Search results

  1. K

    Elections 2010 Usanii wa JK - amteua kijana aliemaliza chuo kuwa DC

    Na 'mijianaume' huwa inafanya nini? Sina uhakika kama takwimu zako ni sahihi. HAo wanawake ni wengi kiasi hicho wilayani? Au tatizo ni kutinda?
  2. K

    Tsvangirai awakana mabalozi wa Mugabe

    Hii inazidi kudhihirisha ni kwa jinsi gani demokrasia tunayojaribu kuifuata haina manufaa kwa nchi za Afrika. Ukweli serikali mseto, shirikishi, jumuishi, n.k hazifanyi kazi zinazowaendeleza wananchi zaidi ya kuishia kulumbana bila sababu. Sasa hapo ni suala la uteuzi wa mabalozi peke yake...
  3. K

    Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

    ....After the Sharpeville Massacre of 21 March 1960 Oliver Tambo left Johannesburg. He travelled via Tanzania [then Tanganyika] because of its reputation as a champion on African liberation under the leadership of Julius Nyerere, who was to become the country's first president in...
  4. K

    Kallaghe kwenda UK Mlima kwenda Canada?

    Aliteuliwa balozi Saudi Arabia.
  5. K

    Tanzania government condemns Israel

    Wakuu vilevile wakati tunajadili tamko la Serikali pia tuangalie uhusiano (kihistoria) kati ya Israeli na Tanzania tangu serikali ya awamu ya kwanza hadi sasa. Uhusiano huo umebadilika au hapana? Na kama umebadilika labda serikali ilitakiwa kutoa tamko gani mbadala. Mimi binafsi ninaona kama...
  6. K

    habari kutoka Mabibo hostels za UDSM - Modern Vandals lurk in varsities

    Mabibo hostel ina idadi kubwa ya watu kwenye eneo dogo. Mwandishi hajatoa takwimu (au makadirio) ya idadi ya wanachuo waliopo Mabibo hostel. Siyo rahisi zikakosekana hizo tabia anazoziongelea mwandishi sehemu wanayoishi binadamu wa umri kati ya miaka 15 na 30. Vilevile anaongelea wasichana kuwa...
  7. K

    Exclusive: Ikulu hawataki MNF ijenge "twin towers" karibu yao

    Mimi ninafikiri kama ni kumuenzi Mwalimu katika eneo hilo viongozi wa MNF wangekaa chini na kujenga jengo linaloenzi falsafa na mtizamo wa Mwalimu Nyerere. Na bahati nzuri wote waliopo sasa hivi walifanya kazi kwa ukaribu na Mwalimu na wanamfahamu alikuwa mtu wa aina gani. Halafu kama ni kitega...
  8. K

    Simu ya Kiganjani ya JK..

    Ninaomba mkuu yeyote anayefahamu kitabu au hata kijarida alichoandika mkuu wetu wa nchi anifahamishe ili nipate kukisoma. Nimejitahidi kufahamu misimamo na vision yake kwa kumsikiliza hotuba na matamko yake kwa kweli sijafanikiwa. Labda nikisoma machapisho yake nitaweza kumfahamu zaidi.
  9. K

    Egypt charms Kenya over Nile

    Smatta, where is Kenya in the 'ukabila index'? Where is Kenya since you started off with capitalism as independence was granted to you? Kenya would have expected to be far away as you 'believe' to have chosen the correct development path.
  10. K

    Wanaume Waliooana Malawi Waachiwa Huru Baada ya Wafadhili Kupiga Mkwara

    Hili swala la 'haki za binadamu' ninaona linaelekea kuzifanya nchi za dunia ya tatu kutawaliwa na mataifa bepari hata kuingilia sheria za nchi husika. Bila kuwa na mipaka na kuisimamia kulingana na sheria za nchi husika sidhani kama tutafika mbali. Kweli mambo mengine pamoja na kuwa...
  11. K

    Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

    Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani watanzania watakubaliana na wito huu wa kugoma kwenda kutazama mechi katika hatua hii. Kwa upande mwingine, labda wachezaji wa timu yetu ya taifa watapata fursa ya kujinoa na kujiuza katika ngazi za kimataifa.
  12. K

    Majina ya rangi uzijuazo kwa Kiswahili

    Vilevile rangi ya brown kwa kiswahili hujulikana kama kahawia au hudhurungi
  13. K

    Kambayuwayu ka Kikwete kalikotaka kuwa tetere!

    Inaelekea hapa alijihesabia kipindi chake cha pili (ambacho ana uhakika nacho) na miaka mingine 3 kwa atakayemrithi ndiyo mbayuwayu wairudishe hoja mezani....
  14. K

    Wakenya lazima wawe na digrii kuingia Dubai

    Unaelekea ni uamuzi (wa muda mfupi) wa kulipizana kisasi kama siyo kunidhamishana kidiplomasia. Njia rahisi ingalikuwa kushirikiana na wafanya biashara wa Tz, Ug au Rw (katika jina la shirikisho...??!) ili kuweza kuendelea kupata bidhaa kirahisi kwani wao siyo lazima kwao kuwa na digrii. Ila...
  15. K

    The Worlds Dirtiest Cities!

    Inatakiwa mtu yeyote akionekana anachafua mazingira kwa namna yoyote ile ahukumiwe adhabu ya kifungo au atozwe faini au vyote viwili ili iwe fundhisho kwake ili asirudie na kwa wengine pia. Hii ingekuwa njia mojawapo ya kuiingizia serikali mapato. Inawezekana sheria zipo ila hazizingatiwi au...
  16. K

    Mgomo UDSM wafanyakweli

    Mkuu sina uhakika umetumia vigezo gani ili kuweza kuwalinganisha mwenye haki ya kugoma kati ya mhadhiri na karani wa masijala. Ungewatendea haki iwapo ungetumia vigezo mfano muda wa kufanya kazi, aina ya kazi, ukubwa wa kazi, kiasi cha mshahara na vigezo vingine ili uweze kufikia hitimisho ya...
  17. K

    Government seeks new investor to operate KIA

    Sijui tuna matatizo gani. Yaani mbia anapewa kuendesha/kusimamia uwanja kwa miaka 25. Miaka yote hiyo 12 hakuna mabadiliko yoyote na anaangaliwa tu. Inaelekea kama siyo changamoto iliyojitokeza ya uwanja mwingine kujengwa Holili huyo aliyekuwepo angeendelea kuangaliwa tu hadi miaka 25 iishe...
  18. K

    African varsities pathetic in academic publications`

    1. Mkuu ninakubaliana nawe kabisa uliyoyasema ila pia baadhi ya hizo ''high ranked journals'' wakati mwingine huwa wana mtazamo hasi kwa machapisho yanayoandikwa na wataaluma wa kutoka Afrika(kuwa siyo rahisi kufikia viwango walivyoviweka). Sana sana labda mtazamo huo utawekwa kando iwapo...
  19. K

    Kenyan stance provokes MPs

    Smatta, Tanzania had been begging for the federation long ago before independence while Kenya was holding back....And by that time Tanzania was an animal to be dealt with cautiously, while this time it is the other way round, why?? It would be better if Kenya federate with Sudan, Somalia, DRC...
Back
Top Bottom