wanasheria wa serekale utadhani ni mbumbu wa sheria. Duuuh big up kwa mh. Hakimu na jembe Lisu kwa kuonyesha weledi wa kuitafsiri sheria vozuriii Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  7. H

    Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Mbona ujumbe umeeleweka huo!! Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  8. H

    Baada ya kuwashangilia mazembe msikieni huyu

    Ama kweli yeboyebo ni wepesi wa kusahau ya kwao.
  9. H

    Baada ya kuwashangilia mazembe msikieni huyu

    Yeye amesahau kuwa siku TP Mazembe wamekuja kucheza na Simba Fc wana yeboyebo waliunda kikundi kizuri cha ushangiliaji na wakavaa jezi za Tp leo ni nini kinawauma au ndo kusema kuwa siku hiyo walifanya nini?
  10. H

    Serikali: Hakuna nafasi ya mwanafunzi wa kidato cha tano kubadili mchepuo au shule

    Mmmmh hii ndo Tanzania na watawala wetu wasiosikiliza hitaji la wananchi wao!
  11. H

    Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Dah hiyo ndo ccm ktika ubora wake!!!
  12. H

    Uchaguzi YANGA: Majina yaliyopitishwa na Kamati katika usahili yawekwa hadharani hivi leo.

    Hans Poppe kivip tena na yangaaa??? Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  13. H

    Kicheko cha leo asubuhi

    Hahahahaaaah kweli kabisa
  14. H

    Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

    France Belgium na Germany hao wote wana vikosi vizur mno tutegemee kati yao lazma waingie fainali
  15. H

    Mauaji ya Tanga

    Kama watu huwa hanna taarifa za kueleweka kaeni kimyaaa
  16. H

    Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Pale kwa mtazamo wako unaona kuna kosa alilofanya zito maana yy alisimamia kanuni ilivyokuwa inamwongoza au shida ni kuzitafsiri kwenu?
  17. H

    Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Mimi cjaliona that is y nahoji. Kama unalifahamu kwa nin usiliseme unaniagiza kwenda u-tube? Au ni kawaida yenu kuzungukaa?
  18. H

    Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Hili la kufungia wabunge wa upinzan kisa wanapinga hoja za upande wa pili linalenga maslahi fulani. Kwanza kamati yenyewe hii ya maadili na haki ni ya upande uleule tuuu je unadhani hapo haki itatendeka.
  19. H

    Kuwafungia wabunge ni ukiukwaji katiba na kuwanyima wananchi haki yao ya kuwakilishwa Bungeni

    Wewe unadhani ni fujo zipi wamezifanya tofauti na kuhoji vitu ambavyo vinakuwa vimeletwa na serikali visivyokuwa na maslahi kwa wananchi, mfano Zito kosa lake ni lipi au kuhoji uhalali wa kutoonyesha bubge live. Think twice.
Back
Top Bottom