Search results

  1. L

    Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Kweli kabisa mtoa mada, hili ni janga kubwa sana kitaifa hususani kwenye hivi vituo vya redio na tv zinazoitwa za burudani, ni madudu tu kuanzia kwa watangazaji hadi hawa wanaoitwa ma presenter
  2. L

    Natafuta Mkulima Morogoro tushirikiane kulima

    Kuna kampuni Morogoro inajihusisha na kilimo kwa mkataba maalum wanajiita SOILA PLC, ingia mtandaoni uwasiliane nao watakupa maelekezo. Niliwaona hata kwenye maonyesho ya sabasaba kitaifa Dar walikuwepo.
  3. L

    Universe Ni Ndogo: No Light Years Between Planets Or Galaxies

    Huo mwanga ambao bado unasafiri, unatoka wapi na unaenda wapi? sijajua kama kuna chanzo cha mwanga kinaweza kuangaza nuru the whole universe hadi useme kwamba bado kuna sehemu hazijafikiwa na mwanga
  4. L

    Kesi namba 456 (Jamhuri vs JamiiForums): Shahidi akiri mshtakiwa namba 2 yupo kimakosa...

    Hapo hayo maswali alitakiwa awe anayauliza Tundu Lisu ndio ungefurahi, ya ndio na hapana hadi raha
  5. L

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Huu uzi utanifaa sana baada ya mda fulani, acha niuwekee alama kabisa
  6. L

    Kuna tofauti gani kati ya picha hizi mbili?

    Huyo mtu hapo mapokezi yakwanza anaandika kwa kalamu yenye kichwa chekundu ya pili ni kama anasoma tu hajaanza kuandika na hata kalamu hajashika
  7. L

    Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Nkanga chief upo, hivi vipi kuhusu ronja la jkt OP hii inayofatia watapata ajira kweli?
  8. L

    I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

    Daah ila hapa kuna kaharufu ka ukweli japo ni asilimia chache
  9. L

    Ufafanuzi kuhusu Cheque

    Waache uhuni hao wafanye bank fund transfer kutoka kwao pesa iingie kwenye akaunti yako wewe watumie swift code ya bank yako na namba yako ya akaunti waipige hiyo cheque yako hukohuko kama hawalipi pesa mkononi.
  10. L

    Ripoti ya makinikia ya Almasi na biashara ya Tanzanite yawasilishwa. Prof. Mruma, Maswi na Muhongo washutumiwa

    Ngoja tusubili tuone mrejesho, nimeipenda hii Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Kweli mkuu mimi mwenyewe nimelisikia mwanzoni nikafikiri gari kubwa ila nikatambua nipo mbali na barabara kubwa, hali ilipodumu kwa dakika kama moja hivi bila kukata ndipo nikatambua ni tetemeko, inaoekana limeanzia bukoba maana huku mwanza limesikika mida ya saa nane kasoro hivi za usiku
  12. L

    Jamani Trafiki Wanakera sana!

    Naomba unisaidie hiyo app mkuu
  13. L

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Acha ni subscribe huu uzi ni elimu kubwa na ya lazima kwa kila mtu aliye kamili
  14. L

    Mbowe adai bajeti pendekezwa haitekelezi na wanajiandaa kuipinga

    Sikumbuki bajeti iliyoleta tija kwa taifa tangu 1996.
  15. L

    Nape, Jeshi la polisi na JWTZ mna la kuongea kuhusu tukio la uvamizi Clouds Media Group

    You are the real great thinker, lets gv them a chance may b we can prove them otherwise.
Back
Top Bottom