Search results

  1. F

    Chama tawala kuvinyanyasa vyama pinzani

    tunaweza kusema democrasia yetu haijakomaa au imekomaa kuzidi za watu wengine,kwanini nchi zetu za Afrika chama tawala kina kiandama chama pinzani kwa kikirekebisha na badala ya kutoa muongoza bora kwa jamii husika. kwa mfano nchi jirani ya Uganda chama tawala kina nyanyasa chama pinzani kwa...
  2. F

    NIMESALITIWA nisaidieni

    mapenzi ni kuvumiliana hivyo kama kashindwa kuwa mvumilivu just know hayupu kwa nia ya kimapenza pamoja na wewe muache haraka iwezekanavyo wapo mabinti wengi wenye mapenzi ya kweli make your choice .
  3. F

    Kulikoni jolly club!!!

    mimi sikushauri kwenda kwa machangu kwani ulimwengu wa sasa ni mbaya sana chunga sasa usije ukachukuliwa na magunjwa pili kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu mwana utakuja juta kumbuka majuto ni mjukuu
  4. F

    Mpenzi wangu hataki kunipa tunda,nifanyeje jamani?

    kumsaliti sio uamuzi wa busara kwani inakupasa kuwa mwaminifu katika mahusiano yenu,kunambi kama kweli unampenda na untaka awe mwenza wako wa maishani inakupasa kuwa karibu nae sana na kwake yeye anafikiri kuwa hauko mkweli katika mahusiano yenu ndio maana anataka kuacha kukupa tunda.niwazi kuwa...
  5. F

    Mwanamume anahitaji nini? Wale wanandoa hebu mnijuze!!

    da !!!!! Kunambi unastairi pongezi za hari ya juu hizo mbinu kwa mwanamke awaye yeyote atashinda mtihani wa kumudu maisha ya ndoa.
  6. F

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    aiseee sijui nisemeje kwani inaonekana walio wengi wanabashiri tu hawana ukweli wa mambo mabinti walio wazuri ni watoto wa ngara hawa mabinte wamechanganya asili ya kinyarwanda hibu niambieni sio tu tanzania bali east Africa ni nchi gani wanawazidi Rwanda kwa mabinti sio tena wazuri ila wakali...
  7. F

    Top 10 Marriage Mistakes

    thats absolutily right because you massioned all the resorn chears chamtumavi.
  8. F

    Watanzania wanaokuboa

    ninaboreka na watu kama vile saida kaloli,na dj sogi wa uhuru mf. kwa aina yao ya kotoka kiusanii hapa bongo.
  9. F

    Watanzania wanaokuboa

    mana umepatia ile mbaya just look for more bongo flaver wasanii kama blue anaboa kishenzi.
  10. F

    Insha: YAH: Kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu

    kwa mahitaji ya kufuga kuku wa kizungu anafaa hasa kufugwa mijini na sio kijijini kwani wanahitaji matunzo ya hali ya juu na pia wataaramu hawapatikani vijijini.Ila wanaweza kumudu sehemu zote kama mahitaji yao yanapatikana bira shida yoyote.Pia kuku wa kienyeji wanafaa kufugwa vijijini...
  11. F

    Insha: YAH: Kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu

    katika monekano wangu ni kwamba kuku wa kizungu na kuku wa kienyeji wote ni kuku ila utofautiwao unajitokeza pale kuku wa kienyeji anajitafutia chakula mwenyewe au anachakula mwenyewe na kuku wa kizungu anachakula kwa kuletewa karibu chakula.sio hivyo tu ila wanautofauti wa kwamba kuku wa...
  12. F

    Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

    Mwanamke anaitaji sio tu usalama bali anaitaji hata mwanaume ambaye atamjali hata katika mambo ya kifedha.mwanawake hasa wa sasa wanapenda pesa na wala si kitu chochote .mambo haya ndio yameletelea wanawake kuitwa magorikipa.wapunguze kupenda pesa.
  13. F

    Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

    masatu huo ni uzalendo tu si lolote si chochote.
  14. F

    Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

    Masatu kweli usijari tu uzalondo na kusahau tabu na adha zilizomo nchini.Nikweli mafanikio yapo na siyakutisha pia kumbuka tembo akisifiwa .....Na pia kumbuka wenzetu wanateseka huko mara wanakunywa maji yenye chemicals isitoshe wanauana,shinyanga ukame ,kagera uaribifu wa mazingira na swala la...
  15. F

    Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

    Asie jua maana haambiwi maana.na yeye karubuniwa tu ikosiku ataleta watuwake kutafiti atapata majibu.hawezi kusifia Kenya kwasababu wazungu watamkalia kichwani.
  16. F

    Wasafiri kuchimba dawa ktk karne hii si sawa?

    Nimekubari swala la kuchimba dawa ni baya sana kwasababu sio tu uchafuzi wa mazingira nipamoja na kuongeza kasi ya utekajinyara kwenye mapori. Abiria wanapo shuka kwenda kujisaidia wanasimama na majambazi hupata nafasi ya kuwateka na kuwanyang'anya kilakitu walichonacho. Hivyo ujengaji vyoo...
  17. F

    Namtafuta huyu mdada

    Inaonekana kawachengua wengi sana sasa ni zamu yangu ,lazima sumu imuue.
  18. F

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jizi sio kitu,kama hauna ujuzi utafungwa tu na jizi zako nzuri.la muhimu hapa ni kuwa na wachezaji bora na si bora wacheza.
  19. F

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    kwa nini hujaipenda subiri mda ufike usikate tamaa mapema.kumbuka gemu linabadirika kila msimu.usihofu.
Back
Top Bottom