Search results

  1. Dr.Mbura

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Kidplomasia rais ana uwezo wa kumkataa balozi mteule bila hata kutoa maelezo kwanini
  2. Dr.Mbura

    Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

    Nakuona hapa Riverside
  3. Dr.Mbura

    Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Ni sahihi kabisa mzazi kumuuzia mtoto kiwanja, yaani kama baba anashida ya pesa anataka kuuza mali yake na mtoto anaitaji kiwanja na pesa anayo kuna ubaya gani jamani!!!
  4. Dr.Mbura

    Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Fikiri mwenyewe walichokifanya Hamas tatehe 7, October waliwaacha watoto na kuuwa watu wazima na wanajeshi?
  5. Dr.Mbura

    Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Tanzania ina maslahi gani na vifo wa Waisrael 1400 vya October 7,2023 hata hawajafunga ubalozi wa Palestine hapa Tanzania??
  6. Dr.Mbura

    Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    Aristotle believed man was a "political animal" because he is a social creature with the power of speech and moral reasoning: Hence it is evident that the state is a creation of nature, and that man is by nature a political animal. Hata uende wapi siasa ni kila kitu.
  7. Dr.Mbura

    Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

    Maendeleo gani?????
  8. Dr.Mbura

    Update kesi ya Bandari: Majibu ya mawakili wa wananchi, waleta maombi leo Julai 28, 2023

    Kwa yeyote anayejua kuomba mwislamu au mkiristo tuwaombee hawa majaji wanaenda kufanya maamuzi au kutoa hukumu kwani wakisimama kwenye haki taifa letu kwa mara ya kwanza judiciary itavunja record kwa kusema mkataba ni Batali.. .
  9. Dr.Mbura

    Update kesi ya Bandari: Majibu ya mawakili wa wananchi, waleta maombi leo Julai 28, 2023

    Nimefatilia mawakili walalamikaji na points zao zote against hoja za wanasheria wa serikali. Hata mtoto mdogo akipewa kufanya hukumu ya hii kesi ....jibu .... mkataba ni batili..au uwekwe mezani na pande zote mbili urekebishwe.
  10. Dr.Mbura

    Update kesi ya Bandari: Majibu ya mawakili wa wananchi, waleta maombi leo Julai 28, 2023

    Adv. Livino: Wakati wakili wa serikali anawasilisha majibu yao alisema hatuwezi kupoteza Sovereignty kwa kuwa Tanzania ilipata uhuru 1961. Namkumbusha kwamba huo mwaka wa 1961 Tanzania haikuwepo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
  11. Dr.Mbura

    Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Tukio hili na mkataba wa bandari limefunua siri ya umuhimu wa Serikali TATU. Kungekuwa na serikali ya Tanganyika serikali ya Muungano ingekemewa na Tanganyika. Kumbukeni ile issue ya ugunduzi wa mafuta kule Zanzibar jinsi wazanzibar walivyokomaa.
  12. Dr.Mbura

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Yaani Zanzibar wamesamehewa deni kubwa na Tanesco. Zanzibar wanalelewa kama walemavu
  13. Dr.Mbura

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Unajua mwislam aliyewahi onja nyama ya nguruwe akikumbuka utamu wa hiyo kitu lazima ajiona yuko kwenye emergency awahi kwa manka fasta
  14. Dr.Mbura

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Nuclear bomu umeenda mbali sana hiyo simu anayotumia maujanja yaliyotumika ni noma sembuse kuondoa kiharufu kwenye wese la nguruwe. Jamani ningekuwa mwislamu kimada wangu angekuwa kula nyama ya nguruwe
  15. Dr.Mbura

    Mafuta ya Nguruwe yamekuwa mkombozi mkubwa kwa sasa

    Jamani mafuta ya K moto yanachanganywa na mafuta mengine kuondoa harufu
  16. Dr.Mbura

    Pigo jingine kubwa kwa sarafu ya Marekani (US Dollar)

    Mimi siamini kama Urusi ikilazima hiyo sarafu yao itumike kwa lazima kama itawasaidia. Mkakati uliopo duniani ni kuachana na bidhaa za mafuta, makampuni makubwa duniani yanayotengeza magari mpaka 2030 watakuwa wanatengeneza magari ya umeme tu. Bizaa za oil will be useless mkuu
  17. Dr.Mbura

    Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Ndugu zangu nina wasiwasi na haya mambo, inawekana issue ya Mbowe Siro aliposema wanaushaidi tena mbele ya Watanzania leo unaiondoa kesi mahakamani Siro hawezi furahi maana amevuliwa nguo! Tena walimdangaja wakamwambia wenzake Mbowe wako jela !!!! Nae bbc kasema...... Hapo kuna shida kubwa. Ishu...
Back
Top Bottom