Search results

  1. The Wolf

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Kipo wapi chief?
  2. The Wolf

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Sasa ukijenga floor moja si bado anakuona tuu?
  3. The Wolf

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Mkuu niuzie mimi hiko kiwanja
  4. The Wolf

    Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Kuhusu kusukuma ndinga kali sioni shida ni mafanikio yake na hata mimi supendi umasikini. Shida yangu ni kuwaponda wafanyabiashara wengine kuwa wanauza fake na bei ghali, ndio nnapopingana nae wakati huo huo operation zao ziko tofauti, bei haziwezi kufanana
  5. The Wolf

    Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Hamna akili yoyote ya ziada aliyo nayo niffer kwenye biashara ya uagizaji zaidi ya makelele tuu ambayo yatamletea shida, watu wanalipa Kodi, OCs na tozo za kutosha kuendesha biashara hawezi kufanana na huyo niffer anaechukua vi order kadhaa wanaingiza kimagumashi kisha wanauza bila efd, ajitafakari
  6. The Wolf

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Diamond & wasafi, babu tale na sallam sk, wajiandae na TRA, kuna kitu kinakuja mbele yao
  7. The Wolf

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Kavuna alichokipanda, huwa mnajiona wajanja sana kututombea ma sponsor, mbaya zaidi mnajisifu ana jamaa lake lina hela ila namtombea hawezi kazi
  8. The Wolf

    Mzee Mwinyi akiwa na Diploma ya Ualimu Ndiye aliyeleta Mageuzi ya Kiuchumi na Kisiasa, Kumbe PhD siyo Muarobaini!

    Seriously unadhani ni Mwinyi na vyeti vyake? Hii nchi ilikuwa inataka reform, kuna watu nyuma yake waliofanya hizo reforms, watu wenye akili na uwezo ambao hawana uraisi na wala hawahitaji hicho cheo cha uraisi. Au tumpongeze mwenyekiti kwa kila jambo?
  9. The Wolf

    Hivi mume wa kukutwa na condom ni wa kununiwa kweli?

    Ha ha umenikumbusha siku nimerudi home nina condom used hapo nimetoka kuchapa nikasema nabeba mzigo wangu siuachi kwa manzi, kwa kuwa nilikuwa maji nikajikuta nimeingia nayo ndani ya geti, nikaona ngoja niirushie kwa upande wa jirani ikanasa kwenye fence, na hapo mdau anachungulia dirishani kaniona
  10. The Wolf

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Si ndicho wanachotaka, yami mtu kwa kuwa amependa kiwanja chako anavamia, ana kuharass, anajenga kisha anakuita mezani... Ingekuwa wewe ndio mmiliki ungekubali?
  11. The Wolf

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Badilisha muonekano wako, najua unajua namaanisha ninii, pole sana
  12. The Wolf

    Natafuta kazi yeyote hata iwe naifanya masaa 24 bila kulala

    Poa, embu peleka vyeti vyako pharmacy moja inaitwa Raj Pharmacy ni ya jumla, ipo mbezi mazulu, ukiwa unatoka mbezi mwisho kuelekea goba
  13. The Wolf

    Natafuta kazi yeyote hata iwe naifanya masaa 24 bila kulala

    Mbona mna soko sana nyie mliosoma diploma ya pharmacy? Sema mshahara ndio mdogo
  14. The Wolf

    Ukiokota nyaraka au vyeti vya watu, peleka polisi au katika mamlaka husika wamtafute. Usisambaze mtandaoni

    Kuna watu wapo jela kwa kuokota okota vitu, unakutwa na vyeti ambavyo muhusika kauliwa kwa armed robbery, utasota jela... Mimi nashauri visogeze sehemu inayoonekana bila kuvishika, na acha kushika vitu visivyokuhusu
  15. The Wolf

    Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Hata hizo juice siyo salama pia, kula matunda kwa kiasi Ukinywa juice ya chungwa unakamua machungwa mangapi?
  16. The Wolf

    Naomba ruhusa

    Wengine mnakula makombo yetu, wazee wa kazi tulimaliza jana
Back
Top Bottom