Search results

  1. Zing

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    Jaji Rukgakingira (RIP) kwenye k esi iliyofunguliwa na mtikilia alitoahukumu kuwa wagobea binafsi ni Ruksa. na kuwagomea ni kuvunja katiba What happned? Nadhani hata vyama vya upinzani havikipenda maamuzi ya RUgakingira.
  2. Zing

    Msaada HTC chacha A810e simu imezima baada kudownload software

    Kabla ya kutafuta fundi soma au pakua manual yake na ujaribu kufanya Soft na hard reset . Unaweza cheki hapa NB kama ina SD memory card itoe weka pembeni kabla ya reset.Maana reset ni restoring to how it was from Manufacturer.So inaweza futa kila kitu kwenye memory na apps nyingine...
  3. Zing

    Naomba msaada

    unamuona sababu yeye kwenye mshine yake webcam iko poa.Sio webcam yako inayofanya umuone mwingine .Webcam yako inawezesha wewe kuonekana kwa wengine. Kwa mujibu wa tech specs dell 620 haina integrated web cam .Nununa extenal webcam
  4. Zing

    Msaada Tally 9 tutorials

    umetafuta wapi ukakosa? na unatafuta Tutorial za video,au Text kama pdf file hii hapa medifire?
  5. Zing

    Kama CAG anaweza, kwanini TAKUKURU na DPP Washindwe?! Hawa waondolewe mara moja

    TAKUKURU NA DPP wanashindwa sababu Rais anaweza kuamka asubuhi akawatimua au kuwastaafisha Ila kwa CAG ni tofauti.Akishateuliwa C AG hata Rais hana mamlaka ya kumchomoa kirahisi. Tafuta maelezo ya termination process ya CAG ujue siri Hiyo tu inaweza kuwa moja ya sababu ya utedajii tofauti...
  6. Zing

    Asha Rose Migiro achukue nafasi ya Pinda

    Bora hata ya Pinda mara 100. Huyu Diplomatic hawezikufanya chochotete Unless useme U PM wa TAnzania kimekuwa cheo cha Ceremeonial basi anafaa. Mama Tibaijuka mwenyewe hata hajulikani ana input gani pale ardhi tena huyuTibajukazamani alikuwa aikuwa historia kutaka mabadiiko sasa sembuse huyu...
  7. Zing

    Msaada: Samsung i9010

    Siku nyingine ukipata tatizoa la kifaa anzia kwenye tovuti ya watengenezaji.Huko utakuta manual . Unaweza hata kugoogle neno "Samsung i9010 manual " kukurahishia kazi nenda hapa Samsungu GT-I9010.
  8. Zing

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    PM pinda alishataka kujiuzulu siku nyingi. System ilimkatalia sababu wakaona atashusha hadhi ammbayo imeshuka tayari ya bosi wake JK. Bila kuwa "Msanii" kama EL huwezi kuwa PM mzuri chini ya JK. Anchokosa PInda kwenye siasa za Tanzania na hasa chini ya Utawala wa wa kisanii na kishkaji wa...
  9. Zing

    Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

    Hivi wasira akienda jimboni kwake akasikia na kulalamkiiwa kuna mtendaji kama dakatari au mwalimu analala wakati wa kazi atapendekeza nini?
  10. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Haya kwanyongeza someni hii paper http://www.tzonline.org/pdf/ictsastoolsforpovertyreduction1.pdf Ni ya mwaka 2005 .Lakini inaonyesha kwenye makaratasi tuna nia yakutumia ICT lakinikivitendo kinachoksekana mpaka sasa ni Link ya wataalam upande wa serikali na kushirikiana na makampuni...
  11. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Umenena mkuu.Sasa mimi nachukuliaia mfano wa elimu tu chukulia mfano au option moja katiya hizi inatengenezwa DVD ya physics au ya chemsitry au hata hesabu na kila mwanafuzi anapewa au kuuziwa kwa bei nafuu au kauzimwa kama kitabu. Mfano wahizo video ni kama hii PH of weak acid Shule...
  12. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    BAru baru mbona maswali yako nimeeleza na nimeyayoea majibu toka mwanzo . Hao ICT speaciist sio tu Database,Networking auu software deveopment . Nitarudia tena kwa kunukuu niliyoleza labda utaniewa . Kwanza usiffikirie sana from technical side(Dataase, Programming etc) Mimi naongelea...
  13. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Barubaru Kuna msemo unasema kama unadhani elimu ni gharamaa jaribu ujinga. Kama unadhani ni gharamai isyoyamuhimu basi hata JK asingekuwa anaimba TEKNOHAMA Serikali ya JK na wanasia wengiwanajua umuhimu wa ICT. Thast good lakini hakuna tija kama hIzo gharama za miradi Mkonga wa...
  14. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    YEs JK kwakweli ameonyesha nia ya dhati Kisiasa . Lakini hiyo nia ya dhati bila kuwa na wataalam katika ngazi ya ushauri au management ile hatua muhimu ya technical How to achive specific objective itakuwa ngumu au itakuja kwa kubatisha bahatisha. Kuna watu wanasema hao watalaamu...
  15. Zing

    Best paying company in tanzania

    Best paying public career ni Politics ( Waziri,mbunge etc). mfano Mbunge wa jimbo(just jimbo ambalo ni sehemu ya mkoa) mshahara wake na marupurupu anawazidi watendaji kama RPC ,Afisa kilimo wa mkoa,Wa Mifugo, na Mganga mkuu wa mkoa??????!!!!!
  16. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Tatizo hawapo katika level inayowarushusu kutoa ushauri ukasikilizwa. Katika vikao vya maeedelo vya mkoa/wilaya wataenda afisa wa elimu wa afya ,Kilimo etc kulingana mamagement postion zao hakuna Afisa wa IT yet we expect Maajabu yaje tu. Wawaweke washindwe kazi tujue moja. Ndo hapo sasa...
  17. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Idont mean just specialist i Mean officers kama walivyo wa Afisa kilimo,Mifugo,afya , elimu... wa mikoa
  18. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    So U mean Mradi wa mkonga wa taifani wrong Priority .So umean kitamulisho cha taifa ni wrong priority na.Una maana hata kitambulisho cha mpiga kura nacho kilitakiwa kusibiri umeme? Realy ? . Swali? Barabara zote na mitaa zinazoeleweka na zilizopangika hata za hapa dar zimo zote...
  19. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    BArubaru naona unapindisha pindisha nakutoka nje mada Mimi sio mtaalam wa umeme Lakini kwa k uwa serikali inaekeza nguvu zake na hata pesa kwenye mambo ya TEKNOHAMA nimetoa maoni njia nzur iitayaowezesha na kufanikisha miradi kama hiyoy a Mkonga wa taifa iwe na faida kubwa zaidi. Kama...
  20. Zing

    Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

    Mdondoaji Hivi wilaya na mikoa yote haina umeme .Na mambo ya umeme ni wajibu wa taaluma nyingine .Tusichanganye mambo.Ndio maana kunawahandisi wamikoa . Kama hawafanyakaziyao hilo ni ni suala lingine iweje mwanafuzi wa tambaza au jangwani ashindwe kuona practical ya chemistry/Physics hata...
Back
Top Bottom