Search results

  1. Ontuzu

    Tuelewane: Urusi inapigana na Ukraine tu, sio West, Marekani au NATO

    Kwahiyo mkuu, unapopigana na adui/mpinzani wako unampa masharti ya kwamba asitumie mguu na mkono wake wa kulia kushambulia/kupiga kwasababu vina nguvu sana, atumie tu mkono na mguu wa kushoto kwa sababu ni dhaifu. Halafu unataka ukimpiga useme umeshinda
  2. Ontuzu

    Tuelewane: Urusi inapigana na Ukraine tu, sio West, Marekani au NATO

    Ongezea pia kwamba, hata taifa lolote likionekana linatoa aina yoyote ya msaada wa kivita kwa Mrusi na lenyewe linawekewa vikwazo au kutishwa, mf. South Africa juzi hapa
  3. Ontuzu

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanataka kumuaminisha Zelensky kua kuna mpasuko mkubwa Russia tena kwenye inner circle ili aone sasa ni wakati sahihi kurudi nyumbani kuanzisha counter-offensive haraka kabla hawajaelewana na kujipanga upya. Akifanya kosa hilo hatokaa asahau. Chess inayochezwa hapa si ya kiwango cha dunia hii...
  4. Ontuzu

    Wanajamvi, anayejua kwa undani mgogoro na mapigano yanayoendelea huko Sudani, naomba atueleweshe

    Nimesoma chanzo kimoja kinasema mzozo huu kati ya viongozi wanaoongoza serikali ya kijeshi ya mpito Sudan umechagizwa na USA na Russia. Wiki kadhaa zilizopita waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov alienda Sudan kwa mazungumzo hasa kuruhusiwa kuweka military naval base yao pale Red Sea...
  5. Ontuzu

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hiki ulicho post kimeakisi JF ya kipindi hicho, JF iliyokuja kujizolea umaarufu na wingi wa followers hii leo kwakua mtu alikua akileta habari enzi zile anadondosha na ushahidi ambao unaacha silimia ndogo sana ya mashaka
  6. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    "Kama"...
  7. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama waarabu wakiinunua timu na wakampa hela ya kutosha kumfanya awe na wachezaji angalau wawili katika kila nafasi wa kiwango cha juu anaweza kufika mahala fulani... Ni kocha mzuri ila ila alilewa sifa baada ya performance nzuri katika mechi kadhaa na hasa baada ya kuchukua kikombe. Kuanzia...
  8. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    If my memory serves me well hajafunga goli kwenye ligi hadi sasa na Man U
  9. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unamweka benchi Wan Bissaka unamchezesha Dallot. Scholes hajamumunya maneno kasema wazi huyu Dallot na Weghorst hawana quality ya kucheza utd. ETH Kajifunza kitu jana kuhusu mechi kubwa ugenini hasa kwenye EPL! Asipobadilika atafata mkondo ule ule wa waliomtangulia
  10. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tumeshapoa mkuu.
  11. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakongwe kina Scholes wanasema enzi zao chini ya SAF walikua wakienda ugenini kwenye mechi kubwa wanacheza 4-5-1, lazima uheshimu timu kubwa huwezi force kwenda nao toe to toe. Wanaosema fatigue sikubaliani nao, shida ni choice of players na formation
  12. Ontuzu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hua sielewi kocha anapomuweka benchi Wan Bissaka mechi kubwa kama hii. Anyways, hope we'll bounce back
  13. Ontuzu

    Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Kiuhalisia uko sahihi kabisa lakini tutazame hawa ndugu ambao wamehojiwa na vyombo vya habari na kutoa ushuhuda wa maneno aliyotamka marehemu wakati wa uhai wake
  14. Ontuzu

    Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Wana jukwaa Salaam! Kwanza natanguliza pole kwa wana ukoo wa Mrema kwa ajali iliyotokea na kuhusisha vifo vya watu zaidi ya 17. Nimejaribu kujiuliza sana, hasa hii taarifa ya ndugu ambao wanatoa shuhuda kua marehemu alitoa sharti asiende kuzikwa kwao na watakaokaidi ataondoka nao. Mshana jr...
  15. Ontuzu

    Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    Kama speed yake ni 160km/h maana yake Dar-Moro 183km itakua ni 1hr 30mns hadi 2hrs
  16. Ontuzu

    Mahakama mnapaswa kujitathmini sana

    Hukumu ile ingeachwa ibaki vile ingefungua wenyewe wanasheria wanaita "pandora box". Wakati mwingine wisdom hutumika sana kwenye hizi mahakama
  17. Ontuzu

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ikiwa hivyo watarudia uchaguzi ndani ya siku thelathini 30
  18. Ontuzu

    Mwigulu Nchemba na mkandarasi, China Civil Engineering construction corporation biashara yenu ina harufu mbaya

    [emoji109][emoji109][emoji109]like nimeona haitoshii mkuu kula tano
Back
Top Bottom