Search results

  1. Kaitaba

    Naomba kazi, nina Diploma ya Fitter Mechanics

    Duh! kozi zingine majanga, hakuna wa kukuajili hizi ni kozi za kujiajili tu. Anzisha garage yako mwenyewe.
  2. Kaitaba

    Watengeneza kalenda

    nipigie 0652 210 584
  3. Kaitaba

    Watengeneza kalenda

    Bei gani? 0652 210 584
  4. Kaitaba

    Watengeneza kalenda

    Nahitaji watu / mtu atakayeweza kunitengenezea kalenda ya mwaka 2015. Anayeweza anijulishe. Nashukuru sana.
  5. Kaitaba

    Star times decorder

    Nahitaji kulipia decorder muda wa hewani, ila sifahamu jinsi ya kufanya, yahaani package ni bei gani,Nashukuru sana NB Natumia antenna sio ungo
  6. Kaitaba

    Quick book programm

    Nimeisha ku PM angalia kwenye in box yako
  7. Kaitaba

    Quick book programm

    Niko mbagala
  8. Kaitaba

    Quick book programm

    Kwa wataalamu wote wa mtandao, Natafuta mtaalaamu wa program ya quick book au progam yoyote itakayonisaidia kwenye biashara ya dawa, itakayo onesha kiasi cha dawa kilichoingia, kilichotoka na kilicho baki. Mwenye taaluma hiyo tuwasiliane niko hapa Dar.
  9. Kaitaba

    Natafuta gari ya thamani ya 5m (five milion)

    Gari hili naamini limeishauzwa, hakuna lingine kama hili? mimi nahitaji. Gari hili naamin
  10. Kaitaba

    Natafuta gari ya thamani ya 5m (five milion)

    Gari hili naamini limeishauzwa, hakuna lingine kama hili? mimi nahitaji. Gari hili naamin
  11. Kaitaba

    Vyeti vya chuo bado

    Nashukuru sana kwa ushauri, nafikiri wote waliokumbwa na tatizo hili la kucheleweshewa vyeti zaidi ya mwaka sasa, ushauri ndo huo tujipange tudai haki yetu.
  12. Kaitaba

    Vyeti vya chuo bado

    Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013 TUFANYEJE?
  13. Kaitaba

    Kuna uhusiano wowote kati ya ukubwa wa uume na uwezo wa kumtosheleza mwanamke kitandani?

    urefu huu na unene vinapimwa wakati gani? imelala au imesimama?
  14. Kaitaba

    NATAFUTA GARI NDOGO KWA GHARAMA YA 3.5Ml

    HUJAMUELEWA kasema lolote, ila mimi naona anatafuta kuingia kwenye record ya waliowahi kumiliki gari, na sio anataka kuwa na gari.
  15. Kaitaba

    Simu ya nokia asha

    Habari ya leo, simu yangu aina ya asha305 imekufa TOUCH, natafuta fundi, niko Dar TEMKE. yeyote anayejua kuirekebisha ani PM Tafahali. au anipigie 0652 210 584
  16. Kaitaba

    Kuagiza gari japani

    Nimejaribu kufuata taratibu nikaambiwa niwaone jamaa wa makunganya, nikaskuta, iweje nawasiliana na japani halafu niwasiliane na makunganya.
  17. Kaitaba

    Kuagiza gari japani

    Habari za leo, Kama kichwa cha habari kinavyosema .Mimi natafuta wakala ambaye anahusika na uwakala wa kutuma magari Japani kuyaleta hapa nchini.
  18. Kaitaba

    Namba hii ni ya nchi gani

    leo majira ya saa kumi jioni nimepigiwa na mtu kwa kutumia namba hii +33174076097, amenihoji maswali mengi sana, nilipo muhoji lengo la mswali yake akakata simu, naomba mnisaidie hii ni namba ya nchi gani.
  19. Kaitaba

    chuo cha afya.

    ,Nimesikia redioni kuwa kuna chuo cha mafunzo ya afya kiko magomeni, kwa anaye kifahamu anijulishe, maana ninaye kijana anataka kujiunga
Back
Top Bottom