Search results

  1. J

    exporting-fruits & vegetables

    Mama Dunia, Imekua kama coincidence aisee maana hata mm nimekua nikitafuta hizi details za kuexport matunda kutoka tanzania kuja nchi za kiarabu bila mafanikio.Ninaishi Uarabuni(Bahrain), na huku kama ujuavyo hawana ardhi ya kusema watalima so kila kitu kinatoka nje.Kwa inshu ya matunda mengi...
  2. J

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Jamani Mh. ZITTO amepata sahihi ngapi mpaka sasa? mwenye kujua atujuze.Asante.
  3. J

    Startimes Decoders, TV zenye Hisense za Kichina.

    Mkuu, Hisense ni chinese brand ya miaka nenda rudi...Pia watanzania inabidi tuamini kuwa kuna other chinese brands which are international known for many yrs.mfano mdogo mmoja wapo ni hii kampuni ya hisense au haier ni kampuni ambazo zinameet international standards in electronics industry.Pia...
  4. J

    Turkish PM: why pressure Iran, not nuclear Israel?

    hii kitu ya Israeli vs Palestine and now Israel vs Iran mimi kwa mtazamo wangu kuna kahisia hisia ka dini kati ya waislam kuitetea palestina/iran na mtu yeyote anayepingana na Israeli while most of christians wanaisapoti Israelii.sasa kitu chochote kikishaingiza hisia za dini(uislam/ukristo)...
  5. J

    tunda man na feruzi nani mkali?

    Anaitwa Khalid Ramadhan tunda ukipenda muite tunda man ni kichwa kinachosumbua kwenye anga za bongo flavor.Kwa wanaomkubuka feruzi na nyimbo zake za malalamiko zilivyosumbua miaka ya mwanzoni ya 2000 mtakubaliana na mimi kuwa bongo flavor industry imepata feruzi mpya nae ni tunda man. nakumbuka...
  6. J

    Mikopo ya nyumba

    hii ni nzuri itawawezesha watu wengi ambao hawako kwenye ufisadi makazini au wenye vipato vidogo nao kumiliki nyumba...but mimi personally hapa huwa nina maswali mengi sana hivi inakuaje kama umekopa na ukawa unalipa vizuri tu ikaja wakati deni lako linaelekea kumalizika unafukuzwa kazi.....huwa...
  7. J

    UBUNGE: Dili ya kibiashara, au mwito wa kuhudumia wananchi

    ni personal interests ndo always zinawasukumu kwenye ubunge.nothing else uchungu sidhani kama upo na kama upo ni kwa wachache sana.kwa nini wengine huwa mwanzo wa bunge la kwanza mpaka la mwisho huwa hawachangii hata kitu kimoja achilia mbali kutembelea wananchi wao kwenye majimbo? Pia ni kwa...
  8. J

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    kaka tupo sijui nyinyi wenzangu mlipita pale miaka ipi ila mm nilipita pale from 03-05 nayakumbuka mambo mengi sana pale nikianzia na life la shule without maticha through out the yr....mambo ya kwenda kutega ipamba kwa manesi,kagrielo sekondari,zoo,ruaha na shule zingine kibao za itown.....la...
  9. J

    Uchumba wa kweli kuelekea kuoana unaanzia wapi?

    joyceline umeongea ukweli mtupu kabisa kwa sababu kuvishwa pete na hata mpaka kufikia kanisani kwa mathalani wakristo kutangazwa hakusaidii kama jamaa ni msanii tu unaachwa kwenye mataa.but still swali la mjamaa wa kwanza hapo juu halijapatiwa jibu labdana mm niongezee kidogo uchumba unaanza...
  10. J

    Mkapa ni mtu wa Msumbiji??

    Haya masuala ya watu wa makabila ya mipakani kuitwa sio watanzania halisi si jambo jipya hata kidogo na halipo kwa tanzania tu kwa sababu hata hao wamakonde unaosema sio watanzania wana wenzao kule msumbiji ambao wanashare language,na mambo mengine mengi tu ya kijamii but still makabila mengine...
  11. J

    Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

    we blueray unamanisha nn kusema hashim aliongea pumba majuzi kati???sikiliza kaka binadamu hatuko perfect pia tumeumbwa tofauti kuna wengine wanapenda kujisifu sana kwa mfano mtu kama shaq n.k. kwa ninavyojua hashim huwa ni mtu anayekubali kukosolewa sana hata yeye alishakiri ktk interwiew zake...
  12. J

    Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

    babu acha majungu ya kikoloni wewewewewew......... akinyoa kibwengo au pank ni juu yake that's his swagger wewe!jiangalie mara mbili kwani wakati anatoa jasho kujitafutia umaarufu wake na wa taifa lake mbona hatukusikia unatoa ushauri kaka??stay quite the kid is doing his things out there! leo...
  13. J

    'Cristiano Ronaldo Ametembea na Wanawake 80,000'

    Hahahaha its so funny....huyo mwanamama anadai 80,000 tangia alipoachwa yeye so it means ni zaidi ya hiyo namba kwa sababu sidhani kama ronaldo alianzia kwake mavituz..........halafu yeye mbona hasemi ameshalala vitanda vingapi vya wanaume tofauti tofauti?
  14. J

    Thabeet na henry joseph ni soma

    Ukiachilia mbali kichwa cha habari hata ukweli wa hiyo habari juu ya mshahara wa h.thabeet kwa mwaka nadhani una utata kidogo. Jamaa aliyechangia mwanzoni kabisa yuko sahihi.hiyo hela ni nyingi mno kwa ma-rookie kama yeye.
  15. J

    I see nimejiunga!

    najua we umeshakaribia japo sio mwenyeji sana.nami pia nimejiunga so i do hope nitakaribishwa kwa mikono miwili na wanajamii wenzangu.:)
Back
Top Bottom