Search results

  1. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Najua JK na wanasiasa wengi wa CCM CDM CUF NCRR, etc wanatambua umuhimu wa TEKNOHAMA kuleta maedeleo ya uchumi na uboreshji huduma mbali mbai mbali za kijamii na upatikanaji wa taarifa . Lakini maendeleo na ma mabadiliko ya kweli hayawezi kuja bila kuwepo na uongozi , usimamzi,uratibu na...
  2. Zing

    Wabunge wangapi wametumia usafiri wa gari moshi

    Napenda kuwauliza wabunge wetu wa "magamba" na "magwanda" hasa wa mikoa/wilayaau majimbo linakopita treni iwe ni yaTAZARA au ya kati Je wanajua umuhimu wa gari moshi kwa wanachi wa majimbo/wilaya au mikoayao Je wanajua au wameshuhudia state ya usafiri wagari moshi Na mwisho lakini la...
  3. Zing

    Gereza ni gereza tu iwe keko au @ny ......

    Katika soma soma news mtandoni leo nimeona makala zikielezea Bilionea tapeli R Allen Stanford ambaye alineemeka na pesa za watu kwa kwa style ile iayojulikana kwa wengi hapa bongo kama UPATU au DECCI. Huyu jamaa alikuwa anaitu kinaitwa PONZI scheme. ambayo imewafraud watu karibu $ 7...
  4. Zing

    Mafuta yakichimbwa Tanzania, tutajenga upya kiwanda cha kuyasafisha

    Wakuu Najiuliza swali. Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafutai kihokuwa chini ya TPDC . Lakini kwa sababu mbalimbali inasemekana kikafungwa. Huku kusini mwa afrika kiwanda kama hiki Kipo Afrika kusini. Sasa kwa kasi hi ya ugunduzi wa mafuta si tu Tanzania lakin hata nchi jirani...
  5. Zing

    Wabunge wetu fanyeni surgery kama hizi

    Wabunge hasa wale "energetic" wawe wa magwanda au magwada itapendeza tukiona mnafanya na tunajua ratiba zenu za mambo kama hawa wenzenuu wa majuu wanavyofanya........ Nime google mifano michache ya wabunge nikaon wanafanya kitu kinaitwa "Surgery". Tunaomba na wabunge wetu wa Tanzni...
  6. Zing

    Uhunzi na uchongaji, uchoraji tanzania

    Wakuu hivi hali ya hizo fani au sijui nizeme vipaji au urithi wa teknolojia kwa baadhi ya makabila Tanzania upo au unapotea na kuteketea. Kwenye mkutano wa rais JK na vyaa vya upizani pale ikulu niliona baadhi ya picha za kuchora ukutani Nikawa najiuliza hivi zle pichaa ni sanaa ya...
  7. Zing

    Cag apewe na wananchi tujue taarifa za wabunge wanakaa siku ngapi majimboni

    Kuna haja ofisi ya CAG kuwa na wajibu kuwa na register kujua wabunge walizitumia ofisi zao wilayani na mkoni kwa siku ngapi katika mwaka Ukioadoa wale wabunge wa mijini na Dar Hivi katika siku 365 za mwaka kuna mbunge hata mmoja amabye anatumia japo siku 60 kuwa kwenye wilaya ya...
  8. Zing

    Mwaka wa mosomo vyuoni – zawadi ya wana jf kwa wanafunzi

    khan academy.org academic earh .org Toorent number moja Kwa vitabu video na lecture mbali mbali mbali Khan avcademy inawfaaa wanafuzi wa sekodary Academic earh wa vyuo Torrent hiyo ndio kila kitu
  9. Zing

    Wikileaks quotes to note

    wakuuu Hpa tuweke quote fupi fupi za wikileaks amabazo tunaona zina taarifa iwe ni nzuri au mbaya kw ajamii Sambsmba na hiyo tuweke ID au link ya cable yenywe Nukuu hizo ili wataopena wakazisome cable kwa uamilifu HOsea akiongelea ofisi ya DPP kuwa kikwazo na kupunguza morali ya...
  10. Zing

    We expect east african to dominate.. At end zakia mrisho become last

    Wakuu na wajumbe Kwanza nianze kwa kusema maudhui ya habri hii si siasa lakininaiweahapasababu naamini matatizonayotakakuelzeaniya kisera,na mipango,malengo na vipaumbele ambavyo kwenye sekata nyingi. So hapa naongelea michezo Nimeanagalia replay ya videoya mbio za mita elfu tano 5,000...
  11. Zing

