Search results

  1. Ndera

    Friji inaweza kuwa chanzo cha mapato kwa mke nyumbani?

    Wakuu, nimejibana nimepata shilingi 1million mke wangu amenishauri nimemnunulie friji kuanzia laki 5-8 pesa itakayo baki laki 2 afanye kama mtaji wa kuuza barafu, Ice cream na juice. Naomba ushauri wenu je hii biashara inaweza inaweza zaa matunda na kurudisha hiyo pesa? Natanguliza shukrani.
  2. Ndera

    Ni sahihi Mwajiri kukushusha cheo, pasipo kumshirikisha mwajiriwa kwa barua?

    Habari, Wakuu. Naomba kujua kama ni jambo la kawaida Mwajiri kukushusha cheo, pasipo kumshirikisha mwajiriwa kwa barua, badala yake unakuta job title yako imebadilika ktk salary slip, japo kuwa mshahara haujabadilika. Endapo si sahihi ni hatua zipi zinanapaswa kuchukuliwa.
  3. Ndera

    Uko wapi Kaka Jambazi?

    Habar za leo? Kuna mdau anatumia ID ya KakaJambazi, ni mda mrefu sana sioni mchango wake humu Jf! Ebu jitokeze kijana, nimemiss michango yako kwenye hili Jukwaa letu.
  4. Ndera

    Naweza kuapply chuo ikiwa nimepoteza academic certificate.

    Wakuu, Tafadhali sana, mnipe ushauri na utaratibu mm nimepoteza cheti changu cha form 4 na ninahitaji kuapply chuo. Asante.
  5. Ndera

    Haki yangu niwapo ktk kikao cha nidhamu (hearing)

    Wakuu, Habarini za majukumu nikiwatakia sikukuu njema ya Xmass na heri ya mwaka mpya 2017. Naomba niingie ktk mada kama nilivyoeleza hapo juu. Naomba kujua haki zangu niwapo ktk kikao cha nidhamu (Hearing) maana wengi wetu tunahudhuria vikao hivi bila kujua nini hasa natakiwa kupewa (documents)...
  6. Ndera

    MSAADA WA KISHERIA

    wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa ktk kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tareha zilizopangwa ktk kikao, alihudhuria hospitali nakupewa ED 8 kwa mda tofauti (ED,3,3,2) baada hapo kikao kilifanyika...
  7. Ndera

    Msaada wa kisheria

    Wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa katika kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tarehe zilizopangwa katika kikao, alihudhuria hospitali nakupewa ED 8 kwa mda tofauti (ED,3,3,2) baada ya hapo kikao...
Back
Top Bottom