Search results

  1. D

    Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

    Asante kwa maelezo,na tiba yake huwa ni nini?
  2. D

    Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

    Wadau naomba kujua chanzo,dalili na jinsi ya kuzuia tatizo hili la PID(pelvic infections).Madaktar au yeyote mwenye ujuz naomba msaada wenu
  3. D

    Msaada pliz

    Jaman wadau naomba kujuzwa juu hili tatizo kwa watoto,mwanangu ana mwaka sasa lakini utosi wake bado haujafunga na mara nyng panavodunda sn analia sana,sasa cjajua kama hii kitu ni kawaida au ni tatizo!naombeni msaada wenu ndugu zangu
  4. D

    kutoridhishwa katika mapenzi

    mimi na mume wangu tumeishi kwenye ndoa kwa miaka miwili sasa,tatizo ni kwamba tunapokua 6*6 anawah kupiz,baada ya goli moja anakua hoi hawezi kuendelea tena(goli la1 ni ndani ya dk3),na akimaliza analala fofofo ananiacha na hamu,nikimwambia anasema atajitahidi ila mambo ni yaleyale kila siku!na...
  5. D

    Msaada please

    asante nitaufanyia kazi ushaur wako
  6. D

    Msaada please

    hua namlisha uji wa ulezi na mara chache uji wa dona
  7. D

    Msaada please

    wadau nina mtoto wa kiume ana miezi 9 sasa, lakini hataki kula! naomba wadau mnisaidie kama kuna dawa au chakula kitakachorudisha hamu ya kula.
  8. D

    steaming na mama mja mzito

    kama anataka asuke nywele za mkono otherwise anyoe kabisa,maana ni hatari sn hayo madubwasha
  9. D

    Msiwanyime wake zenu unyumba

    we acha tu!!!
  10. D

    Msiwanyime wake zenu unyumba

    waambie haooo wamezidi
  11. D

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    asante ntaufanyia kazi
  12. D

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    asante mimi49 upate baraka tele
  13. D

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    nitauchuku mamie thank uu
  14. D

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    kwnn unaulizza
  15. D

    KWA WADADA TU!msaada wenu tafadhali

    mimi nina mwaka wa pili sasa nimeolewa!tatizo ni kwamba wakati wa tendo la ndoa,nina kiuno kigumu aisee hata kuzungusha siwezi mpaka nahisi mme anachukizwa japo hajawah kuniambia!naomba nisaidieni jaman nifanyeje na hiki kiuno nisijekuachika mie
  16. D

    KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

    jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni mwenzenu nisijekuachika,nifanyeje niweze kuzungusha vizur kiuno kwa bed?????
  17. D

    Ujumbe wa masanja mkandamizaji kuhusu wanawake katika mahusiano!

    kama una mpnz anayekuandikia sms zenye vi 'x' na 'k' hana maana piga chini
  18. D

    Msaada: Ipi dawa asilia na ya haraka ya kuondoa mipasuko unyayoni?

    jaman kasema mipasuko kwny miguu/unyayo,ndo magaga ynyw
  19. D

    wanaume na mipira yaooo!!!

    bora ingekua siku moja,ndugu yangu
  20. D

    wanaume na mipira yaooo!!!

    ningejua ningeomba mapema,bt ikawa too late
Back
Top Bottom