Search results

  1. The Wolf

    Nini kinatokea angani

    Mliopo dar angalieni anga mda huu, kuna big round bell
  2. The Wolf

    Ukiona umepewa kiti kwenye meza ya wakubwa, jifikirie mara mbili

    Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu. Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU. Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
  3. The Wolf

    Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  4. The Wolf

    Suala la Miss Tanzania ni la kitaifa zaidi, hatuwezi kuwaacha wahuni wawe waandaaji wa taji hili

    Kuna zaidi ya siku 10, Crowned Miss Tanzania hajafika huko Puerto Rico, wanzake wameshafika na wanaendelea na kambi kwa nini miss wetu hajafika mpaka muda huu?simply hawaelewani na uongozi wanaondaa hili tamasha Nashauri serikali iunde taasisi huru, inayojitegema kwa ajili ya kuandaa tuzo hii...
  5. The Wolf

    Je, Hakuna namna ya kumuondoa Spika Bungeni?

    Wataalamu mliosoma sana tena sana sheria mpaka mkaemda LAW SCHOOL na mkaitwa wakili wasomi wekeni vifungu tufunguke, binafsi ninadhani speaker hatufai. Kura ya kutokuwa na imani naye ipite mara moja. Huyu ni ufunguo utakao fungua kudidimia kwa nchi yetu ...sheria za kumuondoa ziko vipi?
  6. The Wolf

    Je, ni benki gani inatoa mikopo ya commercial real estate financing?

    ...ninahitaji mkopo kwa ajili ya kujenga jengo la ghorofa 5, Sinza karibu na jengo jipya la psssf, ila sitaji kudhamini jengo hilo kwa kutumia biashara zangu ama kipato kingine nje ya jengo lenyewe kuwa kama dhamana Je ni bank gani ninaweza kuitumia kupata mkopo wa aina hii? Natanguliza shukrani
  7. The Wolf

    TRA kuweni makini, Wasafi Festival

    Kinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini. Babu Tale yupo getini.
  8. The Wolf

    Waziri mkuu kumsimamisha kazi Engineer Morogoro, sidhani kama ni sahihi

    Nimeona habari kuwa waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa kamsimamisha kazi engineer (mhandisi) huko morogoro kwa kosa la kuwa na milango mibovu. Wise move lakini sioni kama ni sawa, kamuonea tuu ndugu mhandisi inawezekana engineer alikuwa mbele kujibu jibu maswali akakwaa kisiki Hayo mambo ya...
  9. The Wolf

    Muda muafaka sasa: ATCL kuwa na cargo planes

    Tufikirie: tutafikia nchi ya viwanda miaka ijayo ila kwa sasa its so much cheaper to use somebody factory huko china na nchi nyinginezo uka produce na ukafanya biashara yako vizuri tuu hapa Tanzania bila jasho, tukubaline watu wengi duniani wanafanya, mfanyabiasha anatengeneza tuu name tag/brand...
  10. The Wolf

    Mlio na wapenzi udsm leo mnaumia

    Ikifika mida flani ya saa 3 na ukiona hapatikani hesabu maumivu Uzi tayari
  11. The Wolf

    Ni muda muafaka sasa kwa serikali kurasimisha sekta ya udalali wa nyumba(real estate/property management)

    My point, hakuna nchi inayojengwa na watu wa nje, nchi inajengwa na wananchi wenyewe, Tanzania itajengwa na watanzania kupitia kodi, naomba kuorodhesha baadhi ya faida za kulipa kodi kwa mwananchi 1. Uzalendo- kulipa kodi inauma na utataka kujua jasho lako linatumika vipi katika maendeleo ya...
  12. The Wolf

    Kilimo cha bangi: manufaa yake kiuchumi

    Kwanza kabisa niseme sooner or later bangi itakuwa legal duniani kote, kama taifa tujitafakari tuwe wa kwanza Africa ku legalize zao hili kibiashara, jimbo moja la marekani limevuna zaidi ya usd 1 billion kama kodi itokanayo na biashara tuvune faida yake mapema
  13. The Wolf

    Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

    Ushauri kwa nikki unakuwa fala chalii, fla kweli kweli
  14. The Wolf

    Ninauza mashine za kufua nguo

    Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo...
  15. The Wolf

    Najihisi kupenda wanawake wenye umri mkubwa zaidi yangu

    Sio mara moja nimekuwa nikimtamani mke wa mzee wangu mmoja(sio ndugu ni co worker) huyo mama anakaribia kugonga 55 kwa sasa hivi, leo nipo hapa kwenye sherehe mke wake kapemdeza kinoma, cha ajabu kuna mmama mwingine tumekaaa nae pembeni nae nimeanza kumuelewa...nimegonga early 30s hata wiki...
  16. The Wolf

    Neno gani la kiswahili umejifunza karibuni na hukuwahi kujua kama lipo?

    Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
  17. The Wolf

    Je RC Makonda anadhani Mungu ni wake peke yake?

    Kila anapovurunda kwa masifa yake anakimbilia kwenye mahubiri na nyimbo za injili, anayepaswa kuumia ni yeye pekee, na mkamilifu ni yeye pekee, anayejua yote ni yeye pekee hata akiumiza wengine yupo sahihi na mkamilifu Wito wangu: RC Makonda acha kucheza hii kadi ya kuonyesha kwamba wewe...
  18. The Wolf

    DC Jokate: mwanamke wa nguvu,

    Ukiachana na yaliyopita kipindi cha mwanzoni wa ujana wake, DC jokate wa wilaya ya kisarawe ni mwanamke shupavu sana, anajua kujiongeza na hakika atailetea maendeleo kisarawe, ningekuwa ni raisi basi ningemkabidhi mkoa mzima wa pwani autemdee haki, kisarawe peke yake haimtoshi, Ni mixer ya...
  19. The Wolf

    Bus gani zuri (Luxury) kuelekea Iringa

    Wadau ninaomba msaada wenu, nina safari ya Iringa natarajia kutumia usafiri wa Bus, hivyo basi ninaomba ushauri wenu nipande Bus gani ambalo ni luxury (full ac, siti zisizobanana, charger USB Port), pamoja na huduma nzuri. Ninatoka Dar es Salaam
  20. The Wolf

    Ni Muda muafaka sasa serikali kuhalalisha kilimo na matumizi ya bangi/marijuana

    Faida ni nyingi kuliko hasara, kama wameweza kuhalalisha matumizi ya tumbaku ambayo ima madhara makubwa kiafya zaidi ya bangi. Faida za mmea huu ni kama zifuatazo 1. Kuiingizia nchi na mkulima mapato Kilimo cha bangi kinaweza kuingizia nchi mapato endapo itazalishwa kwa ubora na wingi...
Back
Top Bottom