Search results

  1. mfianchi

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

    Kwani huko sukari imepanda bei na je umeme unashida kama bara?
  2. mfianchi

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Anayemkosea ni yule anayetangaza mambo ya kifamilia kwenye vyombo vya habari, angekaa kimya yote haya yasingetokea, mara mimi nimependekezwa yanini? mbona hatujasikia kwa akina Aboud Jumbe. Maalimu Seifu,Nyerere,Mkapa,Magufuli na wengineo wengi?
  3. mfianchi

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Keshaonja utamu wa madaraka, sijui akimaliza muda wake ataenda wapi. Ni vigumu kuamini na ndio maana nguvu nyingi zinatumika yaani badala ya kuzikwa kwetu tena unaenda na basi mnipeleke ambako si kwetu maili kibao sijui kwa mahaba gani na maisha karibu robo tatu nimeishi kaibu na kwetu halafu...
  4. mfianchi

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Mimi sio mwizi,mimi sio mwizi nani kakuuliza kuwa wewe mwizi? pia haya ni mambo ya familia mbona tarumbeta sana nahisi kuna jambo ambalo si sawa . Nani anataka kuzikwa ambako sio kwao azikwe kwa wakwe na si kwenye makaburi ya wazazi wake tena karibu kabisa na alipokuwa anaishi? tukumbuke...
  5. mfianchi

    CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

    Mkuu umesahau kwamba legacy haifi hasa kwa watenda mema, na ndio maana kamwe hatutawasahau Nyerere na Magufuli tutawasimulia na kuwaambia hata vitukuu vyetu yale mazuri waliyoyatendea nchi hii na watu wake ,kule Marekani bado George Washington anakumbukwa! na hata kwenye muziki bado tunamkumbuka...
  6. mfianchi

    Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Kwani yeye katafuta pesa, sema vijana baba zenu watafute pesa, vijana wetu hawana makosa wazazi ndio wenye makosa, hata hapa TZ wazazi wajanja ndio watoto wao wanalamba asali kwa fujo, sio kusema wao wana akili sana na ujuzi la hasha bali baba zao wamecheza keta na ndio wenye mizinga ya asali.
  7. mfianchi

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Wakazi wote wa Zanzibar ni wahamiaji, hicho kisiwa kilikuwa sehemu ya kupumzikia wavuvi kutoka mataifa na sehemu mbalimbali ambao baadae waliamua kuhamia hapo, ndio maana kuna makabila na watu wa mataifa mbalimbali ambao vizazi vyao vilihamia hapo kama akina Karume kwao ni Malawi, Salmini kwao...
  8. mfianchi

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Loliondo na uwanja wa mpira wa kikapu wa gymkhana
  9. mfianchi

    Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

    Pia kuna zile ziara zao kwenye vitengo, wakurugenzi watendaji kwa kujikomba kwao na kutaka kubaki kwenye madaraka hutoa bahasha za kaki kulingana na hadhi ya taasisi, pia kwa wale wanaokaimu nafasi ili wathibitishwe kuwa wakurugenzi wa taasisi zao nao wana mchezo wa kuwakirimu maboss wao ili...
  10. mfianchi

    Harakati chafu za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

    Alikuwa mchapakazi alipokuwa na njaa Homera wa Tunduru si huyu wa Mbeya kabadilika hata sura, sura ni ya neema ni ya mwenye pesa mtu aliyeshiba, amejifunza uadilifu haulipi na mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
  11. mfianchi

    Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Hah hah wapinzani wenyewe akina Mbowe na Zitto watauza hadi inzi.
  12. mfianchi

    Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Na CCM na Chadema ndio baba wa hayo yote. Chadema ni wasaka tonge tu wala hawawakilishi mwananchi wa kawaida, wanaandamana ili wapate misaada kutoka kwa wazungu na sio kuteteta wananchi wote ni walamba asali.
  13. mfianchi

    Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    TRA wamebaki kutupigia simu eti wanatudai,tunawaambia sisi hatuna biashara lakini hawasikii, kesho naandika barua ya kufunga shughuli zangu.
  14. mfianchi

    Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Sasa kwa muonekano wa huyo Prof je kweli ni mwenye afya? pamoja na kushindia mchicha anaonekana mgonjwa tu.
  15. mfianchi

    Benki Kuu (BoT) yadai kuna watu wameficha dola

    Kwanini mtu afiche dola na asifiche hii ya madafu? je ni wangapi wana uwezo wa kukaa na dola majumbani kwao,tupo wengi tu wala hatujui dola ikoje au hata hatujawahi kuishika, ninavyojua TZ pesa yetu halalini TZS HAYO MAMBO YA DOLA NI YA KWENYU WENYEWE NA MABILIONEA WENU.
  16. mfianchi

    Sasa ni dhahiri CCM inamuogopa Mbowe, lakini unadhani ni kwanini inamuogopa kiasi hiki?

    Kule CCM yupo Mwashambwa na huku SACCOS ya Kaskazini yupo Erythrocte wote wanatoka mkoa wa Mbeya hawa hawana tofauti na akina Doto Magari / Mwijaku. Nyie wote wawili mnatutia aibu sana watu wa mkoa wa Mbeya kwa uchawa na ukunguni wenu uliopitiliza.
  17. mfianchi

    Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

    Thubutu yake,bila Mkwere Rost Tamu si lolote si chochote huyu si alitolewa jalalani na Mkwere, hivi mnamjua mwenye nchi kwa sasa?
  18. mfianchi

    Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

    Jamaa alikuwa amehonga hadi makanisani, kuna wakati kwa jeuri na alikuwa na jeuri kweli kuwa wasiompenda kwenye chama waondoke wao, akajidanganya na akina Kingunge, Tibaijuka, Musukuma, Bashe, Malasusa wakati ule alidhani Mr Kutabasamu hatamuweza na kweli Mr Kutabasamu alimshindwa Mr Mamvi kwa...
  19. mfianchi

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kwa hiyo ina mana maaskofu wa RC wanavyompinga Papa wao kuhusu kubariki ndoa za jinsia moja nao watatengwa sababu uamazi wa Papa ndio uamuzi wa kanisa? pia mbona katibu wa baraza la maaskofu yeye alihudhuria ile hafla juu ya bandari kule ikulu ina maana nae watamfungia milango ya kanisa...
Back
Top Bottom