Search results

  1. O

    Wako wapi hawa siku hizi?

    wajameni, mbona mimi hamniulizii? Hakuna aliyenimiss? Mbona nilidhani kuwa nami ni maarufu hapa? Eh,
  2. O

    In Africa

    Huyu KIRANGA hana akili nzuri. Msameheni tu. Kumjibu ni kupoteza muda na resources
  3. O

    Umalaya

    Nadhani pia ni biashara. Ona wanavyopata pesa.
  4. O

    Umalaya

    mhhh, Wateja kumbe ni wengi?
  5. O

    Umalaya

    Eee Kigogo. Are you serious ndugu? Kulikoni isikomeshwe?
  6. O

    Valentine's: Just Another Day, Isn't it?!

    Kumbe ni ushetani mtupu. Hao wapendanao kumbe ni wana ngono?
  7. O

    Umalaya

    Jamani umalaya umeshamiri sana katika miji mikubwa ya nchi za afrika mashariki. Hivi hii imekuwa ni biashara katika soko huri? Hivi ni nini sababu ya biashara hii ya umalaya? KENYA. UGANDA, na TANZNIA. Ikomeshweje?
  8. O

    Kuna nini KCMC?

    Hakuna ukweli. Just politics.
  9. O

    Kuna nini KCMC?

    Hizi ni siasa tu. Profesa Shao ndo kaifanya KCMC iwe smart kiasi hiki. Acheni siasa.
  10. O

    Helpless:...My Dad's Gone!

    Kama ni kweli pole sana.
  11. O

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Taarifa yako haijakamilika. Nina mashaka na source yako.
  12. O

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Hii taarfa yako haijakamilika. nina mashaka na soucre yako.
  13. O

    JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

    Acha utani wakati ndugu huyu anaumwa,
  14. O

    Matumizi ya bangi

    Kazi kwa madaktari
  15. O

    Valentine's: Just Another Day, Isn't it?!

    Ni siku ya wapendanao.
  16. O

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Ndo maana kuna mwana JF mmoja jana alileta thread kuhusu CCJ kwamba imeundwa ili kuuvuruga upinzani. Hiyo thread siioni tena. Huenda kulikuwa na ukweli. Lakini yetu macho na masikio. Mara CCM mara CCJ mara SI SI JE.
  17. O

    Pentagon to recruit aliens on visas

    Did it happen?
  18. O

    Ukombozi wa mwanamke

    Mwanamke hayuko huru. Mfumo dume hufanya mwanamke asiwe huru.
Back
Top Bottom