Search results

  1. Sir Lindege

    Wito wa Shigongo wa Vijana wa UVCCM

    NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu zote. Msiposema nyinyi watasema maadui zetu, ambao kamwe hawatasifia isipokuwa kuwaaminisha watu...
  2. Sir Lindege

    Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

    MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee wa kutoifunga Tanzania (lockdown) katika kipindi hiki cha Ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka wananchi wake kuendelea kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari za kujikinga...
  3. Sir Lindege

    Zitto amkabidhi Maalim Seif kadi namba 1, Babu Duni namba 10

    Dar es Salaam. Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewakabidhi kadi za uanachama wa chama hicho waliokuwa vigogo wa Chama cha Wananchi (CUF) huku Maalim Seif Sharif Hamad akipewa kadi namba moja na Juma Haji Duni akikabidhiwa kadi namba 10. Shughuli ya kukabidhi kadi hizo...
  4. Sir Lindege

    CHADEMA: Ukimya wetu, unyonge wetu usitafsiriwe kuwa ni udhaifu wetu, ni busara zetu tuu ili tuendelee kuwa na nchi yenye amani

    "Sisi tunaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndiyo mzalendo pekee wa taifa hili kwa sababu alikubali mfumo wa vyama vingi vya siasa akijua kuwa kuna siku chama chake cha CCM kitashindwa kuiongiza nchi hii" Hashim Juma - M/Kiti wa Baraza la Wazee Chadema Hashim Juma - M/Kiti Baraza la wazee Chadema...
  5. Sir Lindege

    Ester Bulaya: Utaratibu wa zamani wa ukokotoaji wa mafao hautakiwi kuishia katika maneno, upelekwe bungeni kutungiwa sheria

    Kilichofanywa ni hatua ya awali kumtoa mgonjwa eneo la ajali sasa anatakiwa apelekwe hospitali apatiwe matibabu na tiba ni kurudisha sheria Bungeni kwa hati ya dharura ili haya mambo yawe kisheria yaweze kutekelezeka. Ili mambo haya yaweze kutekelezeka ni lazima Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
  6. Sir Lindege

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Tanzania, Simon Sirro amesema waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ walitaka kupewa fedha licha ya kutotaja kiwango wanachohitaji. Sirro ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Oktoba 20, 2018 katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam ambako...
  7. Sir Lindege

    RIPOTI-LHRC: Watoto 2,365 wamebakwa kutoka Januari hadi Juni mwaka huu huku 533 wakilawitiwa

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu leo kimezindua ripoti ya nusu mwaka ya matukio ya uvunjifu wa #HakiZaBinadamu kwa kipindi cha nusu mwaka kuonyesha jinsi hali inavyoendelea Matukio ya ukatili kwa wanawake yameongezeka ikilinganishwa na mwaka jana, kwa kipindi cha kuanzia Januari 2018 hadi...
  8. Sir Lindege

    Sakata la Lugumi & NIDA, Lugola ampa maagizo mengine IGP Sirro, ataka awafikishe kwake

    -Rais amechoka kutenga bajeti kila mwaka wa bajeti kulisha wafungwa na wahalifu badala ya kuhudima wananchi kwenye afya, elimu, miundombinu, reli, ndege, na miradi ya umeme. -Rais ameniagiza kuhakikisha magereza yote nchini, wafungwa kwa kutumia nguvu zao kuwa sehemu ya kujutia kile...
  9. Sir Lindege

    Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu na wenzake wawili. Mrembo wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu tayari amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...
  10. Sir Lindege

    VIDEO: Steve Nyerere amjibu Muna, afunguka A-Z ilivyokuwa

    Kufuatia mkutano alioufanya muigizaji Muna Love na waandishi wa habari hapo jana na katika maelezo yake akaanika sauti ya muigizaji mwenziye Steve Nyerere ambayo alimpigia simu muda mfupi baada ya mwanae kufariki dunia huko Kenya na kuzungumza nae baadhi ya mambo kuhusiana na kifo hicho cha...
  11. Sir Lindege

