Search results

  1. L

    Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako

    Mwenyekiti mstaafu UVCCM Tandahimba Mr. Fadhili hongera sana, vijana wajifunze kutoka kwako. Umeamua kukaa pembeni kwenye Siasa, Sasa umeamua kuwekeza katika kuwahudumia watu kwa vitendo, hongera sana.
  2. L

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  3. L

    Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
  4. L

    Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
  5. L

    Tatizo la subwoofer kuvibrate na kutikisa nyuma linasoviwaje

    Wakuu kwema? Tatizo la subwoofer kuvibrate na kutikisa nyuma linasoviwaje? Unaweza kuta unasikiliza vizuri tu, baada ya muda inatokea bass Fulani,ambayo inatikisa nyumba
  6. L

    Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

    Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga) Location: Lindi In cash: Mil 3
  7. L

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi. Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho. Wenyewe wanasema Ni kwa ajili ya usalama wetu Note:Kama unapita mitaa hiyo beba vitambulisho vyako
  8. L

    "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  9. L

    Kifo cha Mwanafunzi UDOM kinachunguzwa kwa ajili ya nini?

    Waziri Ni mtu mzima! Huyo Nasra Ni mtu mzima! Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics! Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku. Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka? Okay, kimechunguzwa...
  10. L

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu? Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea. Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
  11. L

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?
  12. L

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  13. L

    Tuzo za Muziki "Tanzania music Award" hazina mvuto kabisa,Diamond Ana haki kuzikataa

    Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
  14. L

    Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

    Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017... Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati...
  15. L

    Naomba utaratibu wa kuhuisha leseni ya MCT

    Nahitaji kurenew Leseni ya MCT. Naomba procedures. Sina access na account niliyofungua mwanzo! Naomba msaada!
  16. L

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  17. L

    Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe

    Wadada, msijirahisishe hivyo Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili, Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani...
  18. L

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  19. L

    Mwenye hp printer drivers naomba, au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer

    Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
  20. L

    UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

    UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
Back
Top Bottom