    Maswali kwa wabunge wote - bila kufuata itikadi za vyama

    Najua kuna wabunge kadhaa wanatembela a hili jukwaa. Sasa binafsi nina maswali amabyo naamini wakazi wa majimbo wengi wanajiuliza na wangepend kujua majibu. Na wana jf wnaweza kuwa na maswali. megine Nyie wabunge wa JMT mnapata nafasi nzuri ya kuhoji, kukosoa , kusifia na kuishauri...
  12. Zing

    Creating custom animated avatar- toa ushauri

    Wadau na hasa wataalam wa mambo ya graphics nimewai kuleta hoja hii kwa kuwa sikufanikiwa leo narudi tena tena kwa ushauri Katika kujifunza, kufanya na kujaribu mambo kwa vitendo napenda nitengeneze simple animated text- based avatar. ( eg jina zing linacheza cheza) Sasa sababu sina...
  13. Zing

    Takwimu: wabunge na madiwani msibweteke na data za taifa na UN

    Wadau Siku chache zilizopita nilisoma thread ya mdau mmoja alieleza kukerwa na na wabunge wengi kuonekana ni wasemaji wa mkoa wa Dar Esalaam. Naam hii ni kero a inatuudhi wengi sijui kama hawa waheshimiwa wabunge madiwani mameyor na watendaji wengine wanafahamu hili. Japo hii si mada...
  14. Zing

    US $ Vs Gold - Tuelimishwe

    wataalmu wa uchumi na wenye data. je tanzania Tuna reservse au kiasi gani cha asset au akiba pale BOT kilicho katika USD Tuna reserve au kias gani cha aset na kiba pale BOT kilicho hifadghiwa kama GOLD. kuna sera yeyote inayoguideguide mambo haya??? ina gain au inapoteza nini kutoka...
  15. Zing

    Lobbbying BAE money in video

    Hii ni marudio lakini sijui kama JF wote wamepata nafasi ya kuona na kusikia nani na nini kilizunguzwa
  16. Zing

    Maadili ya fani mbali mbali -tukumbushane , tuelimishane na tuulizane

    Wadau kila taaluma zina kitu kinaitwa maadili ya taaluma . iwe ni sheria,uhandisi ICT, udaktari ,uhasibu, uchumi . etc Sasa basi tukumbushane tuelimishane baadhi ya code of ethics za taaluma mbali mabli. Napenda kujua pia kama kuna code of ethics ya wanasiasa. Naanza I. System...
  17. Zing

    Elimu na ict

    Wadau sio wanafuzi wengi wana access na Internet na baadhi yao hasa wa sekondary hawana taarifa uwa internet inaweza kuwa chanzo cha elimu . Unakuta mwanafuzi ana strugle na physics au hesabu lakini akienda internet cafe anaishia ungalia youtube ya miziki.. Ni juu yetu tuwafahamishe na...
  18. Zing

    Polisi vs CAG: Nani ni nani na nani afanye nini?

    Wakuu kuna jambo linanitatiza. Ni kuhusu muundo au mfumo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufuatwa baada ya kashfa, wizi au rushwa kugundulika sehemu mbali mbali hasa kwenye idara na wizara serialini. Kuna matukio yakitokea Polisi moja kwa moja wanaingia kazini tena jamaa aliyekuwa...
  19. Zing

    OC- Uhai kwa KCC Ufisadi kwa Wakubwa

    kwa wahasibu hasa wa serikalini na kwenye idara neno OC ni kifungu cha matumizi kambacho irefu chake ni Other Charges. kifungu hiki kina majina mengine mengi lakini kwa lugha ya mtaani tunasema ni kama "Uchakavu" Hizi OC zina umuhimu wake na mapungufu yake vile vile. Kwa wafanyakazi wa KCC...
  20. Zing

    Ukimwi waelekea kujisalimisha

    wadau Hili gonjwa lilikuja kwa makeke kibao.lakini sasa laelekea kusalimu amri baadhi ya madhara na mambo yaliyowapata waathirika miaka hiyo ni kunyonyoka nywele au au kuwa na nywewe kama zenye kali kiti Kukonda sana kunyanyapiliwa Lakini miaka hii dunia inaelekea kulishinda...
Back
Top Bottom