Search results

  1. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    unaweza msindikiza mwenzi wako,tutashukru sana! :clap2::clap2::clap2::clap2:
  2. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    asante sana kiongozi,ubarikiwe :flypig:
  3. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    asante kiongozi kwa kunisaidia:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
  4. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    kiongozi ubarikiwe sana :flypig:
  5. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    mkuu hapana hatutaruhusu uweke bange,unaweza haribu mazingira na hali ya hewa ya hapo
  6. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    siyo mibange bhana,tusingefanya hadharani.afya ya mvutaji kama unavuta sigara ya kawaida mfano Embassy
  7. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    ni starehe ya uvutaji wenye flavor mbali mbali,tutembelee uelewe/ujionee kwa vitendo
  8. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    hapana haina madhara kama ya BANGE,isingeruhusiwa kufanyika hadharani
  9. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    nimekuelewa ndugu yangu,ila hiyo ya sheesha ndio inanihusu zaidi
  10. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    angalia picha nimeweka sasa hivi inajieleza
  11. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    Wana jamii kutokana na tatizo la ajira nimeamua kuwa mjasiliamali,kiofisi changu kiko hapo Giraffe hotel mbezi beach,tunafungua kuanzia saa 11 za jioni,karibuni mniunge mkono,tutaweza tu kujikomboa wenyewe
  12. Sugar wa Ukweli

    SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

    Wanabodi baada ya ajira ya kuwa ngumu nimeamua kuwa mjasiliamali.karibu tuungane mkono Giraffe hotel mbezi beach kila siku kuanzia saa 11 jioni
  13. Sugar wa Ukweli

    NCC past paper za IT(natafuta)

    nenda learn IT au IIT kama uko dsm watakupa password uingie site ya NNC utapata paper zote unazotaka
  14. Sugar wa Ukweli

    konda mtoto

    Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa anamsikiliza mtoto wake wakati anaongea na kigari na vitoi vyake vingine. Mtoto akatoa sauti kama ya gari...
  15. Sugar wa Ukweli

    Rav4 milango 5 iko sokoni

    picha,mileage please!
  16. Sugar wa Ukweli

    Jamani nimelogwa au!!!!!

    kamata mnyama amekuja mwenyewe,ipatie nafsi yako kitu inatamani!
  17. Sugar wa Ukweli

    Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

    mie naondoka fasta,ugomvi tukaumalizie home,unaweza kupigwa ngumi ya pua hapo hapo bar,lol
  18. Sugar wa Ukweli

    <-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

    happy birthday Aspin
  19. Sugar wa Ukweli

    Kila SIM kadi ina jina lake MTANDAONI

    Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi 1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika namba hyo ya juu ni 488. 2nd step:andika neno hili kama lilivyo na namba hzo tatu @*[488:0] 3rd...
Back
Top Bottom