Search results

  1. Sanjara Honey

    Ushauri: Nimeitwa Polisi

    Fikra ya haraka inanitumua kukuuliza kama hiyo simu unayotumia ulinunua dukani au kwa mtu? Hakikisha una risiti ya manunuzi. Kwa vyovyote vile ama wewe au huyo rafiki yako mmoja wenu anatumia simu yenye RB.
  2. Sanjara Honey

    Nahitaji Toyota Noah - Ofa TZS 11,000,000/= Cash!

    Shida ni muda. Nahitaji ifanye kazi mwezi huu
  3. Sanjara Honey

    Nahitaji Toyota Noah - Ofa TZS 11,000,000/= Cash!

    Mawasiliano ni kupitia PM au Email: sanjarahoneytz@gmail.com
  4. Sanjara Honey

    Nahitaji Toyota Noah - Ofa TZS 11,000,000/= Cash!

    Updates: Wakuu, Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Hatimaye nimepata Noah na kuilipia. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Wakuu, Changamkeni deal hilo hapo. Sihitaji gari la kugeuzwa VETA. Usajili kuanzia T XYZ DQ.... Mwenye nalo tuwasiliane kwa PM au kupitia...
  5. Sanjara Honey

    A Girl for Social Media/Marketing Engagement

    Kwa sababu bidhaa tunayotaka huyo mwajiriwa asimamie ni femine!
  6. Sanjara Honey

    A Girl for Social Media/Marketing Engagement

    Mchakato wa hii nafasi una hatua zifuatazo: ~Tangazo la nafasi ya ajira ~Kupokea naombi ~Kuchuja waombaji na kupata orodha fupi ~Kufanya usahili ~Majadiliano juu ya malipo ~Kufunga mkataba wa ajira Ukiangalia hapo juu, ndo kwaaanza tuko hatua ya kwanza! Itakuwa vigumu kutoa majibu ya hatua ya...
  7. Sanjara Honey

    A Girl for Social Media/Marketing Engagement

    Anahitajika binti kwa ajili ya kuuza bidhaa kupitia mitandao. Muombaji awe na sifa zifuatazo: Awe na akaunti kwenye mtandao wa Instagramu yenye wafuasi/marafiki/jamaa wasiopungua 2000 Awe na uwezo wa kuandika jumbe (posts) zinazoshawishi na kusababisha wasomaji kuonyesha hisia zao au kufanya...
  8. Sanjara Honey

    Anatakiwa Dereva wa Kike (1) na wa Kiume (1)

    Tunahitaji madereva wawili; mmoja wa Kike na mwingine wa Kiume. Wawe na vigezo vifuatavyo: Awe ni mkazi wa Mtoni-Kijichi au maeneo ya Mbagala-Kuu Awe mwaminifu na asiwe na historia ya jinai yoyote. Elimu walau form 4 Leseni ya udereva iliyohai dalaja D Uwezo wa kujieleza kwa ufasaha Ufahamu...
  9. Sanjara Honey

    Hypnotherapy huondoa Maumivu

    Nikihitaji huduma hii naweza kuipata wapi au kama wewe ni Practitioner, unapatikana wapi? Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
  10. Sanjara Honey

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Naomba namba ya Konda au Dreva wa Takbir Bus la Dar-Geita.
  11. Sanjara Honey

    Nini suluhisho la ganzi

    Naomba kujua: ~Jina la bidhaa/Dawa aliyotumia Auntie wako. ~Ikiwezekana, nitashukuru kujua inagharimu kiasi gani na ~Inapatikana wapi? Natanguliza shukrani kwa majibu
  12. Sanjara Honey

    Red wine (dompo) 8500

    Karibu tuitiishe kiu yako. Tuko tayari kukuhudumia na itakuwa faraja kwetu kukuhudumia.
  13. Sanjara Honey

    Red wine (dompo) 8500

    Ina ABV 14.1%
  14. Sanjara Honey

    Red wine (dompo) 8500

    Kwa Dar kuletewa ulipo ni BURE. Kama upo nje ya Dar nijulishe ulipo na ukubwa wa oda yako nikupatie bei tufanye biashara. Karibu!
  15. Sanjara Honey

    Red wine (dompo) 8500

    Carton yenye Chupa 12 inauzwa TZS 96,000/= Ukinunua zaidi ya cartons tano unapewa Chupa za nyongeza ukaonjeshe bure. Tunapatikana Dar na Mikoa mingine kupitia mawakala. Unaweza kuongea nasi kupitia 0767 988 173. Karibu sana!
  16. Sanjara Honey

    Red wine (dompo) 8500

    Kama bado wahitaji tumia WhatsApp no. 0621788087
  17. Sanjara Honey

    Natural Sweet Red Wine..

    Kama unataka Red Sweet Wine nzuri zinazalishwa Tanzania tafuta Balozi Wine au Upendo Canna Wine.
  18. Sanjara Honey

    Serikali ipo mbioni kutunga sheria mpya ya kusimamia vyama vya Siasa nchini

    Hakika JF kuna Manabii! Ulijuaje kama Kitila ataachana na ACT?
  19. Sanjara Honey

    Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Wasiliana na Bosslady
  20. Sanjara Honey

    Fursa: Ajira ya Muda kwa Warembo!

    There you're! Umepatia
Back
Top Bottom