    JWTZ yaandaa mazoezi ya kijeshi ya pamoja EAC

    Dar es Salaam. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeandaa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kwa maofisa kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mazoezi hayo yaliyopewa jina ‘Ushirikiano imara’ yanawashirikisha wanajeshi na maofisa wa Serikali kutoka Tanzania, Uganda, Burundi...
  12. Sir Lindege

    CUF ya Lipumba Yatoa Ufafanuzi Baada ya Mbunge Wake Kuhamia CCM

    Chama cha wananchi (CUF) upande wa Lipumba, kimesema aliyekuwa mbunge wa Kinondoni kupitia chama hicho Maulid Mtulia amejiuza kwa CCM na alikuwa akijaribu kufanya hivyo kwa muda mrefu - Afisa habari wa chama hicho, Abdul Kambaya amesema Mtulia alishawahi kujitoa kugombea udiwani dakika za...
  13. Sir Lindege

    Mama Wema amlipua mwanaye, adai Steve Nyerere ni bomu

    = Anatambua kwamba mwanaye amehama kutoka chadema na kwenda CCM = Mama Wema asema hana mkakati wowote wa kuhama kutoka chadema = Pia amesema Wema ni mtu mzima lakini hakumshirikisha yeye kama mzazi katika maamuzi yake ya kuhama kutoka chadema = Siwezi kuwabagua watoto wangu kisa wapo vyama...
  14. Sir Lindege

    BAVICHA kufanya uchaguzi, wadai uchaguzi mdogo ulikuwa kati ya CHADEMA na vyombo vya dola

    BAVICHA imeazimia kuziba nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa kwa kumteuwa Patrick Sosopi kuwa Mwenyekiti wa Bavicha mpaka hapo watakapofanya uchaguzi. Bavicha ni injini ya Chadema. Hivyo Bavicha wamejipanga kuhakikisha kuwa wanakwenda kutetea Demokrasia ambayo iko ICU ndani ya nchi...
  15. Sir Lindege

    ACT - Wazalendo Wafunguka Kung'atuka kwa Mwigamba, Waishutumu CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema bei ya mbaazi nchini imeporomoka kutoka Sh2,500 kwa kilo mpaka Sh200. Kutokana na hilo, kimetaka Serikali kuwatafutia wakulima soko na kufufua mazungumzo kati yake na Serikali ya India ambayo imefunga soko la zao hilo kwa nchi ambazo hazikuwa na mkataba nazo...
  16. Sir Lindege

    Aliyeibiwa Mtoto wa Miaka 2 Ampata Akiwa na Miaka 15! DNA Utata

    MAMA Shamim Juma mkazi wa Dar es Salaam ambaye ni mwenyeji wa mkoani Mwanza anadai kuwa aliibiwa mwanaye wa miaka miwili, kisha kumpata akiwa mkubwa wa umri wa miaka 15. Baada kufuatilia inadaiwa kuwa mtoto huyo aliibwa na bibi mmoja ambaye alikuwa mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya ndugu wa...
  17. Sir Lindege

    TFF Yamkuta na Hatia Msuva, Chirwa, Kaseke Wasamehewa

    Breaking News: Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na hatia ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga Morocco, Simon Msuva huku ikiwasamehe Obrey Chirwa na Deus Kaseke.
  18. Sir Lindege

    Tabora: Yaliyojiri kutoka viwanja vya Ali Hassan Mwinyi, Rais Magufuli ahutubia Wananchi

    Mh Hussein Bashe (Mbunge wa Nzega Mjini) =>Hawa watu wanatakiwa kufungiwa leo hakuna Nakuomba mh raisi utakapomteua mtendaji mkuu wa kamisheni ya madini, waanzishe masoko kwenye sehemu yenye wachimbaji wadogo. =>Naona mtendaji mkuu wa ACACIA amesema wanahisa hawatapata divident kwasababu ya...
Back
Top Bottom