Search results

  1. Obama wa Bongo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    1998 nilifahamiana na brother Sanctus akiwa Bado kijana na Mimi nikiwa Mtoto mitàa ya Segerea , Alikuwa MTU mwema sana na mshauri mzuri Kwa sisi wadogo zake wa pale mtaani, Nasikitika Leo ndio naona taarifa hii. Mara ya mwisho kuonana nae last two years kwenye msiba wa kijana wake wa USA. Dah...
  2. Obama wa Bongo

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Jana anehukumiwa Bi Grace anehukumiwa kunyongwa mpaka kufa
  3. Obama wa Bongo

    Je, hili limekukuta kuachwa na bus kisha ukatumia bodaboda kulifukuza bus

    Si rudii tena hiiichezo niliachwa na gari nyegezi stand,naka3nda kuipata pale mizani Usagara. B0da kamaliza speed yote ile yaaani akikatisha ata inzi tulikuwa tumasagikaaa
  4. Obama wa Bongo

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Dah naona mmetuamulia Watu wa Chanika Kwa ngwale, Kwa zoo, Kwa Mbiki, Zingiziwa, Mgeule juu, Buyuni, Nyeburu, Kigezi, Masantura Kwa kifupi sisi Bado tunajitafuta hatujajipata.. Ndio maisha yetu. Mungu akijlia kutanunua apartment huko mjini kwenu
  5. Obama wa Bongo

    TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Huyu Jamaa nilikuwa naona nae miaka 4 iliyopita NBC tawi Kariakoo, Mcheshi sana .Nimemsave Junken Manager Nbc. Aisee poleni sana Familia
  6. Obama wa Bongo

    Makanisa ya Wasabato kujengwa muda mrefu chanzo ni nini

    Hebu nitajie Wasabato kumi matajiri wanamiliki uchumi mkubwa, nitajie wanasiasa Wasabato kumi,nitajie maprofesa 10 wakisabato, chuo chenu Cha Arusha kifungwa hakuna wanazuoni wa kufundisha, Shule zenu zote zilikufa zipo mahututi. Hakuna chanzo kingine Cha Pato lankanisa zaidi ya mifuko ya waumini
  7. Obama wa Bongo

    Makanisa ya Wasabato kujengwa muda mrefu chanzo ni nini

    Ngoja niwape story za ndani kabisa why wasabato wa Tanzania wapo nyuma Ukoloni Mambo Leo: Wasabato wanatoa zake nyingi sana lakini hazibaki Kanisani kwao zinapelekwa USA(GC) makao makuu , Nairobi maana wao wanaamini kuwa zaka ni za wachungaji TU. Ili hali local church wanapaki pesa kidogo sana...
  8. Obama wa Bongo

    Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

    Richard umeondoka mapema sana rafiki, Bwana alitoa na Bwana alitwa Poleni sana TRA na familia ya Walalaze
  9. Obama wa Bongo

    Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

    kwa hiyo mkapuchini Rwaichi sio bosi tena naomba nieleweshwe vizuri
  10. Obama wa Bongo

    Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    sidhani kama ni sawa , unamtoa mtu kutoka national security council ,mpaka kurudi chini kabisa district level Mara nyingi watu wa sampuli hizi wakikosea wanatupwq ubalozini wakatulie mpaka wastaafu
  11. Obama wa Bongo

    Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Sasa huyu mkuu wa wilaya ya Tanga ,naona kama ni demotion kutoka kuwa kamishina wa kupambana na madawa ya kulevya mpaka wilayani? Hadhi yake ni sawa na IGP,Cdf,CGi
  12. Obama wa Bongo

    Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

    kwa hiyo mkaopuchino hawezi kuwa Kardinali?
  13. Obama wa Bongo

    Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

    Nimepanda katarama Dar -Mwz tulifika Nyegezi saa nne kamili usiku,gari ipo comfortable sana.
  14. Obama wa Bongo

    Usije ukajidanganya na hii kauli ya "Age is just a number"

    Mwaka huu mwisho kukaa kwa shemeji miaka 38 ....Taikuni ameamua kunitukana kwa Mara nyingine
  15. Obama wa Bongo

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Alikuwa naibu gavana 2008-2018 kabla ya kurudi udsm
  16. Obama wa Bongo

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Magufuli hakua mjinga kumtoa Dada Natu mwamba pale BOT ...... Leo anarudi Tena kama mlipaji mkuu wa serikali ..... Mama anaupiga mwingi
Back
Top Bottom