Search results

  1. Queen Horse

    Foundation powder nzuri kwa black skin

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo.. Shukran
  2. Queen Horse

    Pete yenye kito cheupe

    Za saa hizi wakuu, nimekuta pete ya dhahabu ambayo kama imeshavaliwa vile ina kito cheupe ndan mkoba wangu.. Imeingiaje sijui nshaanza kuogopa ni nini hiki??
  3. Queen Horse

    Lotion za bath and wash na splashes zake zinahitajika

    Salaam alaykum wana jukwaa.. natafuta muuzaji wa lotion za bath and wash na body splashes zake pamoja na splashes za victoria secret kwa bei ya jumla.. kama yupo ani pm plz.. shukran
  4. Queen Horse

    Msaada ya ununuaji wa bidhaa kupitia mtandao wa Amazon

    Salaam alaykum wapendwa.. naomba kwa yoyote ambae ana ujuzi wa kutumia amazon kama sehemu yake ya kununulia bidhaa kwa njia za mtandao anisaidie procedures zake na namna ya kufanya mzigo utakaonunua ukufikie muhusika..
  5. Queen Horse

    Msaada wa mafuta na conditioner ya nywele nyepesi

    Habari zenu wapendwa.... nina tatizo la nywele zangu yaan nyepesi sana halafu kavu plus zinachomoka kila ninapochana kiasi cha kusababisha kukosa uwiano... nyuma zimekatika mpaka zinatia hasira...je nitumie kitu gan ili ziwe nzuri kama za wengine??
  6. Queen Horse

    Msaada: tatizo la display whitening ya RCA tablet

    Habari zenu wapendwa.. naombeni msaada nifanye nini tablet yangu display yake inaonyesha mwanga mweupe mpaka uikandamize kwa nyuma kwa nguvu ndo inarud katika hali yake ya kawaida.. tatizo ni nini?? na nifanyeje kuondoa hilo tatizo?? .. shukran sana..
  7. Queen Horse

    Msaada home theater inakataa ku read flash

    Habari zenu wapendwa..naomba msaada ya kuifanya home theatre yangu iwe inakubali ku play music au video za aina yoyote ile ninazoweka kwenye flash maana sometym zinaplay some tym zinakataa kuplay... home theatre yenyewe ni ya sony dav-tz150.. shukran
  8. Queen Horse

    Msaada: Vigezo vya kujiunga na Certificate in Law at UDSM

    Salaam alaykum wanajukwaa....naomba msaada wa kuelekezwa vigezo vya kujiunga kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti at udsm, gharama na namna ya kupata admission zake.. shukrani sana
  9. Queen Horse

    Msaada: Lotion nzuri kwa uso wenye mafuta

    Habari zenu wana urembo, Naomba msaada wa kupewa ushauri wa moisturizer gani nzuri kuupaka usoni kwa wale wenye combination skin or oily skin uso wangu una mafuta ambayo hayachemki bali yanaganda na kutoa weupeweupe flani hivi usoni. Sio siri unaninyima raha rangi ya ngozi yangu ni brown...
  10. Queen Horse

    Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

    Wana MMU habarini za leo, Kuna jambo linanitatiza na kuniumi za nataka kusema lakinia naogopa mlengwa atalipokeaje jambo hilo mmh naogopa kuitwa mbeya mie maana wanawake hatunaga vifua vya kuvumilia maumivu.Nina rafiki yangu ambaye ana date na kaka flani hivi for more than a year now mkaka...
  11. Queen Horse

    Mwenye kufahamu tuition centers za nbaa atec 2 msaada plz

    Za asubuhi wakuu..natafta tuition provider za atec 2 jijini dar es salaam.. naombeni mnisaidie ushauri na maelekezo..mungu awabariki
  12. Queen Horse

    Jamani wanaume wasomi mna nini?

    Mwidiwee.. Namahorooo wana JF Bado Niko najiuliza maswali juu ya wanaume wasomi hasa hasa kuanzia level ya masters, PhD hadi kule kwenye ukuta ulioandikwa elimu tena basi kwanini wengi wao wanakuwa wanatabia ya kupenda kuwadharau wake zao hasa ukikuta wamewapita kiwango cha elimu mfano mke ana...
  13. Queen Horse

    Its an extremely nice day for our beiby boy...Happy birthday DIKEMBE

    Ladies and gentlemen kama tunavyojua kila mwanaadam lazma apitie siku mbili za muhim maishani mwake ambazo ni kuzaliwa na kufa Leo napenda kumshukuru mungu kwa kuendelea kumpa pumzi na afya tele ndugu yetu,kaka yetu, rafiki yetu Mr.DIKEMBE kwa kutimiza mwaka wake mwingine mpya toka kuzaliwa...
  14. Queen Horse

    Nahitaji mume..

    Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya...
  15. Queen Horse

    Im so low.....

    Nimekukumbuka wangu wa moyoni hisia zangu znatamani kukuona,moyo wangu wahuzunika kwa kutoona japo kivuli chako au kusikia sauti yako tamu...wherever you are just knw that my well is running low....
  16. Queen Horse

    Macho yanachekaa moyo unaliaaaa!!!!

    Macho yanachekaaa, moyo unaliaa Macho yanachekaae,moyo unaliaa Nikimkumbuaaa wangu maridhia, Nikimkumbuuka wangu maridhiaa, Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa, Chozi hunitoka mie kwa zake tabia, Baki na mashaka naanza kuliaaa, Baki na mashakaa mie nalia naliaa..
  17. Queen Horse

    I love you bujibuji

    Sio siri wana cc kuna vitu ambavyo inawezekana vya ziada ambavyo mungu amemjaalia bujibuji vinafanya arefushe maisha yangu kwa kuwa na tabasam muda wote ninaposoma post na threads zake. Mungu kamjaalia kuwa na maneno mazuri na ujuzi wa kutumia tafsida inayoleta furaha kwenye kila neno lenye...
  18. Queen Horse

    habari zenu waungwana......

    natumai wote ni wazima na napenda kutoa furaha yangu isiyo kifani kwa kuweza kujiunga na mtandao huu natumaini nitajifunza mengi kwa kujumuika katika kuchangia mawazo na kupata mawazo mapya na endelevu kutoka kwa members........... thanx JF
Back
Top Bottom