Search results

  1. hoter.one5

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Etj Consultancy: tunakusaidia kwa hatua zote hadi unamiliki kampuni yako ndani ya siku tatu baada ya wewe kulipia ada ya usajili tukishakupa control number Etj Consultancy: na mahitaj yake ni haya 1.Jina la kampuni 2.nida za wakurugenzi 3.tin za wakurugenz 4.mtaji wa kampuni yako 5.anuani ya...
  2. hoter.one5

    Tunahitaji watu waliosomea house keeping veta (2 post)

    tunashukuru kwa maoni yako na sisi kama watanzania wenye lengo la kufikia umma tunalipokea kwa mikono miwili tunaomba wajulishwe wenye sifa hizo maana bado tunaproject nyingi lakini wateja wetu wanahitaji tuwe na watendaji wenye sifa hizo ila wengine wanaruhusiwa kuomba
  3. hoter.one5

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    karibu ndugu sisi ni wataalam wa kusaidia katika sajiri mbalimbali TIC,BRELA,TRA,OSHA,KUPATA LESENI ONLINE MAWASILIANO YETU +255764530882 au +255626402722 email yetu ni etj.prof@gmail.com tunaweza kuja kukufanyia kazi ofisini kwako kwa weredi na ada zetu ni nafuu sana
  4. hoter.one5

    Tunahitaji watu waliosomea house keeping veta (2 post)

    Habarini kampuni ya TEN ASSOCIATES inawatangazia umma kuwa tuna nafasi mbili wazi kazi ya usafi ofisini muombaji awe na cheti kutoka VETA Fani ya HOUSE KEEPING tuma maombi yako kupitia anuani ifuatayo Ukiambatanisha vivuli vya vyeti vyako pamoja na cv yako kwenda anuani hii hapo chini MANAGER...
  5. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    HIZO NI SHORT KOZI ZA WIKI NNE NA MIEZI MIWILI NA UNALIPIA ADA HIVYO WEWE MUHITAJI UNAOMBA UKIHITAJI
  6. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    Hapana wao ndo wanaokupa mafunzo hayo
  7. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    KOZI HIZI HAWATOI MUST PEKEE KUNA ATTI -MBEYA KULE RUNGWE,MUST,ICoT-MBEYA,NA UJENZI-MORO na kwasasa kuna kozi zinatarajia kuanza mwezi nov 2023 ukitaka nikupe fomu njoo whtsp +255626402722 bure
  8. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    kama unacho hicho cheti ndicho kinachotambulika crb kama mtaalam wa kampuni na kupewa usajili bila mtu mwenye cheti kama hicho kampuni haiwezi kupata usajili hivyo basi wewe unacheti yeye anamtaji hapo mtafanya kazi kwa pamoja na kila mmoja anakuwa huru kutumia kampuni kuombea kazi
  9. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    bado wanahitajika watu hawa
  10. hoter.one5

    Mwenye cheti cha labourbase anahitajika

    ajira zake zipo ni kwa wale wenye kampuni za specialist contractors tu au cleaning services wanaodeal na gardening tu ila unaweza kujiajiri au kusajiri kampuni yako au sole proprietor
  11. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    Habarini wadau, Kuna mdau anahitaji mtu mwenye cheti cha labour base kwaajili ya kufungua nae kampuni ya labourbase contractor kama upo tayari njoo ni kulink nae wakiwaa tatatu itakuwa vizuri zaidi maana wadau ni wengi kulingana na soko la specialist contractors kwenye indutry ya ujenzi wa...
  12. hoter.one5

    Mnaotumia/mliowahi kutumia sola za zola naombeni ushauri

    habarini naomba mwenye contact za ZOLA OFFGRID TANZANIA anisaidie nina jambo nao lakini cjawezakuona contact zao kwa website yao kama namba za simu
  13. hoter.one5

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    kimaadili haifai kuweka mbinu au njia hizo tafadhari nitafute inbox nikusaidie ni bure tu usije kuona neno inbox ukahisi pesa no
  14. hoter.one5

    Recruitment portal

    Ukikwama nione nikusaidie kwa walio serious tu not for free 0626 402 722
  15. hoter.one5

    Wale wa Interview ya TRA naomba ufafanuzi wa jambo hili

    next time aambatanishe na affidavity kutoka kwa advocate,loss report toka police na certified copy ya hiyo id
  16. hoter.one5

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hapana limited company ni kuanzia watu wawili na kuendelea vinginevyo itakupasa kusajili business name hadi pale utapompata mtu wa kuweza kushirikiana nae
Back
Top Bottom