Search results

  1. Mimibaba

    Kasulu, kigoma: Ukawa jiandaeni kwa maamuzi magumu.

    Umethibisha nilichokisema
  2. Mimibaba

    Kasulu, kigoma: Ukawa jiandaeni kwa maamuzi magumu.

    Nimejitosa kuchangia kwa sababu kuna hoja mtambuka kwa mitazamo Kimsingi hakuna bahati mbaya tuliyo nayo kama kuwapima chama tawala CCM kwa kauli zao zinazojikanganya na kukinzana. Sisi na Malasia tulipata uhuru mwaka mmoja. Tofauti tuliyo nayo kimaendeleo na kijamii ni mbingu na nchi. On that...
  3. Mimibaba

    ACT-Tanzania: CCM ni gonjwa, limezoea dawa, sasa tulibadilishie dawa..

    Haya ona rangi zako unaishambulia CUF kana kwamba umewafumania. HUdhuria semina za Dr. Kitila na Zitto uelimike kuhusu kuwa msaliti mwendelevu.
  4. Mimibaba

    ACT-Tanzania: CCM ni gonjwa, limezoea dawa, sasa tulibadilishie dawa..

    Usishangae rangi ya zambarao inayoonyesha umburula wao, jiulize ile nembo ya kwenye bendera yao tafsiri yake ni nini? Hao ndio vijana wasomi waliopikwa na kupikika na CCM kuhujumu demokrasia.
  5. Mimibaba

    ACT-Tanzania: CCM ni gonjwa, limezoea dawa, sasa tulibadilishie dawa..

    Najua mmeipeleka CC ya CCM ikapitishwe maana kwa taratibu gani msajili amewapa usajili huku hamna katiba? INAWEZEKANA TANZANIA TU
  6. Mimibaba

    ACT-Tanzania: CCM ni gonjwa, limezoea dawa, sasa tulibadilishie dawa..

    Jibu hoja usilete voja, iko wapi katiba yenu?
  7. Mimibaba

    Wasaliti wa mabadiliko nchini hawa hapa

    Jipe matumaini, halafu tafuta nguo za kujistili uvae
  8. Mimibaba

    MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CUF Tarehe 03-05 MEI 2014

    Bunge lipi? Kama ndilo la katiba tayari ni mkutano mkuu wa chama tawala
  9. Mimibaba

    MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CUF Tarehe 03-05 MEI 2014

    Siku njema za Mungu haziishi ni pambazuko la uhakika
  10. Mimibaba

    CHADEMA yaikaba Kooni CCM Temeke, Kigaila na Kileo wawaongoza Mamia Kudai Serikali tatu.

    Wakati mwingine sikuelewi kama unatania au unaweweseka
  11. Mimibaba

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Mh. mbunge wa kigoma kaskazini ni msaliti; ubunge wake umeshikiliwa na mahakama na si chadema. Ni mwenyekiti wa ACT hilo unalijua simamia imani yako.
  12. Mimibaba

    Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

    Pole mama mambo ndivyo hivyo
  13. Mimibaba

    Wasaliti wa mabadiliko nchini hawa hapa

    Kuthibitisha hakutabadiri ukweli
  14. Mimibaba

    Utapeli mpya unaohusisha wanasiasa

    Ni afadhali umeliona hilo la sasa kwani lipo na litaendelea kuwepo kwenye utawala huu ambapo sheria ziko jela
  15. Mimibaba

    Upinzani kupoka Majimbo yote ya CCM jijini Dar

    Nakukumbusha hoja ya inzi "ukijua wa mbele wenzio wanajua wa nyuma". Ni muda tu CCM itaachia ngazi. Wengine tunaomba iachie bila kupiga mateke maana tayari CCM ipo machinjioni. Nina maana watu wanaelimika na wanaukataa umasikini angalau kwa migogoro na serikali ndiyo hiyo haqzina inakauka. Hiyo...
  16. Mimibaba

    Ndoa ya wapinzani Baraza la Mawaziri Kivuli chadema imewazidi Kete wenzake lakini nayo imejidanganya

    Jionee huruma mwenyewe maana ni "achia ngazi mchuma unaondoka huo"
  17. Mimibaba

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Mkuu, kosa la Mkumbo ni ujinga na upuuzi wa kutengeneza waraka nje ya vikao na taratibu za chama. Kama unaona hiyo ni sahihi basi wachukue wakusaidie kwenye kujenga demokrasia kwenu
  18. Mimibaba

    Tasnifu za njano5: Kikwete ni rais wetu, wapinzani na watanzania kila mpanda upepo huvuna tufani.

    Safi sana kinyume na matarajio yangu; sasa sijui baada ya utitiri wa vyama vya siasa utajiunga na ADC? Hoja 1. Mhula wa pili JK hakushinda kutokana na kura za wananchi. Kwa takwimu sahihi alishinda kwa 10% Kwa hiyo sishangai anachokifanya Ikulu. 2. Aliyemchulia fomu yake ya kugombea urais na...
  19. Mimibaba

    Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo

    Habari ndiyo hii Jamhuri: - Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil - Atuhumiwa kumfanyia unyama mtumishi wake - Polisi Oysterbay, Kanda Maalumu wamgwaya Jumanne, Februari 11, 2014 Mlalamikaji anayedaiwa kupigwa na mabaunsa wa mfanyabiashara bilionea Ally Awadh (Lake Oil) Waziri...
Back
Top Bottom