Search results

  1. BabaK

    Hoteli za kitalii katika Mbuga na hifadhi: wawekezaji Dola 320 na serikali ya Tanzania dola 4.

    Leo katika taarifa ya habari ITV asubuhi, nimesikiliza maelezo ya kamati ya utalii na mwenyekiti wa bodi ya TANAPA na imenihalibia siku kabisa. >Kwamba katika kila mtalii anayelala katika Hoteli zilizo katika hifadhi na Mbuga zetu, selikali huambulia dola 4 na wawekezaji dola zaidi ya mia tatu...
  2. BabaK

    Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

    Inategemeana na uelewa wa issue yenyewe, lakini ukijifikilisha kwa mapana wawezapata jibu, .......politics is not all about monnie, waweza kuwa nazo na usipate unacho kitamani.......if your here for monnie this is not your right place...and so on. kama ni kweli GM alishayafanya hayo, the guy is...
  3. BabaK

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    hali kwa ujumla wake sio nzuri, maeneo ninayo ishi hakuna mtu yeyote aliye ndani ya nyumba,wananchi wapo ''upset''. so sad
  4. BabaK

    Jen.Ulimwengu na Prof.Shivji

    Hilo pia nimeliona Quinine, Shame on them!!!
  5. BabaK

    Elections 2010 Ccm na ushindi wa kishindo wa 80%

    Kuna watu wengine Vichwa maji!!! Busara Ziro!! Utulivu ziro:A S-baby:
  6. BabaK

    Bila ya haya hata kidogo, JK amfyagilia Mudhir Mudhir

    wewe binafsi mdhihir amekukosea nini?. Mdhihir na watu kama yeye wamewakosea watanzania kwa kufikili Tanzania Ya leo itakuwa kama zama za kidumu cha..........Bila kuweka masilahi ya taifa mbele. Yeye akikosa ubunge wewe unapata nini?. Ni hatua mojawapo mbele ili kulifanya Bunge letu liwe na...
  7. BabaK

    Zahanati kila kata

    Tuwe na huruma na Watanzania hasa tunapotaka kuchukua ridhaa kwao, kuwaongoza na nakuhakikisha huduma za msingi zinapatikana kwa ubora unaoridhisha
  8. BabaK

    Elections 2010 Dk Slaa ni mkweli: Raia mwaminifu na kiongozi bora

    Pia naunga mkono Hoja, Nadhani hii ni nafasi pekee pia kwa watanzania kuweka maslahi ya nchi mbele sio kung'ang'ania mazoea na kuogopa mabadiliko kwa sababu iwayo yote.Ninaona Tanzania yenye sura mpya mbele kwa kumuunga mkono Dr.Slaa.
  9. BabaK

    Mafanikio mazuri ya research ya gel au cream inayopunguza maambukizo ya ukimwi

    Katika mkutano wa dunia kuhusu maendeleo na mafanikio dhiidi ya UKIMWI inaoendelea Viena Austria, kumekuwa na habarinjema katika research inayoendelea kuhusu matumizi ya gel au cream inayosaidia kuviharibu virusi vya ukimwi wakati wa kujamiiana (Microbicidal). Nimeiona hii nadhani ni vizuri...
  10. BabaK

    Watanzania ni watalii mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi duniani-viena austria

    Wakati lengo la mkutano wa kimataifa kuhusu ukimwi duniani likiwa ni kujadili na kuonana maendeleo na mafanikio katika nchi mbalimbali Tazania tukiwa wamoja wao lakini banda letu limekuwa kama vile hakuna kitu kinachoendelea kuhusu masuala hayo.
  11. BabaK

    Je TWIGA Stars Imetelekezwa

    Jumapili nilibahatika kuhudhlia pambano hati ya Timu ya mpira wa miguu Ethiopia "The LUCY" na twiga stars ya kwetu.baadaye katafrija kadogo Ubalozini kutokana na ushindi wao 3-1. Kinachonishangaza mpaka majira ya saa tatu na nusu hivi tulipokuwa tunamalizia katafrija hako hakuna kiongozi yeyote...
  12. BabaK

    Opportunity Leadership training Program

    Jaribu bahati yako.
Back
Top Bottom