Search results

  1. M

    Kwa hili tunahitaji tamko la CHADEMA

    CDM tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu! PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  2. M

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Hongera Dr wa ukweli. Acha hii miCCM iendelee kula kubeli.
  3. M

    CCM yaigawa CHADEMA vipande viwili - Shibuda, Nape na Kinana wapanda Jukwaani

    Hivi CCM wamechanganyikiwa namna hii siamini, kweli CHADEMA wanaume!, kwani wapinzani ni CDM pekee, hakika nimekubali 2015 CCM inazikwa. CHADEMA KUNAPENDEZA!
  4. M

    Angalisho CCM: Kilichozaliwa hukua, husitawi, huugua na mwisho hufa

    Hata hivyo CCM haijapigania uhuru wa nchi hii, zingekuwa TANU NA ASP ni sahihi, ndio maana CCM hawana uchungu na nchi hii kabisa, CCM wamejaa wababaishaji tu.
  5. M

    CHADEMA naichukia kutoka moyoni

    Pole sana, naona Mola anakuita, nenda tu akulaze mahali pachakavu kama ulivyochakaa. Ukome, CHADEMA mwendo mdundo, ni zaidi ya moto vichaa kama wewe hawawezi kuuota hata kama ni kwa mbali.
  6. M

    Nape sasa amtaka Mbowe ajiuzulu

    CHADEMA ipo juu, NAPE hajitambui hana hoja, muulize gamba la LOWASSA limeishia wapi? walitumia chopa kuzunguka nchi nzima kwa kodi zetu, na hakuna alilofanya? wajiuzuru CCM wote MATAPELI, MALAGHAI, MAFISADI MAKUBWA HAYA!. Mtachanganyikiwa hadi mkome, CDM haikamatiki msio na hoja kaeni kimya.
  7. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

    Tupinge ama tusipinge CHADEMA wanakubarika acheni unafiki, KIKWETE mwenyewe anafahamu hilo, CHADEMA hiki ni kipindi chao, CCM magamba tu hayavuriki hawana jipya, Kwenye uwanja huohuo wa RUANDA NZOVWE waliacha kufanyia mikutano kwa kukosa watu kabisa hata wa kukodi kwa marori, na wasafwa sasa...
  8. M

    Mchakato wa Katiba Mpya: Kinachowatesa CCM ni hiki hapa; u- Conservative

    CCM hawakuwa tayari kwa katiba mpya ndio maana hawana hoja za msingi, wanataka kutupeleka-peleka tu, na pia hawa MACCM wamechoka ninyi nyote mashahidi; [ref. PINDA]
  9. M

    Cha msingi ni kupata katiba itakayotusaidia kuondokana na CCM mengine baadae

    Hivi CCM kuna shetani anawasubua tena anatisha lakini kwa uwezo wa MUNGU anashindwa tu "TULIANZA NA MUNGU, NA TUTAMALIZA NA MUNGU"
  10. M

    Mapendekezo ya CCM kuhusu kwa tume ya katiba haya hapa ....

    Mapendekezo haya yanaonesha jinsi CCM walivyo "emptyheaded" hivi suala la kuoana ni hoja, mbona kuna wazungu alioolewa na watanzania au wazambia mimi nina wasiwasi na vyeti vyao naomba NECTA ifanye uchunguzi, VIONGOZI BOGAZI HAWATAKIWI KUONGOZA NCHI, kweli nimeamini kuwa 50 yearz hatujawahi kuwa...
  11. M

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    CCM mwisho wao umefika, na kaburi lao lipo tayari, bado kwenda kubeba mzoga tu mochali.
  12. M

    Wabunge wa CHADEMA: Kwanini wanawakilisha Chama na kuwaacha watu waliowachagua?

    Chama ambacho kimekufanya uwe na uwezo wa kuchambua siasa namna hiyo si kingine bali ni CHADEMA, utoke porini njoo barabarani, ccm pamoja na Ndugai hawana hoja ndo maana wanaogopa hoja za CHADEMA. [Hint: Angalia takwimu za CHADEMA].
  13. M

    CHADEMA yaigaragaza CCM

    CHADEMA juuuuu!!!
  14. M

    Jela kwa kumuweka kinyumba mwanafunzi umri miaka 16 - Je, si ubakaji?

    Sheria za nchi inabidi ziangaliwe upya, kwa mfano kijana akimpa mimba mwanafunzi anafungwa miaka 30 lakini bado mimba ndo zinazidi zaidi, ingekuwa vema wafungwe wasichana wataacha ufuska.
  15. M

    Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

    Hana jipya huyo! hawezi kuisaliti CCM kabisa, hana ubavu wa kuacha ubunge i swear!
  16. M

    Wananchi wa mbeya walia na SUGU

    Jamani ninyi semeni tu, lakini huku mbeya SUGU ni president, na tunampenda balaaaaaaa!!
  17. M

    Nuchukia sana muungano huu wa serikali mbili

    Hakuna nchi duniani yenye aina ya muungano kama wetu huu, yaani wanatuona like mazombi, je kuna mashiko gani ya ya kuendelea na muungano unaotufilisi watanzania, kwanini tuogope kuuvunja limuungano hili lisilofaa, linalotukondesha kila siku, Miaka 50 bado ni masikini, viongozi wapimwe akili...
  18. M

    Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

    Mh. MATASO, cdm hawatumii nguvu hoja zao zina mashiko, ila ccm kwa sababu ya wingi wao bungeni wanatumia opportunity hiyo kuwakandamiza wapinzani, jiulize je, ni mikataba mingapi feki ccm imeipitisha bungeni na wapinzani wakipinga, CCM NI SIKIO LA KUFA, lazima wapishe 2015 wamezeheka mno hawana...
Back
Top Bottom