Search results

  1. K

    Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Hii ya ghorofa ina vyumba layout plan yake ikoje? Ina vyumba vingapi? Inaweza kugharimu kiasi gani. Kama fedha zipo inawachukua muda kukabidhi kazi?
  2. K

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
  3. K

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Haya matokeo Kimla ni ya Mitaa tu, hayawezi kuleta picha yote ya Morogoro mjini, tungepata updates za sehemu zingine ingekuwa poa.
  4. K

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ndio utakapoona kuwa maisha yetu ni kudra za mwenyezi Mungu tu. Hata hao ambao wana uwezo kiasi cha kumiliki au kukodi chopa, hawawezi kuhakikishiwa 'immediate rescue' kama tatizo litatokea. Uhai inabidi ulindwe kwa gharama yoyote ile, watu wa uokoaji inabidi wawe na vifaa vya kwenda 'terrains'...
  5. K

    Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Huu ni upuuzi, badala ya kutushawishi tumchague, anazungumzia kuwabana watendaji, hizo pot holes kwenye barabara zingekuwapo kama angekuwa anajua kuwabana watendaji? Pathetic!!
  6. K

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Hao watu wanatafuta maji ambayo CCM imeshindwa kuwaletea katika miaka 50+ ya utawala, ahadi mpya itahitaji karne ngapi kutekelezwa?
  7. K

    Picha: Lowassa akiwa Katesh, jimbo la Hamang mkoa wa Manyara

    Dr.Slaa kama ataanza huu upuuzi nitampuuza sana. Hata kama alikuwa na sababu binafsi za kumpinga Lowasa, lakini yapasa atambue watu ndio waliobadilika. Kujaribu kufanya mambo kinyume kutaonekana wazi lengo lake halikuwa kuwakomboa watu. Kujaribu kuutetea mfumo uliokandamiza watu kwa miaka yote...
  8. K

    Mkutano wa UKAWA Kakola (Mgodini) leo uwanja wa shule ya msingi

    Afadhali siku hizi umeujua ukweli!!
  9. K

    Mnyika kwenye hatihati kupoteza jimbo

    sasa kama wewe ni Gamba si ufurahi tu atapoteza, kwa nini unalia lia hapa?
  10. K

    Mafuriko ya Mh.Lowasa yaisimamisha Chato ya Magufuli hivi leo!!

    kwani wewe ulilipa nini kujiandikisha kiasi kwamba iwe vigumu kwao kuandikishwa?
  11. K

    Magufuli zi zaidi ya obama

    Kama wewe mwenyewe umechoka hata 'title' ya 'thread' haieleweki, utatushawishi vipi kuiamini habari yako? Haya mambo kama mnaelekezwa mchambue kwanza mnayoambiwa kuleta, sio mnakuwa kama roboti!
  12. K

    Kikwete kulalamika majukwaani

    Unapokuwa na Rais ambaye hatambui kama ni Rais. Huyu ilibidi tumshtaki kwa kutotii katiba aliyoapa kuilinda.
  13. K

    Nami nina neno

    what's this? are you mentally challenged?
  14. K

    Namna ya kutengeneza Lasagna

    kati ya misosi ninayopenda kuila basi ni huu!!
  15. K

    Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    Kazi nzuri sana Kamanda, msiuzime huu moto mpaka 2015! Jitihada za kuconquer maeneo yaliyobaki zifanyike!!
  16. K

    Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    Mkuu Hongereni sana! Hebu nipe tathmini ya maeneo ya Rudewa Gongoni na Mbuyuni. Nilipita hapo vijana wakanihakikishia CCM hawana chao. Vipi matokeo yapoje?
  17. K

    ajari kenya

    ndo ilikuwa imebeba hiyo mirungi?
  18. K

    Mlipuko waua Nigeria

    Mlipuko katika 'Shopping Mall' waua 21 na wengine 17 kujeruhiwa, siku nane tu baada ya mlipuko mwingine kutokea katika sehemu ya kuonyeshea 'World Cup' na kuua kiasi cha watu 14. Hayo mambo gani Afrika? Source: BBC News - Nigeria: Abuja blast in Wuse district kills 21
  19. K

    Professor mchumi bora tanzania,africa na dunia toka ukawa yupo ndani ya itv.

    There is nothing 'so economic' that I hear from Lipumba apart from ---- from time to time. Anaweza kuwa amefanya kazi sehemu mbalimbali, lakini impact yake hata kwa sera za uchumi za CUF ni zipi? Mimi sio mchumi, na kwa hiyo hatuingiliani kwenye kazi mpaka nimwonee wivu. Sijaona cha maana katika...
Back
Top Bottom