Habari
Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi
Nawatafuta wauzaji wa hii bidhaa, wanaosafirisha nje, ukiwapata nami nijulishe @ 0786711786
Green Cardamon CIF KARACHI OR PORT OF AFGHANISTAN
Qty TBA by seller
Origin ANY except India
Size 7-8mm
Payment TBA by seller
Quick action is needed.
Huo ndi ujasiliamali, sehemu ulipoishia, ndio unaazia. Haijalishi iliihia kwa kushindwa au kufaulu.
PATA HIKI KITABU Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae
Kitakusaidia kwa malengo yako makubwa
0756419549
Hiki kitabu kina ufafanuzi wa hatua kwa hatua ukiambatana na picha kuhusu kusindika na kuhifadhi nyanya. Katika hiki kitabu kuna taarifa ambazo zitamfanya mjasiliamali kuelewa zaidi kwa sababu ni njia rahisi na mazingira ni rafiki kwa kila mtu ambaye angependa kujua kuhusu uhifadhi wa nyaya kwa...
Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la nyanya kushuka ghafla bei sokoni kutokana na wingi wa nyanya.
Tumeshuhudia watu wakipata hasara kubwa...
Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi.
Ukubwa wa 520 sqm
Bei ni 12,000,000
Malipo ni cash
Umeme na barabara ni hapo hapo
Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani kiko kwenye center nzuri sana
Call me 0685 810 420 ama WhatsApp 0685 810 420
Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi.
Ukubwa wa 520 sqm
Bei ni 12,000,000
Malipo ni cash
Umeme na barabara ni hapo hapo
Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani kiko kwenye center nzuri sana
Call me 0685 810 420 ama WhatsApp 0685 810 420
Mheshimiwa mob hiyo tofauti ya bei niliyotangaza na yako ni kubwa muno, hata kama kuna kuelewana ni kweli kuna sehemu tutakutana? Nimekupa maelezo kamili inbox
Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara
Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.
Karibuni
Nashukuru kwa walionishauri.
Kiwanja kipo: Mbezi Malamba mawili, Mzalendo Steet
Ukubwa: 26" x 20"
Bei : 12M
Eneo: Zuri sana kwa makzi na biashara
Mwenye nia ya kununua tuwasiliane 0685 810 420, tutapeana maelezo zaidi ikiwemo pia kuelewana.
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.