Search results

  1. A

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Hongereni CDM kwa maamuzi magumu,,
  2. A

    Ripoti ya mauji Arusha yavuja - IGP Mwema, RPC Andengenye watiwa Hatiani

    Waoh, kama vile tulikuwa wote kanisani jana, (KKKT)
  3. A

    Balaa lingine kwa waandishi: Mhariri Mgamba apata ajali

    Ni kweli mkuu, mnakumbuka issue ya mbuzi katoliki kulishwa dawa za ARVs kama miaka 3 au 4 iliyopit? Wataalam walifuatilia kwa mwandishi na hakutoa ushirikiano na mwisho wa siku ilionekana ni uzushi tu,,
  4. A

    Bomu la Pinda linakaribia Kulipuka Tandahimba, Vijana wanajipanga wako tayari kufa!

    nimeipenda na kunikumbusha enzi za mwalimu,,,,,, naamini mtwara sio gesi tu, kuna na mengineyo,,, mtu akiwa na donge kooni limemkwama, siku ukimgusa tu kwa kitu kingine tofauti na alichokuwa nacho kooni, basi atalipuka kama moto wa petroli, tuombeane na kutakiana amani, pia tuwaombee na...
  5. A

    Ajali mbaya yaua 11 Mbeya

    Poleni sana majeruhi, tunawaombea mpone haraka, na poleni wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki.Mungu tunusuru na ajali hizi ambazo zimekuwa zigharimu maisha ya watu kila kukicha!
  6. A

    Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

    Poleni sana wafiwa wote, wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na wana JF wote kwa ujumla. Naamini safari ya kumsindikiza dada yetu kwenye nyumba yake ya milele imeenda vizuri na nawaombea wote watakorudi majumbani kwao toka Ifakara, Mungu wetu awatangulie. Ee Mungu mpokee mwanao Regia, msamehe makosa...
  7. A

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Sina hakika nimekuelewa, lakini mikoa ambayo haimo kwenye historia ya kuandamana kama Mtwara, Lindi wana maendeleo gani? Nani ana jukumu la kuleta maendeleo kwa wanachi wake? DOWANS, Migodini, mgao wa umeme, ATCL nk unasemaje hapo, hayo ni maandamano?
  8. A

    Zitto Kabwe alazwa hospitali

    Ugua pole mpiganaji ili uendelee kuifanya kazi yako,,,,,
  9. A

    Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

    Naona umesahau kwamba siku zote au mara zote, marehemu ni mtu mzuri sana kuzidi uhalisia, na kama wangekuwa wanafufuka wakati sifa zinamiminwa tungekimbiana!!! Hata mimi mazingira ya kifo chake sijayapenda hata,,,, inabidi tuyalaani,,,, RIP Gaddafi
  10. A

    Lukuvi akacha kusaidia majeruhi ajali Oysterbay

    Binadamu tumeumbwa tofauti,,, naamini angekuwa waziri mwingine aangesimama kutoa msaada hata wa kuita gari la wagonjwa au polisi!
  11. A

    Mwandosya ajiuzulu?

    NAdhani Eng. Chiza hayuko tena wizara ya maji!!!!!
  12. A

    Mtwara Mkoa masikini unaoendesha serikali ya Tanzania

    naona kama ranking ya mikoa ya Mara na Mwanza imekosewa kidogo,,,
  13. A

    UVCCM Arusha watoa tamko zito!

    mmmmh yetu macho, sasa hivi hiyo timu haina kiongozi, kila mtu anapiga mpira directions tofauti, huyu kule na huyu hapa, yaani ni tafrani. Kuiweka sawa yataka busara ya hali ya juu na si kazi ndogo, tuwaombee Mungu awanusuru kwani ni kama train ambayo inakaribia kudumbukia mtoni kwani daraja...
  14. A

    Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

    Pamoja na hayo, pia nasikia alitoa msaada wakati wa mafuriko ya Kilosa,,,
  15. A

    MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

    :embarassed2: :smash:
  16. A

    Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

    Hao akina Kawambwa wanashindwa kusoma alama za nyakati! Hata kama wahadhiri hawatasema chochote, bado hao wanachuo watapata taarifa kuhusu erikali yao kupitia vijiwe, magazeti TV nk. Halafu waalimu wa shule za sekondari, shule za msingi ambao ndio wengi na wanaidai serikali, na bado wako kwenye...
  17. A

    Ninaamini "stop" kwa magufuli ya jk na pm inamasilahi kwa mafisadi na ya kisiasa kuelekea 2015

    Tukubali kwamba kuna makosa mahali yalifanyika mpaka watanzania wenzetu wakajenga kwenye hifadhi za barabara,, sasa kwa Magufuli ailikuwa ameishikilia sheria anayo ijua kwamba ipo ili achape kazi kwa kwenda mbele, ila ambacho hatujakipenda wengi ni kumpiga stop mbele ya kadamnasi, wangeweza...
Back
Top Bottom