Search results

  1. M

    Mayele na Feisal wanateseka moyoni

    Wanateseka kuliko wachezaji wa Simba waliofungwa. NB: Hongera sana Inonga kwa kukwepa lawama
  2. M

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  3. M

    Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  4. M

    Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

    Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini. Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo...
  5. M

    Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  6. M

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA. Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu...
  7. M

    Simba wameumia, lakini wataumia sana Yanga ikishinda leo

    Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa. Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo. Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe. Vinginevyo mtakuwa na yale macho ya kichawi yaani huwezi kumuangalia mtu machoni...
  8. M

    Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  9. M

    Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5. Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
  10. M

    Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
  11. M

    Yanga mechi ijayo iitwe Kamwe day. Adhalilike mwenyewe

    Wachezaji wa Yanga msikubali majina yenu kudhalilishwa mtakapocheza na Mamelod sundown. Mliosoma Cuba mmenielewa
  12. M

    Yanga msimu huu wa Simba dhaifu wekeni record mpya ya goli 12

    Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
  13. M

    Kiwango cha chama kimerudi juu kwasababu ya Pacome

    Ni ukweli usiopingika kuwa kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika ligi yetu hapa Tz ukizungumzia kiungo bora na wa kiwango cha juu lazima umtaje chama, amekuwa kwenye ubora kwa muda mrefu japo kuna kipindi ameonekana kushuka viwango hasa baada ya kurejea Simba kwa mara ya pili, vilevile...
  14. M

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba). Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
  15. M

    Mayele asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga huko Egypt

    Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu. Natoa sababu zifuatazo 1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga. 2. Hakuna...
  16. M

    Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya mechi. Kwa maoni yangu ninaona linaweza kuharibu umoja na mshikamano kwa wachezaji kwani kunaweza...
  17. M

    Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

    Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu. Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati. Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba. Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA. Binafsi ninaamini wewe haukuwa...
  18. M

    Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  19. M

    Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  20. M

    Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

    Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
Back
Top Bottom