Search results

  1. Abramovic

    Kuna nyimbo unazipenda ila huwezi zisikiliza tena maana zinakutoa machozi!

    Kaa nami ni usiku tena, usiniache gizani Bwana...... by Angela Chibalonza na badae cover ya Linex Sunday Mjeda. Nyingine ni mpya "Nina siri" ya Israel Mbonyi
  2. Abramovic

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Mkuu naombq nikupe taarifa nzuri lakini pengine inaweza ikakusikitisha, kwa nchi za ukanda wa Africa Mashariki, Kati na Kusini ( ndizo nchi nina uzoefu nazo zaidi), Tanzania ndio nchi unayoweza kufanya biashara ukafanikiwa sana ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko nchi zilizosalia. Hii ni...
  3. Abramovic

    Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Yeye muamerika atakua na hali mbaya zaidi kuanzia October/November na kuendelea. Mark this message Mkuu
  4. Abramovic

    Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Ngoja nikusanue kamanda, nenda bank yoyote ya kimataifa hasa, mi napendelea Equity ndio wako fair kiasi kisha fuata malekezo haya; 1. Fungua account mbili, moja ya USD nyingine ya TZS ( kama hauna account kwenye bank husika) 2. Tia mzigo wa kutosha kwenye account ya TZS kiasi ambacho kitatosha...
  5. Abramovic

    Most dangerous things to man

    Umasikini ni aibu kuu na fedheha kuliko kitu chochote kile hapa duniani. Ukiwa masikini huwezi kumudu matibabu, chakula, malazi, mavazi, heshima kwa jamii itashuka, watu wako muhimu watakukimbia. Ukiwa masikini hauna option ya kusema unauacha kesho au leo ni hadi upambane kwa muda mrefu tena...
  6. Abramovic

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Pamoja kamanda
  7. Abramovic

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Hahaha Sawa brother mshindi wewe kwa maneno mengi lakini nasisitiza tafuta pesa mchumba anahudumiwa kama kawaida na wala malalamiko hayatakuwepo. Nadhani sasa tufunge huu mjadala tuwaachie wengine waendelee kutushibisha maarifa yao. Asante kwa mchango na ushauri wako Mkuu, jioni njema...
  8. Abramovic

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Hahaha brother narudia tena tafuta pesa, ukiwa nazo huwezi kulalamika namna hii. Mimi sijawahi kuogopa kupoteza mwanamke kwenye maisha yangu kwa sababu naweza kumpata mwanamke yoyote nnaemtaka, lakini najaribu kukuelewesha kuwa kumsaidia mwenzio kwa kumhudumia sio dhambi wala aibu mama...
  9. Abramovic

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Tafuta hela brother, ukiwa na pesa huwezi kupiga hizi kelele zote na viingereza fake fake badala yake utamsaidia mwenzio bila kuhisi maumivu, wanawake ni wenza wetu, wanatuliwaza, wanatushauri na zaidi wanatusitiri tukiwa na hamu zetu so ni lazima pia tuwajali na kuwahudumia, yani kweli...
  10. Abramovic

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Guys acheni uzamani dunia inabadilika kwa kasi, kama una uwezo wa kumhudumia mpenz wako we fanya umfurahishe na yeye afungue moyo wake kwako. Kama itatokea mambo yakashindikana huko mbele ya safari basi hesabu tu umekula loss kama unavyopata hasara kwenye biashara au kupoteza pesa. Kama hauna...
  11. Abramovic

    Hivi huu utajiri wa Malawi ni true story au a myth?

    Kwanza Tunduma hakuna boarder ya malawi, ipo ya Zambia tu (Nakonde). Boarder ya malawi iko kyela ( Kasumulu boarder)
  12. Abramovic

    Nesi akiri alivyomhanithi mumewe na kumuua polepole kwa dawa ya macho

    " something must kill a man no matter how cautious we are " take a note
  13. Abramovic

    Nesi akiri alivyomhanithi mumewe na kumuua polepole kwa dawa ya macho

    Na sisi tunatafuta antidote yake maana tushajua chanzo cha tatizo
  14. Abramovic

    Wanawake wangu watatu nimewatumia sms nimewaambia nataka niwaoe kwa kuwapima nione majibu yao

    Tafuteni pesa vijana, mkiwa na pesa hao wanawake ndo watawalazimisha hizo ndoa. Kabla sijaoa miaka 5 iliyopita nilikua na request zaidi 4 za wadada kutaka niwaoe na ni wanawake wa maana sana wazuri wa sura na tabia, wenye elimu na familia zao ziko imara pia. Wengine hata wazazi wao wanaongea...
  15. Abramovic

    Ahadi za uongo za marafiki

    Funzo la Maisha 1. Usiumizwe moyo wako kwa kukosa pesa isiyokua yako 2. Usiipangie matumizi pesa ya ahadi hadi utakapoitia mkononi. 3. Tafuta pesa yako kwa nguvu bila kuchoka wala kuona aibu kwa sababu hakuna aibu kubwa zaidi ya umasikini. 4. Rudia kusoma namba 1-3
  16. Abramovic

    Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

    Nenda kwenye tawi la bank husika ukiwa na taarifa muhimu za account yako. Ni kazi ya dk 10 tu wanakua washamaliza kazi. Inaokoa sana sa a gharama hasa kwa sisi wafanyabiashara kwenye kufanya transfer. Mfano kufanya transfer kwa Internet banking kutoka CRDB - CRDB wanakata Tsh 826 tu hata kama...
  17. Abramovic

    Kampuni ya PUMA imehamua kuachana na kusambaza na kuuza oil za Castrol?

    Mi natumia Atlantic synthetic 5W30 kwenye gari zangu na sijawahi kujutia
  18. Abramovic

    Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

    240k kwa 40m ni sawa na 0.6% ya pesa yote kitu ambacho haiwezekani. Itakua either hukuwaelewa au aliyekuelekeza amekuchanganya, hakuna rate ya hivyo bank. Wengi kama sio wote huanzia 5% - 7% kwa mwaka ambayo kwa mfano ikiwa 6% ya 40m itakua 2.4m kwa mwaka ( ambayo pia ni ndogo bado).
  19. Abramovic

    Wapi naweza kupata Daktari bingwa wa macho Mkoani Mwanza?

    Wakuu Heshima kwenu, Naomba msaada wa kuelekezwa ama kufahamishwa ni wapi naweza kupata Dakrari bingwa wa macho Mkoani Mwanza. Nina mwanangu wa kiume umri wa miaka 5 anasumbuliwa na macho kuliko kawaida, tumejaribu hospital nyingi bila mafanikio hivyo tumeshauriwa kutafuta Daktari bingwa wa...
Back
Top Bottom