Search results

  1. Tangawizi

    Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani 3: Futari ya Ally Sykes na Sinia la Kunde za Bibi Titi

    Anachofikiria sijui nini. He is missing a point. Kuna mambo yakishatokea, ndio byebye. Yeye anang'ang'ana kuyabadili. Inachekesha sana lakini. He lives in the world of fantasy which he slowly and over time, has created for himself. Inatia huruma na kusikitisha sana
  2. Tangawizi

    Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Na mazuri yake yako wapi? Mbona jina lake linagoma kuzikwa? Mambo yake yanajieleza yenyewe? Tuwe balanced kidogo. JPM jina lake litaendelea kukaa kaa kwa sababu kadhaa. Msipozijua hizo sababu, mtapata tabu sana
  3. Tangawizi

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    July 13, 2013, Darfur, je huyu kamanda ndio alikuwa mkuu wa zile operations zilizoleta huzuni kweli kwetu?
  4. Tangawizi

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Inawezekana ikawa hivyo kwamba ni rubbish. Na inawezekana isiwe hivyo. Ila ukiisoma vizuri, hii ni vita yao, wahutu na watusi ambao wamejivika mavazi tofauti. Wanafuyatilia kweli kila linaloendelea Rwanda na DRC Congo, na mustakabali wake. Tusifanye masihara, kama hatua za haraka hazitafikiwa...
  5. Tangawizi

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Muda utayasema yote.
  6. Tangawizi

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Ameeleza kwa mwendo kasi wakati story yenyewe inajaza makabati matatu
  7. Tangawizi

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Kuna mheshimiwa anasema maendeleo yamefika pomoni. Magari yenye namba E yametamalaki
  8. Tangawizi

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Alikuwa anajua kiswahili kweli? Hawa ndugu wana dunia yao very amazing 😂 😂 😂 😂
  9. Tangawizi

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    General Mabeyo amesema in a very "general way". Kutoa machozi kuna sababu kadhaa. Ninachoona, kuna yale ambayo hawezi kuyatamka maana yanabeba hatari kubwa. Lakini ipo siku yote yataandikwa. Ninasubiri kwa hamu kuona maandishi ya personal secretary wa Nyerere aliyesema yale aliyoyaandika...
  10. Tangawizi

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    This was his weakness. Kuangalia upande mmoja tu. Otherwise alikuwa binadamu na kila binadamu ana issues zake
  11. Tangawizi

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Times change. It reminds me of conducting my affairs in a humble manner
  12. Tangawizi

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Expressing his desire about islamic principles is not a problem, if he wanted it to be implemented for people accepting Islam as their religion. Kwenye hii diversity kama angetumia nguvu asingeweza. By the way, wakristu na waislamu wameshapambana sana miaka ya nyuma na hawakupata mshindi. Leo...
  13. Tangawizi

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Rest in Eternal Peace Sanctus.
  14. Tangawizi

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Alipoanza alikuwa na fikra hizo ndogo. Ulimwengu ukamfundisha lazima ashirikiane na hata sisi makafiri ili mambo yake yaende. Kwani waliomuua hawakuwa na dini yake? Udini unaleta shida na taharuki bila sababu. Kama yeye alivyomfanya King Farouk sijui nani
  15. Tangawizi

    Mapdri Mwanza watangaza siku ya kufanya maazimisho ya kumkumbuka Magufuli

    Yote hayo, na yale ambayo waraka haukuyasema, ndio yanamfanya JPM awe kamili. Ukiangalia mabaya ya mtu pekee, hapo tunakosea maana hakuna aliyemwema. Kuna mengine aliyafanya kwa nia ya kutusaidia wengi, sio wajukuu zake wala watu wa Chato ambayo alitaka kuifanya itambulike kimataifa, wakati ina...
  16. Tangawizi

    Mapdri Mwanza watangaza siku ya kufanya maazimisho ya kumkumbuka Magufuli

    Mcheza kwao hutuzwa. RIEP JP Magufuli. Asante kwa yote. Magumu na yale mepesi uliyoyafanya kwa nia njema. Mungu Mwenyezi, aliye hakimu wa haki, ndio atatuhukumu sote, kwenye mizani iliyo sahihi
  17. Tangawizi

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Sidhani kama ni kweli. He was so proud of his religion. Ila hakuingia kwenye ujinga wa kuleta crusade
  18. Tangawizi

    UEFA yatoa muongozo mpya kwa FA

    Nilijua wamewaambia wachukue marefa wetu waende kuchezesha ligi ya Uingereza
Back
Top Bottom