Search results

  1. R

    Nauza kuku wa nyama waliochinjwa

    Nauza kuku wa nyama waliochinjwa na kuhifadhiwa vizuri kabisa kwenye deep freezer. Kuku hao wana uzito wa kati ya 1.2-1.3 kg. Bei kwa kila kuku ni Tshs 4,800.00. Napatikana Jet Rumo simu na.0715-266451. Karibuni sana.
  2. R

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Nyumba hiyo iwe ya kisasa yenye uzio, maji na umeme. Iwe na vyumba visivyopunguwa vitatu vya kulala na angalau kimoja wapo kiwe ni "Self contained" Iwe na kiwanja kikubwa na sehemu ya kuweza kuegesha gari mbili. Nyumba hiyo iwe maeneo ya Jet Rumo kwenye viwanja vilivyopimwa. Tafadhali kama una...
Back
Top Bottom