Search results

  1. A

    Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Tatzo hawa uvccm wanatumiaga matumbo kufikiri. Hivi kwa mtu muelewa wa mambo anaweza mbeza Mbowe bungeni? Ukambeza Sugu kwa kumlinganisha na Tulia? Huyu ukimuuliza, hivi Tulia amewahi kujadili lipi lenye tija kwa Taifa, atajibu nini? Uwezo wa huyu mtu ni mdogo kujadili mambo mazito ya...
  2. A

    Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Mkuu sio lazima ujadili siasa. Uwezo wako ni mdogo. Siasa haijadiliwi kwa mihemuko ya u-uvccm!! Nakushauri nenda MMU kaanzishe mada huko. Hapa hapakufai.
  3. A

    Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Wewe mwenyewe umemalizia kwa makelele, unategemea usipigiwe kelele? None sense!
  4. A

    Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    Wewe jamaa sikuwahi kukufikiria ktk kiwango hiki cha ujinga!! Mkuu nadhani kuna haja ujitafakar upya.
  5. A

    Tabia za Wapigakura na tabia za WanaCCM

    8. Watekaji na wauaji
  6. A

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

    Mbona naona hizi kauli zimejaa vitisho tu hakuna la ziada? Mbona mwenzie kasema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kujitangaza kwamba kashindwa, yeye mbona hazungumzi lolote kama anaipenda kweli amani? Azungumzie neno HAKI then atakuwa ameeleza kila kitu!!
  7. A

    Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

    Kwani msemaji wa serikali (Dr Abass) sio afisa wa Ikulu? Mayalla unaposema "kwanini mwandishi aliitafuta Ikulu wakati alitakiwa kumtafuta msemaji wa serikali" nashindwa kupata unachokitetea hapa!! Ikiwa (jibu lako ni ndio) msemaji ni mtu wa Ikulu, una uhakika gani kama aliyetafutwa sio Dr Abass??
  8. A

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Duuh!! Naona NEC wanapima upepo kwanza. Waone ikitokea wakalazimisha ushindi watu watachukua hatua gani? Big up nec
  9. A

    Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Ha ha ha haa....aisee mataga mmejipanga kusapotiana upumbavu hatari!! Kwamba Mdee kaandika kitabu bila kujua anachokifanya? Au mnadhani Halima ni mpuuzi kama ninyi? Hata namna mnavyosapotiana mnaonekana kabisa mmetumwa kuandika upumbavu humu!! Acheni kujidhalilisha ndugu zangu mnatia kinyaa
  10. A

    Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mkuu, hata mimi kwangu haifunguki. Huenda mdau ana tatzo kama langu. Nadhani kuna haja ya JF kurekebisha mitambo yao. Ukitaka kuifungua inaandika "subiri kidogo" unaweza kusubiri wiki!! HAIFUNGUKI.
  11. A

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Nasikia jamaa anasubiriwa kwa hamu kubwa!! Bukubo kuna zao la Majani ya Chai, Kahawa na ndizi vyote vimeharibiwa soko na wakulima kukata tamaa sababu ya utawala mbovu wa ccm!! Bukoba pamoja na mkoa wa "nshomile" lakini vijiji vingi kama sio vyote vina tatzo la maji mkoa mzima!! Ukianzia...
  12. A

    Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

    Mkuu sijui kama umemuelewa vizuri mleta mada. Kasema hayo makundi aliyoyataja, jumlisha na wategemezi wao. Mfano mimi na mke wangu tulimlipia ada mtoto wa kaka yetu ili akasome pale udom, baadae akafurushwa kama mbwa koko na kuachwa bila vision yoyote na sasa yuko hapa kijijini analimia watu...
  13. A

    Uchaguzi 2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

    Ulicholalamikia ni sahihi, na hakiwezi kuungwa mkono na mwenye timamu. Ila kwa namna unavyozidi kusapoti ujinga wa mataga unatufanya tuanze kuhoji juu ya uwezo wako wa kufikiri. Nadhani ujikite kwenye hoja yako zaidi kuliko kuleta ushabiki usio na tija kwenye hoja ya msingi. Nadhani...
  14. A

    Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

    Duuh mkuu, huwa najiuliza hawa wanaomshabikia huyu jamaa haya hawayajui?? Wanaishi wapi hawa hata hawaguswi na mambo haya?? Wanapata wapi ujasiri wa kumuamini mtu huyu ambaye ametutenda kiasi hiki??
  15. A

    Watanzania hatujasahau na hatutasahau yaliyotokea katika tetemeko la Kagera

    Ha ha ha haa...eti Hamgembe bukoba mjini!! Hiyo ni ya kwenu. Bukoba mjini kuna HAMUGEMBE. Oli kifela kyankaasi iwee?? Unashabikia ujinga?? Umeelewa kilichoongelewa au unashabikia kisa kofia tu? Hivi unadhani tuliobomolewa nyumba zetu tukalala kwenye turubai wiki tunakuonaje wewe?? Na msaada...
  16. A

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nitalipa malimbikizo ya wafanyakazi yote kuanzia 2015 - 2020

    Kwa moyo mmoja naomba niseme wazi, LISSU LEO UMEMWAGA MADINI, UMENIGUSA HATA MIMI MKULIMA WA BUHEMBA MUSOMA, KURA YANGU LAZIMA NIKUPE!!
  17. A

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Mkuu asante sana. Hii ianzishie thread ili mataga wapate pa kujifunzia!! Wataelewa ni kwann jamaa anaitwa "game changer"!!
Back
Top Bottom