Search results

  1. M

    Kiwanja Kinauzwa Iringa Mjini.

    Kiwanja kinauzwa Iringa Mjini. >Kipo Mawelewele Iringa mjini. >Kina ukubwa Wa 26.6m * 42m = sqm 1117.2 >Huduma za jamii zipo jirani (maji na umeme). >Hakijapimwa ila barabara za mitaa zishachongwa na kipo eneo salama. >Bei ni Tsh 11 milioni (maongezi yapo). >Ukitaka nusu yake...
  2. M

    Msaada: Tecno M6 inagoma kuzima

    Jamani msaada nimenunua Techno M6 dukani mpya ila option ya kurestart na kushutdown haifanyi kazi. kuzima mpaka nishedule power itajizima yenyewe. Mwenye ujuzi ama niirudishe
  3. M

    Natafuta pikipiki ya Laki 9

    Husika na kichwa hapo juu nahitaji pikipiki a 900,000/- iwe katika hali nzuri, waweza tuma picha watsup 0655101998, Nipo Dar nw.
  4. M

    Nahitaji scooter bike

    Wadau kwa wale wenyeji wa Dar, kama unafahamu duka wanalouza scooter bike za bei chini nya mil. 1 naomba nijuze tafadhari. Natanguliza shukrani za dhati.
  5. M

    Kama unahitaji kiwanja- Mafinga na Iringa Town

    Je ni muhitaji wa kiwanja Iringa mjini ama Mafinga kwa bei unayoimudu, vipp vya size mbalimbali na bei tofauti tofauti, NiPM ama contact me on 0655101998
  6. M

    Kiwanja kinauzwa -Mawelewele- Iringa

    1. Kina ukubwa wa 21 * 40 m 2. Kimepakana na barabara ya mtaa, na kuna nguzo ya umeme hapohapo. 3. Maji yapo jirani Bei Mil. 10 maongezi yapo Cont: 0769877495
  7. M

    Old Tanzania coins and notes for sale.

    Its is Tanzania currency 1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER. 2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere). Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
  8. M

    Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

    Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka. Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February. Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014...
  9. M

    Namna ya kugundua ardhi yenye madini.

    Ndugu wana Jf, kama kuna mtaalamu wa masuala ya madini ningeomba anisaidie namna ya kujua ardhi yenye madini yafuatayo; 1. Ruby and Saphire 2. Gold 3. Aquamarine Kama ataweza anambie naweza vp kugundua kuwa ardhi hi ina madini ndan kwa kuangalia feature ya juu ya ardhi pasi na kutumia vipimo...
  10. M

    Laptop msaada.

    Jamani nina Laptop Hp Compaq nc 8230, mara ya kwanza ilikuwa na tatizo la display inawaka alafu inazima kama inapiga indicator, but nilipopeleka kwa fundi alipoifungua akatoa battery akakonect na adaptor, kuna AC iliyopo karibu na Processor ikawa inatoa moshi na cheche. Ushauri: Vipi yaweza pona...
  11. M

    Mwalimu wa Mathematics, History na Geography wanatakiwa.

    Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni cha Private, niPM nikuunganishe ila itabidi usaini mkataba na mwajiri wako, sio ya muda mfupi. Kama...
  12. M

    German duss items.

    Hello ndugu, mie ni Mjasiliamali na muda mwingine huwa napenda kupiga stori na wazee, kuna kona nimekutana na mzee katika ongea ongea tukazungumzia suala la mali za Mjerumani na akanionyesha Rupia nyuma zina Makuti na mbele Rais ana ndege juu ya kichwa chake, nimeongea nae kanambia nitafute...
  13. M

    Miti ya nguzo za umeme inauzwa.

    Ipo Mufindi - Iringa. Kuna miti 400 na kila mti mmoja ni Tsh 30,000/= Zipo kuanzia 13m. Barabara inafika mpaka kwenye miti. Contact: 0769877495
  14. M

    Miti ya milingoti ya nguzo za umeme inauzwa.

    Ipo wilayani Mufindi - Iringa. Barabara inafika mpaka kwenye miti. Ipo miti 400. Zipo size kuanzia 13 m. Kila mti ni Tsh 30,000/= Contact: 0769877495
  15. M

    Kilimo cha miti - Mufindi

    Wana JF Nauza shamba la kupanda miti. Zipo hekari 100, wilaya ya Mufindi kijiji cha Ibwanzi. Kila Hekari ni Tsh 120,000/=. Msimu ndio huu changamkieni dili hili, ukinunua nyingi bei inapungua. Pia nitakuuzia na miche ya miti kwa Tsh 80/= tu kwa mche. Contact: 0687 022 411
  16. M

    Mbao za mninga.

    Nauza mbao za mninga. Size 2 x 6 na 1 x 8, zina urefu wa futi 7. Kila moja 20,000/=. Zimebaki pisi 50, wahi kabla mzigo haujaisha. Nipo Mafinga. Kwa maelezo zaidi ni PM.
  17. M

    Natafuta pikipiki used

    Nipo Iringa, kwa anayeuza pikipiki iliyo2mika lakini iwe katika hali nzuri na iwe inafanya kazi. Bajeti yangu ni Tsh 750,000/= >> Kama tangazo linakuhusu ni PM. >> Natanguliza shukrani.
  18. M

    Mahindi yanauzwa

    Wana Jf nina gunia 50 za mahindi, yenye ujazo wa debe 7 kwa kila gunia. >> Nauza Tsh 65,000/= kwa gunia. >> Nipo Mafinga mjini. >>> Price is negotiable CONTACT: 0769 877 495
  19. M

    Viwanja vinauzwa - Iringa mjini.

    Viwanja viwili vyenye ukubwa wa 25 x 30 m, kila kimoja vinauzwa. - Vipo Iringa mjini - Mawelewele. - Havijapimwa, mnunuzi atafuatilia upimaji mwenyewe. - Bei ni milion 3.8 kila kimoja. Maongezi yapo ukiridhika na bidhaa. - Contact: 0769 877 495
  20. M

    Kiwanja kinauzwa - Iringa mjini.

    Kiwanja chenye ukubwa wa (35 x 25)M = 875 sqm kinauzwa. Kipo Iringa mjini - Mwangata. Kimepimwa na kina hati miliki, pia huduma zote za jamii ( maji, umeme, barabara) zinapatikana jirani. Bei: Tsh 17 milioni, mazungumzo yapo. For serious buyer contact me through: 0687 022 411
Back
Top Bottom